Nicholas
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 25,260
- 7,195
Kushiriki maombi?
Kaanza maombi?ushirikina umeshindikana.Na mbeya kuna madhehebu mengi vya kutosha..ila si wana kina Rwakatare, pro deep/long water, yahaya hajatangaza mrithi?
Kushiriki maombi?
Kwa mujibu wa tweets za mbunge wa nzega, inaonekana ameelekea kyela kwenda kushiriki maombi na mheshimiwa waziri mwakyembe.
Je, hili ni kundi la ngapi la CCM?
and " the liver between"Things Fall Apart -- Chinua AChebe.
and " the liver between"
and " the liver between"
na wengine umewasahau Mtutura, Hilda Ngoye, Sugu moto chini, Tizeba, Kilufi, Zambi, Lembeli, Kabati, Ummy Mwalimu, naona kundi kubwa hili sijui wanapanga nini hawa , tuwaache wasindikizane mwisho waoMwandosya, Mwakyembe, Sitta, Kigwangala na Maige ameonekana huko. Hivi kundi lao linataka nini hasa?
Wakae wakijua NO LONGER AT EASY...