OSOKONI
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 10,965
- 5,344
Usikute katumwa.....hhahaaha
yeah maana Wassira aliwahi kuitabiria mabaya CDM labda ndio anaanza mbinu zake za kizamani !!
Usikute katumwa.....hhahaaha
Katika watu wanaikashifu Chadema na kuwa na maneno ya maudhi ni Waziri Wassira. Sasa kwa kuonyesha kuwa M4C haina msamaha hata kwa familia yake mtoto wake aishie USA aitwae Makongoro Wassira amejiunga na M4C.
Akizungumza wakati anakabidhiwa kadi alisema yeye ni wa kwanza tu kujiunga M4C lakini ndugu zake wote wapo mbioni kujiunga na anadhani baba yake pekee ndie atabaki CCM.
Peopleeeeeeeeeeeeeeee power.
![]()
Viongozi wa Tawi la Chadema Houston wamkabidhi Kadi ya Chadema Makongoro Wassira
Angalia picha hapa CHADEMA USA
Hakuna atakayesalimika na M4C hakuna haja kuwa na wac CDM ipo makini akileta za kuleta atashtukiwa na kupigwa chini kama mzoga...
Mtoto wa Mtei aukwaa uenyekiti wa CCM wilaya ya Arumeru!
So what?????Mtoto wa Mtei aukwaa uenyekiti wa CCM wilaya ya Arumeru!
Peoplesssssssssssssssssssssss poweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeerCHADEMA KIBOKO YAO.atabaki kingunge
Historia inatuambia kuwa Wassira aliwahi kujinga na chama cha upinzani (NCCR MAGEUZI).Pengine siku za mwisho za CCM zikikaribia anaweza kuwa mwanachama wa CHADEMA.
Mtoto wa Wassira rudi Tanzania kamrithi mzee Bunda.