Mbowe: Spika ni mtu wa ajabu sana!

Mbowe: Spika ni mtu wa ajabu sana!

Freemani Mbowe amesema amesikitishwa na kitendo cha spika Anne Makinda kushindwa hata kumpigia simu kwa janga lililowakuta.

Ameendelea kusema amestushwa na Spika kuendelea na vikao vya bunge bila kujali kama kuna tukio baya kama yalivyokuwa matukio ya bom kanisani, kifo cha padri zanzibari na fujo mtwara vilivyosababisha bunge kuahirisha vikao vyake..
V.o.a


Bibie spika kwa akili yake anafikiri hayo mabomu yametokea Kenya na wala si Tanzania.
 
Bunge haliendeshwi kwa hisia wewe ni kanuni. Hv wewe mbowe wakati unatoa maagizo kuwa wabunge wote wasihudhurie vikao vya bunge na badala yake waende Arusha ulimtaarifu spika? Au uliondoka kama unaondoka kwa mkeo? Viongozi wengine bwana wanaropoka tuu bila kupima mambo. Utovu wenu wa nidhamu pelekeni huko huko barabarani.

kwa kauli yako unajionyesha usivyokuwa na utu. Si watu wote wanaoenda baa ni walevi. Tukio la bomu si la chadema ni la taifa la sivyo serikali isiliongelee. Kama fast jet ametuma pole amemtumia nani na kwa sababu gani? Lukuvi ameongelea nini bungeni kama hili jambo si la tanzania nzima?
 
Mzee Sitta pamoja na unafiki wake alikua anajisimamia kwa kiwango fulani, huyu bi mukora ni kipeperushi cha kikundi fulani cha waovu na maadui wa taifa hili..
 
Hata ukimwangalia machoni tu huyu bi. kiroboto utagundua kwamba ni mchawi.

Inasemekana anao lakini akifika Njombe hakosi church pale rc. Maluma tazama huyu mama kwa jicho la tatu na la nne
 
Mh. Mbowe hakuna haja ya kumshangaa mh. Makinda, ni dhahili chama chake kipo nyuma ya shambulio hili. Angeonekana wa ajabu kwa chama chake angefanya hivyo.
 
kwa kauli yako unajionyesha usivyokuwa na utu. Si watu wote wanaoenda baa ni walevi. Tukio la bomu si la chadema ni la taifa la sivyo serikali isiliongelee. Kama fast jet ametuma pole amemtumia nani na kwa sababu gani? Lukuvi ameongelea nini bungeni kama hili jambo si la tanzania nzima?

Madam spika ni mtu mwenye busara sana jamani anajuwa kubalance mambo na ameonyesha uwezo mkubwa jinsi ya kukabiliana na matukio yanayotokea nchini. Kwa mazingira ya tukio la arusha yeye kama spika wadhifa mkubwa sana ktk katiba ya tanzania aliona cyo vema kulipablush jambo hili ili wananchi wasiendelee kunyooshesna mikono juu ya tukio hili, kumbuka kwamba mara baada ya mlipuko viongozi wengine walianza kunyooshea vidole wengine wakisema ni ccm wengine wakisema ni cdm wenyewe kwa wenyewe wengine wakisema police n.k sasa ktk mazingira hayo ulitegemea achukue maamuzi gani kwa nafasi yake ili kutozuia upotevu wa amani?ma hata kuzuia jambo hili lisijadiliwe bungeni wakati kuna majeruhi na baadhi ya maiti zilikuwa hazijazikwa ni uamuzi mzuri sana maana ilipunguza kasi ya chuki na munkari uliokuwepo kabla ili vyombo vinavyohusika vichukue hatua stahiki na ndivyo aluvyofanya hata ktk matukio ys mtwara. Mh Mbowe nae tunampongeza kwa kuons umuhimu wa chama chake pamoja na wabunge wake kujumuika na wana Arusha ktk msiba huu. , lkn hakupaswa kumlaumu spika hata kdg kwani hayo cy mamlaka yake na asitake bunge liendeshwe kwa hisia za watu ama viongozi wa wana siasa na kitendo cha kuanza kutoa lawama moja moja yy kama kiongizi mkubwa wa siasa bila kuwa na ushahidi ni sehemu ys uchochezi. Yy alipwa kulaani tuu na cyo kushutumu moja kwa moja. Poleni sana wana Arusha na lazima mtambuwe kuwa maisha yenu na maendeleo yenu ni zaidi ya CDM na CCM . Mfike mahala mtambuwe na kutafakari kauli za wanasiasa na mpime maendeleo yenu kama yana uhusiano moja kwa moja na kauli za wanasiasa.Badilikeni sasa angalieni maisha yenu tena wana Arusha mnasifa ya kuwa wachapa kazi na wapenda maendeleo kila mtu anafahamu hilo iweje leo mrubuniwe kwa maneno na kusahau ufanisi wenu na kujituma kwenu? Kisa siasa.
 
Number 1 ni Mwigulu,unakumbuka yule mama alietoa ushuhuda kwamba alifikia guest 1 na Mwigulu,na usiku alipotoka kujisaidia akamuona fisi anaingia chumbani kwa Mwigulu.Kijana na uchawi wapiwapi.

sipendi maatendo ya mwigulu ila hapa naomba nijue km hiyo guest haikuwa self contained?
 
yaelekea huyu mama hana mtoto ndio maana hana roho ya kushtuka anapoona damu za watoto zikimwagika

Usiume maneno mkuu, huyu mama HANA mtoto, hata wa kumlea tu HAJAWAI kulea mtoto, ndio maana amekua na ROHO MBAYA kama sura yake. ANA roho ya KICHAWI kibisa....
 
Kuna spika wa uganda ni mwanamke lakini ni viwango!
:Wabunge wa chama tawala anachotoka yeye walivuliwa uanachama lakini yeye aligoma kuwafukuza bungeni..
Mpaka leo wameendelea kuwa wabunge hata baada ya chama chake kumtaka awafukuze. Kaendelea kusisitiza kwamba wabunge wamechaguliwa na wananchi! Je ingekuwa ni huyu kiroboto..
 
Freemani Mbowe amesema amesikitishwa na kitendo cha spika Anne Makinda kushindwa hata kumpigia simu kwa janga lililowakuta.

Ameendelea kusema amestushwa na Spika kuendelea na vikao vya bunge bila kujali kama kuna tukio baya kama yalivyokuwa matukio ya bom kanisani, kifo cha padri zanzibari na fujo mtwara vilivyosababisha bunge kuahirisha vikao vyake..
V.o.a

Alichosema Mhe. Mbowe ni ukweli mtupu. Watanzania wameona,wamesikia na wanatafakari. Lakini pia Dunia pia nayo imeona,imesikia na inatafakari. Kauli ya Spika Anne Makinda kwamba hakuwa na taarifa kuwa Wabunge wa CHADEMA hawatahudhuri vikao vya Bunge mpaka wamemaliza msiba wa waliuouwa na Bomu Arusha ni unafiki uliopitiliza!!!Huyu mama najua kabisa hizi taarifa alikuwa nazo aidha kwa kupigiwa simu lakini kupitia media mbalimbali usiku ule wa tukio. Kwa hiyo hana excuse yoyote hapa! Yeye akubali tu kwamba hao Mabwana zake waliompa Usupika kwenye kisahani ndivo walivyomwelekeza afanye. Tanzanians knows better than her!!!

CCM kwa akili zao finyu za kimagamba wanafikiri kuwa wanaikomoa CHADEMA! They're absolutely very wrong! Anne Makinda ameamua kuendesha Bunge kwa sababu WALIOKUFA SIYO WATANZANIA BAALI NI WAFUASI WA CHADEMA. Kauli zilezile za ki-CCM zinajirudia: KWANI KIBANDA NI NANI?? KWANI WALIOKUFA NI NANI???

CCM wanafikiri wamefanikiwa lakini wanajidanganya na kujivua nguo hadharani. Hapa ndipo Jumuia za Kimataifa na Watanzania wote wapenda Haki wanaweza kuona unafiki wa Serikali ya CCM!Kwamba wakifa wana CCM au wakipata majanga kama ilivyotokea Mtwara Bunge litaahirishwa. Lakini si wanaokufa kwenye mabomu ya kigaidi! Kwa mtazamo huu CCM wamedhihirisha kuwa walipanga mlipuko huo na ndiyo maana shughuli za Bunge ziliendelea kama kawaida na KAULI YA SERIKALI ikadhihirsha hivo kwamba hiyo ilikuwa planned!

CCM wanajaribu kutengeneza mazingira ya kuwafanya Watanzania wachukie upinzani ili CCM waendelee kutawala milele kama wanavosema kila siku. Hawajui kwamba kila jambo lenye mwanzo lazima liwe na hitimisho. Kwa kasi ya matukio haya yanayoratiwa na CCM kwa usimamizi wa Mwigulu Nchembe, Steven Wassira, Nepi Nauye,Lukuvi,Nchimbi na Mwema taratibu wanazidi KUIMALIZA CCM BILA KUJUA!!!!


CCM
1977-2015
R.I.P.

 
Ina maana yeye ni wa HIT 'n' RUN??

Kumbe je mtu mwenyewe mvuto hana unafata nini..basi okey mwanamke sio sura ni tabia..tabia pia mbooovuuu...roho ya kinyama..ila simlaumu ni mnyalu..
 
Hili jambo limenishangaza sana tangu jana nilipokuwa naangalia jinsi spika Makinda alivyokuwa akiendesha vikao vya bunge kama vile hakuna kilichotokea kwa wabunge wenzake achililia mbali wananchi wa Arusha.hii inaonyesha jinsi njama za ccm zilivyo OVU kwa taifa hili.Hakika ADHABU yao itakuwa kubwa mbele za MWENYEZI MUNGU.
 
Alichosema Mhe. Mbowe ni ukweli mtupu. Watanzania wameona,wamesikia na wanatafakari. Lakini pia Dunia pia nayo imeona,imesikia na inatafakari. Kauli ya Spika Anne Makinda kwamba hakuwa na taarifa kuwa Wabunge wa CHADEMA hawatahudhuri vikao vya Bunge mpaka wamemaliza msiba wa waliuouwa na Bomu Arusha ni unafiki uliopitiliza!!!Huyu mama najua kabisa hizi taarifa alikuwa nazo aidha kwa kupigiwa simu lakini kupitia media mbalimbali usiku ule wa tukio. Kwa hiyo hana excuse yoyote hapa! Yeye akubali tu kwamba hao Mabwana zake waliompa Usupika kwenye kisahani ndivo walivyomwelekeza afanye. Tanzanians knows better than her!!!

CCM kwa akili zao finyu za kimagamba wanafikiri kuwa wanaikomoa CHADEMA! They're absolutely very wrong! Anne Makinda ameamua kuendesha Bunge kwa sababu WALIOKUFA SIYO WATANZANIA BAALI NI WAFUASI WA CHADEMA. Kauli zilezile za ki-CCM zinajirudia: KWANI KIBANDA NI NANI?? KWANI WALIOKUFA NI NANI???

CCM wanafikiri wamefanikiwa lakini wanajidanganya na kujivua nguo hadharani. Hapa ndipo Jumuia za Kimataifa na Watanzania wote wapenda Haki wanaweza kuona unafiki wa Serikali ya CCM!Kwamba wakifa wana CCM au wakipata majanga kama ilivyotokea Mtwara Bunge litaahirishwa. Lakini si wanaokufa kwenye mabomu ya kigaidi! Kwa mtazamo huu CCM wamedhihirisha kuwa walipanga mlipuko huo na ndiyo maana shughuli za Bunge ziliendelea kama kawaida na KAULI YA SERIKALI ikadhihirsha hivo kwamba hiyo ilikuwa planned!

CCM wanajaribu kutengeneza mazingira ya kuwafanya Watanzania wachukie upinzani ili CCM waendelee kutawala milele kama wanavosema kila siku. Hawajui kwamba kila jambo lenye mwanzo lazima liwe na hitimisho. Kwa kasi ya matukio haya yanayoratiwa na CCM kwa usimamizi wa Mwigulu Nchembe, Steven Wassira, Nepi Nauye,Lukuvi,Nchimbi na Mwema taratibu wanazidi KUIMALIZA CCM BILA KUJUA!!!!


CCM
1977-2015
R.I.P.


Iwe ni cmm au yeyote yule kafanya udharimu kama ule bado serikali inawajibika kulinda raia na mali zao. Ushahidi unatosha sasa ccm na serikali yake inefeli kutupa ulinzi sisi raia wake. Ntaichukia ccm na fikra zao mgando.
 
Bunge haliendeshwi kwa hisia wewe ni kanuni. Hv wewe mbowe wakati unatoa maagizo kuwa wabunge wote wasihudhurie vikao vya bunge na badala yake waende Arusha ulimtaarifu spika? Au uliondoka kama unaondoka kwa mkeo? Viongozi wengine bwana wanaropoka tuu bila kupima mambo. Utovu wenu wa nidhamu pelekeni huko huko barabarani.

wewe ni spika??? Unajuaje kama taarifa haikutolewa??? Mwanaume kuwa mbea ni aibu sana na usilo lijua kaa kimya usijifanye unajua wakati huna ulijualo zaidi ya umbea .
 
Back
Top Bottom