Somo muhimu la maisha kupitia Makada watatu

Somo muhimu la maisha kupitia Makada watatu

Umenena na kutoa ushauri wenye busara na hekima.

Akili ni nywele, kila mtu ana zake, wahenga walinena.

Isitoshe, binadamu huingia na kutoka duniani peoe yake, hata mapacha juna Kurwa na Doto.

A hand to on a silver platter, no way.
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]

Jr[emoji769]
 
Maamuz sahihi yanaweka uhuru wa nafsi..
Ni vizuri kuweka kumbukumbu kuwa hawa watu walikuwa na makosa tofauti tofauti hivyo utetezi wao hauwezi kuwa sawa. Makamba na Kinana walikuwa na makosa sawa lakini Makamba akaandika barua ya kuomba msamaha kama inavyoelezwa. Kinana hana cha kupoteza hivyo hakuwa na sababu za kuomba msamaha, kwa Makamba bado anaamini January ana nafasi ya kuwania uraisi hata kama si mwaka huu, hivyo mzee hataki kuweka records mbaya ambazo zitakuwa kikwako kwa dogo kutimiza ndoto yake.
Tukija kwa Membe huyu ndani ya chama anaonekana bado ni real threat, akiwa na watu walio nyuma yake kutokea kwenye chama, idara muhimu na hata nje ya hapo. Lakini zaidi amesisitiza msimamo wake wa kugombea uraisi na yuko thabiti katika hilo. Kumbuka kuna watu wamekalia viti vya watu, yaani hata upepo ukipita wanadhani ni wenyewe wanarejea, hivyo usishangae kuona hata kuku akigigwa kombora la kuzamishia meli.
Siasa ni makundi, kila kundi likitaka kuangamiza kundi lingine, lakini ukiwa na rafiki wa kweli alie katika kundi pinzani atakusaidia kuliko wale ulio nao katika kundi moja.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nafikiri pia kuna somo kubwa juu ya jambo hili. Tujiulize hoja zao zilizowapelekea kufukuzwa, kuonywa na kupewa kalipio zinamashiko. Kama zinamashika pamoja na adhabu walizopewa binafsi nawapongeza na kama hazina mashiko basi walicheza na wanastahili pia.

Nilichojifunza kwa hawa watu ni ujasiri, kuwa tayari kwa lolote bila uoga na ndio maana hata baada ya adhabu sinaona yeyote ambaye amelia au kujuta. Wamebaki kimya, hawana cha kupoteza, lakini historia imeandikwa mwanajeshi au jasusi haombi msamaha na yupo tayari kufa. Somo ambalo najifunza kwao hawa ni wanaume, hawa wamekomaa lakini kwakuwa maamuzi yalikuwa juu yao kwa sababu ya mapungufu za katiba zetu basi walitakiwa kuadhibiwa.


Hawa ni wanaume na wapiganaji na mfano mzuri kwa vijana wasio na msimamo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pitia tna kule Bumbuli km wako karibu na Bahari Narudia tna yule Mzee sio mswahili wala anasifa ya kuwa Mswahili kwa kkusaidia hkn mswahili anafikiri kupitia tumbo lake...
Mswahili ni mtu ambaye asili yake ni pwani ya Afrika ya Mashariki na ambae lugha yake ni Kiswahili, mkuu mzee haingii hapo?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom