Msaada:je mimba hii inaweza kuwa yangu?

Take it from me, kama unachosema ni kweli basi hiyo mimba siyo yako na wala usipoteze muda wako hapo. Anataka kukuuzia mbuzi kwenye gunia. Kuna kadume kengine kamemjaza huyo binti. Kalagha bakho.
 
Pole sana kakamkubwa,it happens sometimes me nafikiri jiandae tu kua mzazi kwasabu hata me yalishanikutaga hayo nkasubili hadi alipozaliwa nkakuta tunafanana kama matofali
 
Je mlifanya mapenzi yasiyo ya kinga siku za nyuma(wiki 2 au 1.5) kabla ya bleed?
Mara nyingi dalili za kuingia bleed hushahabiana kwa kiasi fulani na dalili za mimba...na uzuri dalili za mimba huanza kujionesha kipindi kilekile ambacho mwanamke hukaribia bleed. Kwa hiyo kuna uwezekano huyo kidosho wako alikua anahisi dalili za mimba na wala sio bleed.
Jiulize tena ni lini mara ya mwisho ulifanya mapenzi bila kinga?
 
Watu wengine bana! Wewe unajua matokeo ya hicho kitendo halafu unatuuliza sisi tukusaidie! Leeni mimba yenu bana, acha kutafuta visingizio vya kuikwepa.

nawewe hacha UTOTO hiyo mimba ni yahuyo mwanamke tangulini mwana mume akawa na MIMBAAA au unataka kuzalishwa??
 
Kama amebleed, hana mimba huyo



afadhali umenena,kwanza mtu anapoanza ku'bleed,yai linakua lilishakufa 2weeks ago....bcoz for a cycle of 28 days,yai hutoka siku ya 14,hypothetically huyu mtu anakua kamaliza bleed siku ya tano(yaani siku 9 zilizopita kabla ya yai kutoka).With no doubt,hiyo mimba si yako.......huyo bibiye muongo....
 
nawewe hacha UTOTO hiyo mimba ni yahuyo mwanamke tangulini mwana mume akawa na MIMBAAA au unataka kuzalishwa??

Maybe una jambo la kuandika/kutuambia ila kwanza kajifunze phrasing, matumizi ya capital letters na punctuation halafu urudi hapa ulete ujumbe wako.
 
nimeshangazwa na majibu yanayokinzana toka kwa wadau mbalimbali,huo ni uthibitisho kuwa elimu ya uzazi huenda hatuna kabisa au tunayo ya kijuujuu tu na badala yake tunatumia maarifa ya mtaani.

naomba walio-specialize na mambo hayo waje watudadavulie kitaalam
 
hakuna kitu kama hicho kuna lingine linawezekana likawa halijaharibika ndio maana wanakuambia usiduu kwa siku tatu baada ya kubleed so lazima iwe yako jombii..

Anzisha mchango, tumchangie Nebi kama si pampaz!haya mambo bwana watu wanajua ni kuduuu tu
 
Back
Top Bottom