Recent content by neva cin neva bin

  1. neva cin neva bin

    Dereva bajaji anyang'anywa bajaji kisa picha ya jengo la CF plaza(Mafinga)

    Hapo nilishawah kupita, hapana mzuka kama miaka ile John corner ndogo inawika, au enzi za shimoni Ebony
  2. neva cin neva bin

    Dereva bajaji anyang'anywa bajaji kisa picha ya jengo la CF plaza(Mafinga)

    Hili jengo linamilikiwa na mfanyabiashara wa mbao anaeitwa C F Ng'umbi ambae ameiga jina la brand na kwny hilo jengo ameandika VUNJABEI KAMA DAR na hana uhusiano wowote Fred Ngajiro ( Mmiliki wa kampuni ya VUNJABEI T GROUP Ltd)
  3. neva cin neva bin

    Ushauri: Ameniacha anataka tuwe dada na kaka

    Bas muwe dada na shoga yake
  4. neva cin neva bin

    Nifanyeje mke wangu aache kula kitimoto?

    Aache kufaidi nyama nzuri kisa mafundisho ya Hellen white?
  5. neva cin neva bin

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Huyu muda mwingi alipoteza wodini, au ulikua hufuatilii mpira enzi hizo?
  6. neva cin neva bin

    Ni kwamba hanipendi namfosi au??

    Njoo kwa Mr Mawivu hapa, video call kila muda
  7. neva cin neva bin

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Huyu odegaard mmoja ni sawa na vimudryk 7000
  8. neva cin neva bin

    Mkoa gani ni mzuri kuishi?

    Njoo Dirty South Iringaaa..... hiyo picha ilikua mwaka 1983 sa hiv patakuajee??? Mwanza,Moro,Dom tupa kuleeeeeee
  9. neva cin neva bin

    am sory boy

    Ndo wake zetu cku hz, wanapenda zaid harus na co ndoa......#poor you
  10. neva cin neva bin

    Madenge ajipanga jimbo la Iringa Mjini

    mkuu ww ndo umemchoka kwa chuki zako binafsi na si wananch wa jimbo hili, wik ilopta kazoa takataka kwa gar yake leo un amuita mzoa mavi, tutabak na msigwa daima, mshindo ipi mitaro imeziba we juha?
  11. neva cin neva bin

    Madenge ajipanga jimbo la Iringa Mjini

    we unapanga kuja kumbe? wenzako wako hapa tayar we njoo tukupige hattrick, kwanza umetudharau wananch unaotaka kura zetu et kaz kushinda uwanja wa mwembetogwa, na tutashinda sana, njoo mkuu uione iringa mjini ya dijitali
  12. neva cin neva bin

    Madenge ajipanga jimbo la Iringa Mjini

    huwez kuona ila nikupe machache, sa hiv iringa mji mzima una taa za barabaran,manispaa wana catapillar kwa ajil ya kuchonga road za hapa town, maji ni meng mpaka yanapasua mabomba,kigonzile nao wanapelekewa maji
  13. neva cin neva bin

    Madenge ajipanga jimbo la Iringa Mjini

    Njoon mjipendekeze tu kwa wanairinga, we madenge unadhan iringa ulokaa ww ndo ya sa hv? tutafanya kama 2010, mi nkiingia chumba cha kupigia kura napiga tu HATTRICK, rais chadema,mbunge chadema,diwani chadema.
  14. neva cin neva bin

    Dr. Slaa amtishia mwandishi wa habari! Ni baada ya kuhoji ufujaji wa fedha za chama

    "he who alleges must prove' ni wajib wa mtoa tuhuma kuthibitisha tuhuma, boss wako mwigulu ndo anatakiwa aende mahakaman, shonzaaa vp? ben saananne ni mbayaaaaaaaaaaaa
  15. neva cin neva bin

    Redio imaan: Tunayo barua ya peter msigwa kwenda kwa maaskofu kuwadhibiti waislam wa iringa

    Iringa ipi hiyo itakayochafuka?? Msigwa ni jembe sa hiv iringa full mataa barabaran af mwez wa 8 lami zinasambazwa mjini hapa, shame on you radio imaan
Back
Top Bottom