Tafadhali jibu swali lifuatalo bila kudanganya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tafadhali jibu swali lifuatalo bila kudanganya

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by nhassall, Sep 28, 2012.

 1. n

  nhassall Senior Member

  #1
  Sep 28, 2012
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 198
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Je mwanamke wa kwanza kulala naye toka uzaliwe ni nani?

  Je mwanaume wa kwanza kulala naye toka uzaliwe ni nani?
   
 2. olele

  olele JF-Expert Member

  #2
  Sep 28, 2012
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 712
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 60
  hv ni lazima kila m2 awe amelala na mwanmke/mme
   
 3. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #3
  Sep 28, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,106
  Likes Received: 6,805
  Trophy Points: 280
  Mimi my 1ST tulivomaliza secondary (Mnashtuka nini? Sekondari hapo nilikuwa kati ya walichelewa kujua mambo ya kikubwa) aliendaga ULAYA kusoma na kuchakachua MIBOX, akaniachaia ahadi kedekede, MPAKA KESHO SIJAMUONAAA!!! Sijui yupo hai au kafa au hata anaendeleaje. Ila i envy watu wanaopataga 1st and last, so sweet!
   
 4. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #4
  Sep 28, 2012
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 14,524
  Likes Received: 1,231
  Trophy Points: 280
  Mama yangu pindi tu nilipozaliwa tarehe 1/09/1989 na nikaacha kulala nae nilipofikisha umri wa miaka minne nikaanza kulala na brothers
   
 5. betlehem

  betlehem JF-Expert Member

  #5
  Sep 28, 2012
  Joined: May 9, 2012
  Messages: 6,267
  Likes Received: 737
  Trophy Points: 280
  wa kwanza kulala nae anaitwa Timarapakxe Hirjanehj
   
 6. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #6
  Sep 28, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 23,957
  Likes Received: 2,631
  Trophy Points: 280
  nikikutajia utamjua.....?
   
 7. Wi-Fi

  Wi-Fi JF-Expert Member

  #7
  Sep 28, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 2,001
  Likes Received: 562
  Trophy Points: 280
  Ni lilala na baba na mama kabla sijachongeshewa ka-kitanda kadogo!
   
 8. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #8
  Sep 28, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Mi bado, tangu nizaliwe nalala mwenyewe!
   
 9. V

  Von Mo JF-Expert Member

  #9
  Sep 28, 2012
  Joined: May 7, 2012
  Messages: 1,832
  Likes Received: 754
  Trophy Points: 280
  tunazinguana ili iweje, inakusaidiaje?, swali la power jam EATV Radio unaleta huku tena.........
   
 10. New2JF

  New2JF Senior Member

  #10
  Sep 28, 2012
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 123
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nililala na baba na mama wazazi
   
 11. awp

  awp JF-Expert Member

  #11
  Sep 28, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 1,715
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  makubwa hayo ni utoto tuu ataacha akikua
   
 12. D

  Diga Diga Senior Member

  #12
  Sep 28, 2012
  Joined: Sep 3, 2012
  Messages: 187
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  You have impressed me a lot with your reply. I really love it, Big up!
   
 13. D

  Diga Diga Senior Member

  #13
  Sep 28, 2012
  Joined: Sep 3, 2012
  Messages: 187
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Anza kumtaja wa kwako halafu uandae Excel Sheet watakaofuatia wataorodheshwa humo.
   
 14. Autorun

  Autorun JF-Expert Member

  #14
  Sep 28, 2012
  Joined: Mar 21, 2008
  Messages: 555
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Nili lala na mama yangu pale hospital pindi nilipozaliwa
   
 15. n

  nhassall Senior Member

  #15
  Sep 28, 2012
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 198
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hata mimi nililala na mama yangu tu pindi nilipozaliwa
   
 16. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #16
  Sep 28, 2012
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,346
  Likes Received: 1,311
  Trophy Points: 280
  Hiyo "kulala naye" maana yake nini? Tafsida hizi zinaweza leta tabu...ona hii nyingine....."kutembea naye"! :A S-coffee:
   
 17. n

  nhassall Senior Member

  #17
  Sep 28, 2012
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 198
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mbona unapaniki, unatakiwa kujibu swali siyo kuuliza swali juu ya swali
   
 18. n

  nhassall Senior Member

  #18
  Sep 28, 2012
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 198
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wa kwanza kulala naye ni mama yangu. hiyo excel sheet ndo uiandae wewe sasa, maana ndo mawazo yako mwenyewe si yangu kwa maana hiyo wewe ndo unawajua zaidi
   
 19. piper

  piper JF-Expert Member

  #19
  Sep 28, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 3,260
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Ni mwanamke, au unataka utajiwe majina?
   
 20. Fekifeki

  Fekifeki JF-Expert Member

  #20
  Sep 28, 2012
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 1,014
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  Nadhani analenga wale ambao walishafanya hilo tendo! Kama wewe haujafanya haikuhusu!
   
Loading...