Haya vipi kuhusu yale marupurupu yote aliyokwisha pokea bungeni? kama gari, mikopo??? au ndio ilikuwa njia ya kuenda kukomba vyetu then anaachia???
WHO'S NEXT?....
na huu ni ushindi wa Nape kwani walimkataa kushiriki kampeni Igunga
hapa heshima itapatikana tu
Mwenye kumbukumbu ya haraka alifahamishe, Tundu Lisu alimsemaje huyu jaji? Nataka nijue kama analysis ya Lisu ina mantiki
Kama hiyo pesa ni ya mkopo hapo kweli kuna kazi...Si tu muda mfupi bali pia kwa gharama kubwa. Majuzi alitoa msaada wa shilingi milioni 400 kwa waliokuwa wapiga kura wake. Swali la kujiuliza hapa ni kama fedha hiyo ni halali na kaipataje? Na kama ni ya mkopo vipi atairudisha ikiwa ubunge wenyewe ndo umeota mbawa!
Teh teh teh....Kafumu uso mdogo km nukta,Ulipokelewa bungen kwa shangwe mpk nikazima tv.Kumbe ni udhalimu tupu
Mkuu hapa siyo Nape peke yake Lowasa pia coz uchaguzi wa igunga ulikuwa wakurudisha Heshima.This is total failure kwa Mwigulu coz chaguzi zote ambazo alikuwa kampeni maneja CCM Chali.:nerd:
Huyu hayupo katika orodha ya majaji feki. Inaelekea ni wa ukweli huyu.
Tumepata habarii jujuu kwamba ubunge wa Kafumu umefumuliwa na kwamba Rage kahukumiwa jela miaka miwili. Hii ama kwa hakika ni habari njema kuelekea ukombozi kamili dhidi ya mkoloni CCM
Hata hivyo ni vyema habari kamili ikawekwa hapa janvini