Habibu B. Anga
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 6,557
- 25,757
- Thread starter
- #61
Pamoja chiefThe Bold katka ubora wako
Pamoja chiefThe Bold katka ubora wako
Shukrani sana chiefPamoja mkuu tupo pamoja big up sana
Pamoja sana chiefSafi mdau tuko pamoja. Nakisubilia kitabu
Salute chiefPamoja chifu mkuu The Bold.
Salute chiefNitqkupenda milele kaka...asante kwa chakula cha ubongo
Sawa Mkuu...mkuu the bold naomba uniweke kwenye tag list twafadhali
Nakupata kwa link gani kny mtandao?Pamoja sana chief...
Vipepeo Weusi Season 2 leo jioni kitaweka mwendeleza. Pamoja na mwendelezo wa TOH
unafanananisha Ontario na the bold. hao ni watu wawili tofauti. acha kukurupuka.
IdiotUmeisha shiba makande we mbwa nenda katizame Black Hawk Down uswahili ni mzigo mliitwa wapumbavu na Lodi lofa. forex sio level zako ukoo wenu mzima hajawaikua hata na mali ya milion 10 unaleta kelele hapa.
inaonekana unajua mpaka rangi ya boxer zao....basi sawa.Wewe ndo unakurupuka ndugu. Hujui uhusiano kati ya TMT na The Bold
Tupo pamoja Habib AngaAsante sana chief
Kwani unamlipa bei gan?!![emoji35] [emoji35]Bora tu utoe kitabu kuliko mambo yako ya ITAENDELEA.
We fala nini?mm nishamshauri humu kuhusu kuandika vitabu ili anufaike na kipaji chake na pia atupunguzie arosto ya kusubiri mabandiko.Tuliza matako..mm sipendi vitu vya bure kama wewe.Kwani unamlipa bei gan?!![emoji35] [emoji35]
Povu la nini mdada, swali mbona jepesi sana. Lazima tuheshimu ratiba za watu. Mtu anakupa kitu bure mwache awe free. Usitake kumdrive. Je akisema hatumi tena utamdai?? Jitambue....We fala nini?mm nishamshauri humu kuhusu kuandika vitabu ili anufaike na kipaji chake na pia atupunguzie arosto ya kusubiri mabandiko.Tuliza matako..mm sipendi vitu vya bure kama wewe.
Yaishe tu.Pia mm sio dada,pasaka njema.Povu la nini mdada, swali mbona jepesi sana. Lazima tuheshimu ratiba za watu. Mtu anakupa kitu bure mwache awe free. Usitake kumdrive. Je akisema hatumi tena utamdai?? Jitambue....