Recent content by Ngolokolo

  1. N

    Somo muhimu la maisha kupitia Makada watatu

    Nafikiri pia kuna somo kubwa juu ya jambo hili. Tujiulize hoja zao zilizowapelekea kufukuzwa, kuonywa na kupewa kalipio zinamashiko. Kama zinamashika pamoja na adhabu walizopewa binafsi nawapongeza na kama hazina mashiko basi walicheza na wanastahili pia. Nilichojifunza kwa hawa watu ni...
  2. N

    Nimsaidieje ndugu yangu huyu?

    Kwanza kaa naye kwa muda ongea naye ujue anataka kufanya nini, pili mwambie kwa uwazi tabia zake na jinsi itakavyo kuwa ndoto kufanikiwa kama hatakuwa tayari kubadilika tatu hata akushawishi vipi mpe pesa achana naye ukija naye atakuwa mzigo kwako na anaweza kukuharibia michongo yako. Mwambie...
  3. N

    Simba mnyama: Kiumbe kinachoogopwa mno na wanyama wenzake huko mbugani, hupingana wenyewe kwa wenyewe tu

    Asante Sana umeniongezea pale nilipokuwa nimeishia ufahamu wangu. Mwanangu anawajua wanyama wote nimekuwa namfundisha na sasa nipo kwenye kumfundisha tabia na mienendo ya wanyama. Kwa sasa anakaribia miaka mitano na anajiita na mtaalamu wa wanyama kwakuwa anauwezo wa kuwatambua kwa haraka kuliko...
  4. N

    Mjadala - Kitabu cha unyama wa Paul Kagame: Behind the Presidential Curtain: Inside Out of real Paul Kagame

    Hiki kitabu hata kama hakina ukweli asilimia miamoja lakini ni kitabu kinachosisimua na kutisha. Kimenipa picha kwanini mpaka wa Uganda na Rwanda umefungwa lakini pia mpaka wa burundi na rwanda. Nimeona alivyo mgusa mzee kikwete na nimekumbuka mmauzi magumu aliyoyafanya kuwaondoa wakimbizi...
  5. N

    Kwanini watu hawafungui 'Saving Accounts' benki na badala yake wanahangaika na Vikoba?

    Nahisi mtoa mada hii hajapata kuelewa kwa upana dhana ya uendeshaji wa mfumo wa VICOBA na badaoa yake amechangaya na uendeshaji wa upatu. Labda tu nitupie maswali kadhaa je unapata faida gani unapoweka akiba zako benki? Je benki zinakupa benefit gani kwa kitendo cha wewe kuweka pesa kwao je...
  6. N

    Kwanini Prof. Assad hakumwambia Rais kuhusu matumizi yasiyojulikana ta Trillion 1.5 alipokabidhi ripoti yake?

    Nafikiri CAG ametuonyesha njia nzuri kuwa usomi unabaki palepale hata kama kutakuwa na vitisho. Kiufupi CAG ameandika kwa hekima na kupunguza mchemko na tafurani kubwa. Tujiulize amejuaje pesa zimetumika na bila kujua zimetumikaje hiyo ni moja ya hoja ya kutojua pesa zilipo maana yake zimeibiwa...
  7. N

    Polisi hawaruhusiwi kuchukua kesi za kudaiana hela

    Asante sana kwa ushauri Lakini ikatolea nimepeleka pesa kwa mtazamo kuibiwa kwa njia ya udanganyifu kwa maana alitakiwa anilipe ndani ya miezi mitatu sasa anamwaka mmoja hivyo naomba msaada wa polisi au nakwenda mahakamani
  8. N

    RIWAYA: Kikosi cha Pili

    Asante sana mwisho mzuri
  9. N

    OPERATION GOTHIC SERPENT: Nguvu ya Itikadi, Imani na Ushujaa uliotukuka

    Story Inasisimua na kuniweka kwenye tafakali kubwa
  10. N

    Serikali mnaijua bei ya kununua teknolojia ya kutengeneza madawa?

    Mawazo yangu Mkuu wa nchi nahisi either hana uelewa wa Viwanda au hana uelewa wa Ujasiriamali. Kwanini asiongee na watu kama shelys wazalishe drip na mabomba kwa mfumo wa shares km anaona umuhimu wake au Viwanda Vungine ambavyo vimekuwa na uzoefu. Shida yake anaongea na hataki kuwekeza na...
  11. N

    RIWAYA: Kikosi cha Pili

    Ipo pouwa
  12. N

    RIWAYA: Kikosi cha Pili

    Imefika patamu zaidi
  13. N

    RIWAYA: Kikosi cha Pili

    Tutakuunga mkono
  14. N

    RIWAYA: Kikosi cha Pili

    Ni tag pls
Back
Top Bottom