Dhihaka ya CHADEMA kwa jeshi la police

Dhihaka ya CHADEMA kwa jeshi la police

Nafuatilia kinachoendelea Brazil. Zaidi ya watu milioni moja wanaandamana katika miji 100 nchini Brazil dhidi ya serikali.

Kwa mfano, katika jiji la Sao Paulo pekee:

Asilimia 84 ya waandamaji hawaungi mkono chama chochote cha siasa.

Asilimia 77 ya waandamaji wana elimu ya juu.
Asilimia 22 ya waandamaji ni wanafunzi.
Asilimia 23 ya waandamaji wana umri chini ya miaka 25.
Asilimia 71 ya waandamaji wanaandamana kwa mara ya kwanza.

Sababu za kuandamana

Kupinga kuongezeka kwa nauli
Kupinga kuongezeka kwa rushwa
Kupinga polisi kutumia nguvu na kunyanyasa wananchi.
Kutaka usafiri bora kwenye jiji la Sao Paulo.
Kupinga wanasiasa hasa wale wanaondesha siasa za majitaka.

hapo penye red nimepapenda kwa maana imekuwa kinyume na hapa home. kwa hapa home ingesomeka hivi:
  1. Asilimia 100 ya waandamanaji ni wafuasi wa CHADEMA
  2. Asilimia 100 ya waandamanaji wana kiwango cha chini cha elimu
  3. asilimia 100 ya waandamanaji hawana kazi ya kudumu ya kuwaongezea kipato
  4. asilimia 100 ya waandamanaji si viongozi wa vyama vya siasa
  5. asilimia 50 ya waandamanaji wana umri chini ya miaka 20
  6. asilimia 70 ya waandamanaji ni waandamanaji sugu
 
[h=5]BABA WA
TAIFA MWL JULIUS KAMBARAGE NYERERE ANASEMA KATIKA KITABU CHAKE CHA"
TUJISAHIHISHE"UKWELI UNA TABIA MOJA NZURI SANA,HAUJALI MKUBWA WALA
MDOGO,HAUJALI ADUI WALA RAFIKI,KWAKE WATU WOTE NI SAWA,PIA UKWELI UNA
TABIA YA KUJILIPIZA KISASI KAMA UKIPUUZWA.UKIONA NATAKA KULIPIGA TEKE
JIWE KWA KUWA NAFIKIRI NI DONGO AU MPIRA,NATUMAINI UTANIONYA,LAKINI
NIKILIPUUZA ONYO LAKO KWA SABABU ETI WEWE NI MDOGO AU KWA SABABU
SIKUPENDI ,NIKALIPIGA TEKE,BASI LITANIVUNJA DOLE JAPO NINGEKUWA
NANI.UKWELI HAUPENDI KUPUUZWAPUUZWA....

Baada ya Kushindwa tu Dk Slaa alitangaza na CD zipo nchi hii
haitatawalika na sasa tunaona Tanzania inakoelekea..kama Serikali
mtaendelea kuwachekea CHADEMA Tanzania itakumbana na Mauaji ya
Kimbari..Kama nchi inaongozwa kwa mujibu wa katiba Sheria mama kwa nini
mnawachekea Chadema? tumieni sheria kuwaadhibu,tumechoka na kuwachekea
na kuwabembeleza utadhani wao ndio wenye dola bana.

Ndugu watanzania naomba nitumie fursa hii kuwaeleza ukweli wale
wachache wanaokiunga mkono CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO kwamba
waweze kutoka huko,huko kuna magaidi,huko kuna ukabila,huko kuna
udini,huko kuna kuligawa taifa vipande vipande maana sera zao zimejikita
kwenye majimboism nk,hawa ni watu hatari sana,tazameni wanavyofadhili
matukio ya kigaidi huko Arusha,wanamwaga damu za watu wasio na hatia
kwa manufaa yao binafsi.kwa uelewa wao mfupi wanadhani matukio kama
haya ya ugaidi yanaweza kuifanya serikali iliyoko madarakani kushindwa
kutawala ili wao waweze kufanikisha mambo yao. nasema imefika wakati
muafaka Watanzania wajenge uasi dhidi ya hawa wanasiasa
uchwara,wawakatae waziwazi tena mchana kweupe kwani ni hatari taifa
letu kupoteza amani na mshikamano kwa sababu ya kundi la watu wachache
wasio na nia njema....,MUNGU IBARIKI AFRIKA.MUNGU IBARIKI
TANZANIA...AHSANTENI
[/h]

Kwa kauli ile ya katekista Slaa, naamini haya ndio muendelezo wa nchi kutotawalika,maana haya matukio inakuwa kama yanapangwa na chadema kuwajaza chuki wananchi dhidi ya serikali na police,we hapo unadhani wa kulaumiwa ni nani,ni hao viongozi wa chadema ndio wanaoratibu miripuko hiyao! kweli kabisa mkuu!
 
BABA WA TAIFA MWL JULIUS KAMBARAGE NYERERE ANASEMA KATIKA KITABU CHAKE CHA" TUJISAHIHISHE"UKWELI UNA TABIA MOJA NZURI SANA,HAUJALI MKUBWA WALA MDOGO,HAUJALI ADUI WALA RAFIKI,KWAKE WATU WOTE NI SAWA,PIA UKWELI UNA TABIA YA KUJILIPIZA KISASI KAMA UKIPUUZWA.UKIONA NATAKA KULIPIGA TEKE JIWE KWA KUWA NAFIKIRI NI DONGO AU MPIRA,NATUMAINI UTANIONYA,LAKINI NIKILIPUUZA ONYO LAKO KWA SABABU ETI WEWE NI MDOGO AU KWA SABABU SIKUPENDI ,NIKALIPIGA TEKE,BASI LITANIVUNJA DOLE JAPO NINGEKUWA NANI.UKWELI HAUPENDI KUPUUZWAPUUZWA....

Baada ya Kushindwa tu Dk Slaa alitangaza na CD zipo nchi hii haitatawalika na sasa tunaona Tanzania inakoelekea..kama Serikali mtaendelea kuwachekea CHADEMA Tanzania itakumbana na Mauaji ya Kimbari..Kama nchi inaongozwa kwa mujibu wa katiba Sheria mama kwa nini mnawachekea Chadema? tumieni sheria kuwaadhibu,tumechoka na kuwachekea na kuwabembeleza utadhani wao ndio wenye dola bana.

Ndugu watanzania naomba nitumie fursa hii kuwaeleza ukweli wale wachache wanaokiunga mkono CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO kwamba waweze kutoka huko,huko kuna magaidi,huko kuna ukabila,huko kuna udini,huko kuna kuligawa taifa vipande vipande maana sera zao zimejikita kwenye majimboism nk,hawa ni watu hatari sana,tazameni wanavyofadhili matukio ya kigaidi huko Arusha,wanamwaga damu za watu wasio na hatia kwa manufaa yao binafsi.kwa uelewa wao mfupi wanadhani matukio kama haya ya ugaidi yanaweza kuifanya serikali iliyoko madarakani kushindwa kutawala ili wao waweze kufanikisha mambo yao. nasema imefika wakati muafaka Watanzania wajenge uasi dhidi ya hawa wanasiasa uchwara,wawakatae waziwazi tena mchana kweupe kwani ni hatari taifa letu kupoteza amani na mshikamano kwa sababu ya kundi la watu wachache wasio na nia njema....,MUNGU IBARIKI AFRIKA.MUNGU IBARIKI TANZANIA...AHSANTENI

Tutoke CHADEMA??!!!!! you must be joking if not crazzy!!!halafu twende wapi? wakati huko ndiko kwenye
ukombozi!!!!tulishaamua kuiasi ccm haturudi nyuma mpaka ufisadi na uuaji wa ccm tuukomeshe
kwenye hii nchi yetu'
 
BABA WA TAIFA MWL JULIUS KAMBARAGE NYERERE ANASEMA KATIKA KITABU CHAKE CHA" TUJISAHIHISHE"UKWELI UNA TABIA MOJA NZURI SANA,HAUJALI MKUBWA WALA MDOGO,HAUJALI ADUI WALA RAFIKI,KWAKE WATU WOTE NI SAWA,PIA UKWELI UNA TABIA YA KUJILIPIZA KISASI KAMA UKIPUUZWA.UKIONA NATAKA KULIPIGA TEKE JIWE KWA KUWA NAFIKIRI NI DONGO AU MPIRA,NATUMAINI UTANIONYA,LAKINI NIKILIPUUZA ONYO LAKO KWA SABABU ETI WEWE NI MDOGO AU KWA SABABU SIKUPENDI ,NIKALIPIGA TEKE,BASI LITANIVUNJA DOLE JAPO NINGEKUWA NANI.UKWELI HAUPENDI KUPUUZWAPUUZWA....

Baada ya Kushindwa tu Dk Slaa alitangaza na CD zipo nchi hii haitatawalika na sasa tunaona Tanzania inakoelekea..kama Serikali mtaendelea kuwachekea CHADEMA Tanzania itakumbana na Mauaji ya Kimbari..Kama nchi inaongozwa kwa mujibu wa katiba Sheria mama kwa nini mnawachekea Chadema? tumieni sheria kuwaadhibu,tumechoka na kuwachekea na kuwabembeleza utadhani wao ndio wenye dola bana.

Ndugu watanzania naomba nitumie fursa hii kuwaeleza ukweli wale wachache wanaokiunga mkono CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO kwamba waweze kutoka huko,huko kuna magaidi,huko kuna ukabila,huko kuna udini,huko kuna kuligawa taifa vipande vipande maana sera zao zimejikita kwenye majimboism nk,hawa ni watu hatari sana,tazameni wanavyofadhili matukio ya kigaidi huko Arusha,wanamwaga damu za watu wasio na hatia kwa manufaa yao binafsi.kwa uelewa wao mfupi wanadhani matukio kama haya ya ugaidi yanaweza kuifanya serikali iliyoko madarakani kushindwa kutawala ili wao waweze kufanikisha mambo yao. nasema imefika wakati muafaka Watanzania wajenge uasi dhidi ya hawa wanasiasa uchwara,wawakatae waziwazi tena mchana kweupe kwani ni hatari taifa letu kupoteza amani na mshikamano kwa sababu ya kundi la watu wachache wasio na nia njema....,MUNGU IBARIKI AFRIKA.MUNGU IBARIKI TANZANIA...AHSANTENI
Pengine wewe ndio unachekea cdm lakini hawakutaki kwa roho yako mbaya. Inaelekea wewe una chuki ya kulishwa dhidi ya cdm au unafaidika na ufisadi uliokithiri nchini; eti cdm kuna udini ukabila na kadhalika. Kwani unadhani kama cdm ingekua inapigania mambo ya kipuuzi kama unavyodhani wewe serikali ingeichekea hata kwa nukta moja? Kwani wewe unadhani una akili kuliko jk, pinda, lowassa na vigogo wengine wa ccm? Wao wanajua chadema ni nini na inapigania nini ndio maana wanaichekea, sio kama wewe.
 
Huwa nasikitika sana Mtanzania mwenzangu anapokuwa na mawazo kama haya...anatetea serikali hiihii?....Kesho yake akiumwa analalamika kulala chini Mwaisela!

Mkuu kama ulikuwa unataka kujua maana ya Mburula...ndie huyu jamaa mleta mada! Ana macho haoni!
 
Kwa kauli ile ya katekista Slaa, naamini haya ndio muendelezo wa nchi kutotawalika,maana haya matukio inakuwa kama yanapangwa na chadema kuwajaza chuki wananchi dhidi ya serikali na police,we hapo unadhani wa kulaumiwa ni nani,ni hao viongozi wa chadema ndio wanaoratibu miripuko hiyao! kweli kabisa mkuu!

Mlijaribu kumkamata akaleta UKAIDI? Mbona mnajitia aibu? Kama mtu mdogo kama huyu ambaye hana hata fimbo mnafyata mkia mbele zake itakuwaje kama ikiwa M23 wakatia timu hapa
 
BABA WA TAIFA MWL JULIUS KAMBARAGE NYERERE ANASEMA KATIKA KITABU CHAKE CHA" TUJISAHIHISHE"UKWELI UNA TABIA MOJA NZURI SANA,HAUJALI MKUBWA WALA MDOGO,HAUJALI ADUI WALA RAFIKI,KWAKE WATU WOTE NI SAWA,PIA UKWELI UNA TABIA YA KUJILIPIZA KISASI KAMA UKIPUUZWA.UKIONA NATAKA KULIPIGA TEKE JIWE KWA KUWA NAFIKIRI NI DONGO AU MPIRA,NATUMAINI UTANIONYA,LAKINI NIKILIPUUZA ONYO LAKO KWA SABABU ETI WEWE NI MDOGO AU KWA SABABU SIKUPENDI ,NIKALIPIGA TEKE,BASI LITANIVUNJA DOLE JAPO NINGEKUWA NANI.UKWELI HAUPENDI KUPUUZWAPUUZWA....

Baada ya Kushindwa tu Dk Slaa alitangaza na CD zipo nchi hii haitatawalika na sasa tunaona Tanzania inakoelekea..kama Serikali mtaendelea kuwachekea CHADEMA Tanzania itakumbana na Mauaji ya Kimbari..Kama nchi inaongozwa kwa mujibu wa katiba Sheria mama kwa nini mnawachekea Chadema? tumieni sheria kuwaadhibu,tumechoka na kuwachekea na kuwabembeleza utadhani wao ndio wenye dola bana.

Ndugu watanzania naomba nitumie fursa hii kuwaeleza ukweli wale wachache wanaokiunga mkono CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO kwamba waweze kutoka huko,huko kuna magaidi,huko kuna ukabila,huko kuna udini,huko kuna kuligawa taifa vipande vipande maana sera zao zimejikita kwenye majimboism nk,hawa ni watu hatari sana,tazameni wanavyofadhili matukio ya kigaidi huko Arusha,wanamwaga damu za watu wasio na hatia kwa manufaa yao binafsi.kwa uelewa wao mfupi wanadhani matukio kama haya ya ugaidi yanaweza kuifanya serikali iliyoko madarakani kushindwa kutawala ili wao waweze kufanikisha mambo yao. nasema imefika wakati muafaka Watanzania wajenge uasi dhidi ya hawa wanasiasa uchwara,wawakatae waziwazi tena mchana kweupe kwani ni hatari taifa letu kupoteza amani na mshikamano kwa sababu ya kundi la watu wachache wasio na nia njema....,MUNGU IBARIKI AFRIKA.MUNGU IBARIKI TANZANIA...AHSANTENI

Je unajua kabla ya Uhuru miji kama Bagamoyo, Pangani, Kilwa, Kondoa ilikuwa imeendelea kibiashara? Lakini CDM na Udini wake baada ya Uhuru iliangamiza miji hii
 
Mnaoitetea ccm hamna tofauti na waliokuwa wanapinga harakati za kudai uhuru. Poleni sana kwa kuwa walamba viatu vya watawala ingawa hata hawawajui.
 
hapo penye red nimepapenda kwa maana imekuwa kinyume na hapa home. kwa hapa home ingesomeka hivi:
  1. Asilimia 100 ya waandamanaji ni wafuasi wa CHADEMA
  2. Asilimia 100 ya waandamanaji wana kiwango cha chini cha elimu
  3. asilimia 100 ya waandamanaji hawana kazi ya kudumu ya kuwaongezea kipato
  4. asilimia 100 ya waandamanaji si viongozi wa vyama vya siasa
  5. asilimia 50 ya waandamanaji wana umri chini ya miaka 20
  6. asilimia 70 ya waandamanaji ni waandamanaji sugu

Wa CCM
100 Asilimia ni wanafiki, mafisadi na wachumia tumbo!
 
Hawa ni watu ambao hata uwaoneshe nini hawaoni! Ukweli uko wazi hawataki kuona! Wewe tangu vurugu hizi zimeanza kutokea CDM wamekuwa wakiomba iundwe tume huru ya kimahakama ili kila kitu kiwe wazi maana wao CDM wanawatuhumu polisi, lakini serikali haitaki kuunda tume huru badala yake aidha polisi wanaunda tume kujichunguza wenyewe au waziri anaunda tume itakayoichunguza serikali ambayo yeye ni mmoja kati ya serikali hiyo.

Sasa swali kwanini serikali kama inaamini haihusiki katika matukio haya haitaki kabisa kuunda tume huru ili ukweli uwe wazi?

Ukijiuliza swali hili jepesi utapata mwanga japo kidogo wa ukweli wa mambo..., badala ya kufumbwa macho kwa pazia la ushabiki wa kisiasa
 
CHADEMA ni kama mvua , ikataka kunyesha inanyesha tu, Mtayaoga tu.

wakati umewatupa mbali sana wapuuzi hawa, Hakuna namna yakuikwepa CDM katika utawala wa nchi hii...endelee kuota ndoto zao na michapo ya kihayawani
 
huwa nasikitika sana mtanzania mwenzangu anapokuwa na mawazo kama haya...anatetea serikali hiihii?....kesho yake akiumwa analalamika kulala chini mwaisela!

huyu atakuwa fisadi tu.ndio wanaokitetea chama cha mapinduzi.kuna mafisadi papa,mafisadi nyangumi,mafisadi wadogo na mafisadi watarajiwa.hawa ndio magamba bwana.
 
Hakuna chama bora bongo lakini maccM nimeyachoka aje tuu hata huyo shetani

"To know the enemy is half the victory"
 
Kilichokufanya uandike thread kama hii ni chuki tu na unafiki.Ukweli unaujua sana,ila kwa sababu fikra zimezungukwa na ukungu wa udini na uzandiki,basi unataka watu waaminini propaganda zako za bei rahisi.Watu wa CUF na CCM tunajua lenu moja na adui yenu namba 1 ni Chadema.Lakini CUF mna kumbukumbu ndogo kama ya Samaki-na sababu zipo lukuki...
1:Miaka kadhaa iliyopita aliibuka IGP wa wakati huo-Omar Mahita(a.k.a Ngunguri/akidhihaki nickname/slogan yenu ya Ngangari) akasimama kwenye National televesion akiwa na visu vya kukatia vitunguu kama ushahidi wake kwamba CUF ni chama cha kijasusi.Hizi zote zilikuwa propaganda za CCM.Hizo zilikuwa propaganda za CCM ili kuuwa upinzani mkali wa CUF.Mmeunda serikali ya mseto leo mnaanza kuishambulia Chadema...huku mkiwa mmesahau mlipotoka.
2:Uchaguzi wa mwaka 2005 mlipotetea haki zenu kule Pemba Mkapa na serikali yake aliwapiga mabomu vizuri tu na kusababisha vifo kadhaa.Kwa mara ya kwanza watanzania wakawa wakimbizi ktk nchi yao na kuishia Kenya na Somalia.
3:CUF ilipoonekana inaisumbua CCm...magamba wakaja na propaganda ya udini..kwamba CUF ni chama hatari na cha kigaidi.Leo hii mmepewa dola mmejisahau.
In short...kinachofanya CUF ikose mvuto ni muendelezo wa siasa za maji taka za ccm kwa Chadema na kuiunga mkono CCM kiaina.Sasa hivi CUF-katika fikra za watanzania walio wengi sii chama cha upinzani tena,na sababu ni moja tu..mmejisahau na ndio maana mnaitwa mke wa CCM.KILA PROPAGANDA NA MATAPISHI YA CCM MNAYAMEZA BILA KUJIULIZA.MATOKEO YA UDIWANI YA JUZI YANATOSHA KUWAPA ANGALIZO LA JINSI MNAVYOPOROMOKA.KTK VIT 22 HAMJAPATA HATA KIMOJA.POLENI SANA.
 
Hiki chama baada ya kujua kuwa hakikubaliki sehemu nyingine sasa kimehamia kule arusha na wanachofanya sasa ni kutaka kuwajulisha watanzania kwamba bado kipo lakini hiyo sio dawa kitazikwa tu matokeo ya uchaguzi mdogo wa madiwani ni kielelezo tosha.

umefanya uchunguzi?
 
Wewe ni mgonjwa wa akili na unahitaji tiba. Hoja yako haina masshiko na tunajua mnaweweseka kwa kasi na nguvu ya Umma. Kazi ni moja na ni pevu. Endelea kuwapa ----- wasioelewa ukombozi wa raslimali za nchi hii. wewe utakuwa ni matokeo ya shule za kata kwani hata uwezo wa kujenga hoja wako ni wa kiwango cha chini. In fact watu wanapigana kuondoa adui ujinga pamoja na mengine, kuwaamsha watu wa aina yako kutoka usingizi mzito. Hata jina lako la JF lina dalili zote za kuchoka.
 
[h=5]BABA WA
TAIFA MWL JULIUS KAMBARAGE NYERERE ANASEMA KATIKA KITABU CHAKE CHA"
TUJISAHIHISHE"UKWELI UNA TABIA MOJA NZURI SANA,HAUJALI MKUBWA WALA
MDOGO,HAUJALI ADUI WALA RAFIKI,KWAKE WATU WOTE NI SAWA,PIA UKWELI UNA
TABIA YA KUJILIPIZA KISASI KAMA UKIPUUZWA.UKIONA NATAKA KULIPIGA TEKE
JIWE KWA KUWA NAFIKIRI NI DONGO AU MPIRA,NATUMAINI UTANIONYA,LAKINI
NIKILIPUUZA ONYO LAKO KWA SABABU ETI WEWE NI MDOGO AU KWA SABABU
SIKUPENDI ,NIKALIPIGA TEKE,BASI LITANIVUNJA DOLE JAPO NINGEKUWA
NANI.UKWELI HAUPENDI KUPUUZWAPUUZWA....

Baada ya Kushindwa tu Dk Slaa alitangaza na CD zipo nchi hii
haitatawalika na sasa tunaona Tanzania inakoelekea..kama Serikali
mtaendelea kuwachekea CHADEMA Tanzania itakumbana na Mauaji ya
Kimbari..Kama nchi inaongozwa kwa mujibu wa katiba Sheria mama kwa nini
mnawachekea Chadema? tumieni sheria kuwaadhibu,tumechoka na kuwachekea
na kuwabembeleza utadhani wao ndio wenye dola bana.

Ndugu watanzania naomba nitumie fursa hii kuwaeleza ukweli wale
wachache wanaokiunga mkono CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO kwamba
waweze kutoka huko,huko kuna magaidi,huko kuna ukabila,huko kuna
udini,huko kuna kuligawa taifa vipande vipande maana sera zao zimejikita
kwenye majimboism nk,hawa ni watu hatari sana,tazameni wanavyofadhili
matukio ya kigaidi huko Arusha,wanamwaga damu za watu wasio na hatia
kwa manufaa yao binafsi.kwa uelewa wao mfupi wanadhani matukio kama
haya ya ugaidi yanaweza kuifanya serikali iliyoko madarakani kushindwa
kutawala ili wao waweze kufanikisha mambo yao. nasema imefika wakati
muafaka Watanzania wajenge uasi dhidi ya hawa wanasiasa
uchwara,wawakatae waziwazi tena mchana kweupe kwani ni hatari taifa
letu kupoteza amani na mshikamano kwa sababu ya kundi la watu wachache
wasio na nia njema....,MUNGU IBARIKI AFRIKA.MUNGU IBARIKI
TANZANIA...AHSANTENI
[/h]

we ni mjinga na mdin kama ccm walivyo wajinga na wadini
 
[h=5]BABA WA TAIFA MWL JULIUS KAMBARAGE NYERERE ANASEMA KATIKA KITABU CHAKE CHA" TUJISAHIHISHE"UKWELI UNA TABIA MOJA NZURI SANA,HAUJALI MKUBWA WALA MDOGO,HAUJALI ADUI WALA RAFIKI,KWAKE WATU WOTE NI SAWA,PIA UKWELI UNA TABIA YA KUJILIPIZA KISASI KAMA UKIPUUZWA.UKIONA NATAKA KULIPIGA TEKE JIWE KWA KUWA NAFIKIRI NI DONGO AU MPIRA,NATUMAINI UTANIONYA,LAKINI NIKILIPUUZA ONYO LAKO KWA SABABU ETI WEWE NI MDOGO AU KWA SABABU SIKUPENDI ,NIKALIPIGA TEKE,BASI LITANIVUNJA DOLE JAPO NINGEKUWA NANI.UKWELI HAUPENDI KUPUUZWAPUUZWA....

Baada ya Kushindwa tu Dk Slaa alitangaza na CD zipo nchi hii haitatawalika na sasa tunaona Tanzania inakoelekea..kama Serikali mtaendelea kuwachekea CHADEMA Tanzania itakumbana na Mauaji ya Kimbari..Kama nchi inaongozwa kwa mujibu wa katiba Sheria mama kwa nini mnawachekea Chadema? tumieni sheria kuwaadhibu,tumechoka na kuwachekea na kuwabembeleza utadhani wao ndio wenye dola bana.

Ndugu watanzania naomba nitumie fursa hii kuwaeleza ukweli wale wachache wanaokiunga mkono CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO kwamba waweze kutoka huko,huko kuna magaidi,huko kuna ukabila,huko kuna udini,huko kuna kuligawa taifa vipande vipande maana sera zao zimejikita kwenye majimboism nk,hawa ni watu hatari sana,tazameni wanavyofadhili matukio ya kigaidi huko Arusha,wanamwaga damu za watu wasio na hatia kwa manufaa yao binafsi.kwa uelewa wao mfupi wanadhani matukio kama haya ya ugaidi yanaweza kuifanya serikali iliyoko madarakani kushindwa kutawala ili wao waweze kufanikisha mambo yao. nasema imefika wakati muafaka Watanzania wajenge uasi dhidi ya hawa wanasiasa uchwara,wawakatae waziwazi tena mchana kweupe kwani ni hatari taifa letu kupoteza amani na mshikamano kwa sababu ya kundi la watu wachache wasio na nia njema....,MUNGU IBARIKI AFRIKA.MUNGU IBARIKI TANZANIA...AHSANTENI
[/h]

Hizi pumba ulizoandika hata nguruwe haziwezi,mlamba viatu wa watawala inasikitisha sana Kuwa na mtanzania kama Wewe kutetea majangili na madalali wa nchi yako...shame on u lumumba buku 7 fc.
 
Huo ndio ujinga. Kwani nchi hii inatawaliwa na CHADEMA? Hata kama walisema hivyo wao ndio wenye polisi wanaoua watu kwenye maandamano na mikutano ya kisiasa. Walioua watu watatu kule Arusha, Ruvuma. Iringa, Mtwara na Mbeya sasa ni CHADEMA? CHADEMA walikuwa sahihi kusema hivyo kwasababu hata sasa nchi haitawaliki kwasababu CCM serikali yake wanaua raia wasiokuwa na hatia na kuwabambikizia watu kesi kisha kuwakamata na kuwatesa mahabusu na magerezani bila hatia. Wale polisi waliompelekea mfanyabiashara fuvu la kichwa kule Morogoro, walioua kule Iringa, Mtwara, Ruvuma na Mbeya ni CHADEMA? Aliuyesema polisi wawapige raia wanapokaidi amri badala ya kuwafikisha katika vyombo vya sheria ni CHADEMA? Huyu si mchochezi wa uvunjifu wa amani? Aliyewapandisha vyeo askari wanatuhumiwa kwa mauaji ya raia wasiokuwa na hatia naye ni CHADEMA? Kwa taarifa yako wanaofanya nchi isitawalike ni Jakaya kikwete, Pinda, Nape, Mwigulu, Wassira, Nchimbi, Mwema, Ndugai, Makinda na Lukuvi!
 
Back
Top Bottom