Recent content by New2JF

  1. New2JF

    JamiiForums Tanzania Tafadhali jibu swali lifuatalo bila kudanganya

    Nililala na baba na mama wazazi
  2. New2JF

    JamiiForums Tanzania Watu wa sua mbona tuko kimya sana?????

    Kozi za SUA si kama hizo za kingwini za vyuo vingine, at least kwa miaka tuliosoma sisi. BIG Respect to SUA
  3. New2JF

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Wassira ajiunga Chadema

    Mbona hafanani naye?
  4. New2JF

    JamiiForums Tanzania Hamis Kigwangalla ndani ya Kyela kwa Mwakyembe... CCM kunani?

    Wakae wakijua NO LONGER AT EASY...
  5. New2JF

    JamiiForums Tanzania Waziri wa JK ahenyeshwa na Mratibu wa Kata

    Na vipi wabunge ambao ni wakuu wa mikoa au wilaya?
  6. New2JF

    JamiiForums Tanzania JamiiForums game of the year

    Tufanye yale yanayompendeza Mungu pekee.
  7. New2JF

    JamiiForums Tanzania I love you not because of who you are but who i am when i am with you

    Nimependa ujumbe ulioandika.
  8. New2JF

    JamiiForums Tanzania MWANGOSI nakulilia

    MNYIKUNGU umetoa maneno makali na mazito kwa mtu yoyote atayesoma. Hakika Mwangosi amekuwa si kitu tena mbele ya polisi bali ni nyamanyama na mautumbo tu!!! THIS IS UNFAIR. FROM MY HEART, SOMETHING MUST BE DONE, AND I WILL DO IT.
  9. New2JF

    JamiiForums Tanzania Msaada:je mimba hii inaweza kuwa yangu?

    Kama amebleed, hana mimba huyo
  10. New2JF

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu yuko sahihi: Majaji wengi hawajahitimu vyuo na elimu zao ni za mitandaoni

    Wanaanza kugeukana na kuvuana nguo sasa. Jamhuri gazeti alilolianzisha Lowassa!!!!
  11. New2JF

    JamiiForums Tanzania Dr. Kafumu (CCM) avuliwa ubunge Igunga!

    Haya vipi kuhusu yale marupurupu yote aliyokwisha pokea bungeni? kama gari, mikopo??? au ndio ilikuwa njia ya kuenda kukomba vyetu then anaachia??? WHO'S NEXT.............???
  12. New2JF

    JamiiForums Tanzania Tuachane na Forbes, nani tajiri namba 1 Tanzania?

    We kweli huna info. Hiyo gari kwa taarifa yako aliuziwa na mtoto wa bahresa- yusuph!
  13. New2JF

    JamiiForums Tanzania Mwigulu amvisha mbwa bendera ya CHADEMA

    Yaani hii ni nyepesi hivi??? mbona wana siasa za kitoto na kijinga namna hii??? Dawa ya wapumbavu kama hawa ni hii:- nashauri cdm wachukue bendera za ccm wawavalishe nguruwe kwa operesheni itakayoitwa '' VUA GAMBA VALISHA NGURUWE"
  14. New2JF

    JamiiForums Tanzania True Story: Binti alivyotumia mbinu ya kijasusi ili kuolewa.

    Nzuri...lakini sidhani kama hii ni mbinu ya kijasusi...mbona nyepesi hivyo? au kwakuwa amemkuta mwanaume mwenyewe naye mwepesi??
  15. New2JF

    JamiiForums Tanzania Said Mtanda vs Dr. Hamis Kigwangalla

    Precise Pangolin embu tupe data zaidi za huyu Saidi Bangile maana twahitaji kujua...hadi ilipotokea kabadili jina. Nilisikia hata Mwigulu sio jina lake halisi???
Back
Top Bottom