Madenge ajipanga jimbo la Iringa Mjini

Madenge ajipanga jimbo la Iringa Mjini

Sasa sijui CCM tutamteua nani, maana kila mtu anataka kugombea, tulisikia Christ Lukosi(Masalia-mbeba box) akitangaza nia na sasa Madenge naye tena, hapo hapo Mama Monica Mbega hajakata tamaa 2015 atajaribu tena bahati yake lakini David Mwakalebela kashasema 2015 lazima aingie kwenye kinyang'anyiro na CCM wasipomteua patachimbika!!

ni,Fredrick,c,Devi
 
Against DEMAMOGIES of SELF IMPOSED DICTATORS in the PARLIAMENT and the DISTRICTS... Sasa HIVI kuna Watu Ambao kwa njia MOJA au NYINGINE walijiunga na VYAMA vya UPINZANI halafu HAWAKUPATA MADARAKA wanayoyataka na kuna WENGINE pia wapo CCM hawakupata CCM-NEC; Wao sasa hivi Wanapendelea INDEPENDENT CANDIDATE just for the sake of DIVISION; Wanaanza kujiita WAZAWA wanaanza kusema kwanini MTU wa MBEYA agombee UBUNGE DAR au MTU wa SINGIDA agombee UBUNGE PWANI...

HIYO SIO MAENDELEO na NIA ya wengi wanaotaka kuwa PRIVATE candidates...
DUNIANI hakuna a PRIVATE candidates - sababu BUNGE ni LA KUTUNGA na KULINDA sheria za NCHI

Sasa kama ukiwa pekee; Utaombaje pesa za MAENDELEO ya WILAYA yako? Au kupendekeza SHERIA as an INDIVIDUAL?

TUACHE ULAFI kaa chini UFIKIRIE KWANZA... ANGALIA NCHI NYERERE aliyotuachia tulikuwa hatufikirii UMIMI sasa hivi kila MTU anajali TUMBO lake...
get focus Dude! it seems like,you have problem to put your thought together. Ian't got no time to go back and forth wichu. Have a nice day
 
Njaa itawaua ,mmesikia ana kiwanda cha maji basi mnafili ana magunia ya hela!! Nyie wanyalu hamnjifunzi, mmemchagua JA PEOPLE kuwa mwenyekiti wa mkoa na kumdhalilisha Mangula kwa sababu ya hela zake na sio kama alikuwa na weledi; na huyo Madenge ana weledi gani zaidi ya Msigwa? Acheni kuwa watu wa kudanganywa kila siku; kule Ismani Lukuvi miaka yote hii na ishirikina wake ameigeuza Ismani kuwa jangwa ilihali wakati wa wakina Mwamwindi ndio ilikuwa GRANARY ya Tanzania!! Ondokeni na huo uzumbukuku.

Ndinani.. tunatafuta umoja, na maendeleo na c purity, Kwani kama ndivyo na msafi asie na doa? Wangapi wamebali kuhangaikia ngono, tena na wake/waume wa watu? Lkn bado twawaona majukwaani? Wangapi wameangamiza maelfu ya watz kwa maamuzi yao mabovu, Leo Wako other parties twawaona waokozi? Wangapi wamegeuza wake/waume zao sehemu ya watendaji wakuu wa vyama vyao lkn bado twawaombia nyimbo za kuwaxfu?
Wangapi wamefilisi banki na mitaji katika taasisi za uma na Leo tunawaona wakombozi?
Nipe ushahid wa mtakatifu yoyote alie ndani ya chama chochote na mi nitatafakari uelew Wako.
Nipe mtu mkamilifu yeyote nami nitaziamini fikra zako.
Nipe mtu yeyote ambae hajatoka nje ya ndoa yake katika wanasiasa wa Leo na mimi nitakuheshimu.
Nitajie hayo nitaaminni Madenge hatufai na tuwaite hao waje kutuongoza
 
Veve wina lukware ,
Mie nakuja huko kuleta mabadiliko siji kukesha na mikutano mwembetogwa. Maendeleo sio mikutano na maandamo mnabaki kusifia nyomi wakati wana wana njaa.
Sitaki kuyaweka bayana hapa nitakayofanya ila kama nilivyoahidi, nitaanza kwa viteno then nitamalizia kwa mikutano.
Mie Iringa ndio kwetu , nimekulia hapo na kusomea hapo hivyo kila kona ninaifahamu vyeaeanataka hivyo itakuwa sio kazi ngumu kutekeleza malengo ya maendeleo.
Huyo mchungaji wenu yeye anaweweseka wala halali anakeshutimiza ahadi alizotoa mwaka 2010. kwa maneno yako hayo hufai kuwa mbunge kwa sab
MIMI NITAANZA NA KUTIMIZA AHADI ZAKE KWANZA

kwa maneno yako haya hufai kuwa mbunge kwa sababu hujui majukumu ya mbunge.kazi za mbunge siyo kutoa pesa mfukoni na kutoa misaada kwa wananchi.kazi yake ni kuunganisha wananchi ili wajiletee maendeleo na kuwasemea wananchi bungeni.pia ni kuisimamia serikali kwa niaba ya wananchi.wewe utawezaje kutekeleza kazi za kibunge kabla ya kuwa mbunge.unachosema ni kwamba utaanza kutoa rushwa mapema. SUWANITI NDAA!
 
Njaa itawaua ,mmesikia ana kiwanda cha maji basi mnafili ana magunia ya hela!! Nyie wanyalu hamnjifunzi, mmemchagua JA PEOPLE kuwa mwenyekiti wa mkoa na kumdhalilisha Mangula kwa sababu ya hela zake na sio kama alikuwa na weledi; na huyo Madenge ana weledi gani zaidi ya Msigwa? Acheni kuwa watu wa kudanganywa kila siku; kule Ismani Lukuvi miaka yote hii na ishirikina wake ameigeuza Ismani kuwa jangwa ilihali wakati wa wakina Mwamwindi ndio ilikuwa GRANARY ya Tanzania!! Ondokeni na huo uzumbukuku.

Ndinani.. tunatafuta umoja, na maendeleo na c purity, Kwani kama ndivyo na msafi asie na doa? Wangapi wamebali kuhangaikia ngono, tena na wake/waume wa watu? Lkn bado twawaona majukwaani? Wangapi wameangamiza maelfu ya watz kwa maamuzi yao mabovu, Leo Wako other parties twawaona waokozi? Wangapi wamegeuza wake/waume zao sehemu ya watendaji wakuu wa vyama vyao lkn bado twawaombia nyimbo za kuwaxfu?
Wangapi wamefilisi banki na mitaji katika taasisi za uma na Leo tunawaona wakombozi?
Nipe ushahid wa mtakatifu yoyote alie ndani ya chama chochote na mi nitatafakari uelew Wako.
Nipe mtu mkamilifu yeyote nami nitaziamini fikra zako.
Nipe mtu yeyote ambae hajatoka nje ya ndoa yake katika wanasiasa wa Leo na mimi nitakuheshimu.
Nitajie hayo nitaaminni Madenge hatufai na tuwaite hao waje kutuongoza
 
Huyu ni madenge yupi? Aliyewahi kuwa askari polisi na baadae kufukuzwa kwa sababu za ujambazi sugu na aligombea mwaka 2005 jimbo la huyu waziri. Fedha wa sasa Mgimwa na ushindwa vibaya? Au ni mwingine.......
 
Njoon mjipendekeze tu kwa wanairinga, we madenge unadhan iringa ulokaa ww ndo ya sa hv? tutafanya kama 2010, mi nkiingia chumba cha kupigia kura napiga tu HATTRICK, rais chadema,mbunge chadema,diwani chadema.

Mkuu wangu sana,mie sio Chadema na mpaka sasa sijaona jambo kubwa alilolifanya Msigwa pale Iringa litakalonifanya nimsikitike akiangushwa 2015,hapana.

Na ninaamini bado kuwa CCM ni chama kikubwa na ndani yake kina watu wengi wenye uadilifu wa kushika nafasi ya Ubunge.

Hofu yangu ni CCM kuzembea sana sikuhizo na kupelekea kuwapa uongozi watu ambao uadilifu wao ni wa mashaka makubwa,ni fedhea na ukosefu wa umakini kwa chama tawala.
huwez kuona ila nikupe machache, sa hiv iringa mji mzima una taa za barabaran,manispaa wana catapillar kwa ajil ya kuchonga road za hapa town, maji ni meng mpaka yanapasua mabomba,kigonzile nao wanapelekewa maji
 
Veve wina lukware ,
Mie nakuja huko kuleta mabadiliko siji kukesha na mikutano mwembetogwa. Maendeleo sio mikutano na maandamo mnabaki kusifia nyomi wakati wana wana njaa.
Sitaki kuyaweka bayana hapa nitakayofanya ila kama nilivyoahidi, nitaanza kwa viteno then nitamalizia kwa mikutano.
Mie Iringa ndio kwetu , nimekulia hapo na kusomea hapo hivyo kila kona ninaifahamu vyema na wengi wananifahamu .
Uzuri ninawafahamu ndugu zangu na ninajua nini wanataka hivyo itakuwa sio kazi ngumu kutekeleza malengo ya maendeleo.
Huyo mchungaji wenu yeye anaweweseka wala halali anakesha kwenye mikutano mwembetogwa badala ya kutimiza ahadi alizotoa mwaka 2010.
MIMI NITAANZA NA KUTIMIZA AHADI ZAKE KWANZA
we unapanga kuja kumbe? wenzako wako hapa tayar we njoo tukupige hattrick, kwanza umetudharau wananch unaotaka kura zetu et kaz kushinda uwanja wa mwembetogwa, na tutashinda sana, njoo mkuu uione iringa mjini ya dijitali
 
huwez kuona ila nikupe machache, sa hiv iringa mji mzima una taa za barabaran,manispaa wana catapillar kwa ajil ya kuchonga road za hapa town, maji ni meng mpaka yanapasua mabomba,kigonzile nao wanapelekewa maji

Muo.ngo. muo.ngo wewe, Njoo uone uchafu ulojaa mshindo,, nyumba zinabebwe na Maji machafu ya mitaro, mji umekosa uwajibikaji.. TUNAHITAJI MBUNGE ATAKAE SIMAMIA TAASISI KUFANYA KAZI, SI MZOA MAVI.. Msigwa hana sera hana jipya, haeshimiki ndani ya Iringa, Labda huko kamati za bunge bhana,, tumemchooooookaaaaa
 
mkuu ww ndo umemchoka kwa chuki zako binafsi na si wananch wa jimbo hili, wik ilopta kazoa takataka kwa gar yake leo un amuita mzoa mavi, tutabak na msigwa daima, mshindo ipi mitaro imeziba we juha?
 
january 16, 2013

mjumbe wa halmashauri kuu ya taifa ya chama cha mapinduzi (ccm) manispaa ya iringa, mahamoud madenge ameanza kazi ya kufa na kupona itakayowasaidia kulirejesha mikononi mwao jimbo la iringa mjini katika uchaguzi mkuu ujao.

jimbo hilo ambalo toka uchaguzi uliohusisha vyama vingi vya siasa uanze mwaka 1995 limekuwa likiongozwa na ccm, hivi sasa linaongozwa na mchungaji peter msigwa wa chadema.

Madenge ambaye pia ni mfanyabiashara anayemiliki kiwanda cha maji aina ya ndanda ameainisha kazi kubwa nne zikazowasaidia kufikia lengo hilo.

Kazi hizo ni pamoja na kukagua uhai wa chama kuanzia ngazi ya shina hadi wilaya na kuwakumbusha wanachama na wapenzi wa chama hicho misingi, madhumuni na itikadi ya chama hicho.

“nimeanza kutembelea wanachama wetu katika ngazi ya shina, tawi na kata na kwa kushirikiana na viongozi wenzangu tunatoa darasa ili waifahamu itikadi ya chama, misingi na madhumuni yake,”
alisema.

Alizitaja kazi zingine kuwa ni kuhakikisha watendaji katika ngazi mbalimbali za serikali wanatekeleza ilani ya ccm kama ilivyoelekezwa.

“nitahakikisha mafanikio na changamoto zake naziwasilisha katika kikao cha halmshauri kuu ya taifa ili hatua zinazostahili zichukuliwe,” alisema.

Alisema kazi ya nne itakuwa kufanya mikutano ya hadhara na ya ndani na makundi mbalimbali ya jamii ili kueleza utekelezaji wa ilani na kusikia changamoto zinazowakabili wananchi ili zifanyiwe kazi.

Alisema chama hicho mjini hapa kitaanza kujibu mapigo ya wapinzani wao wakubwa wa kisiasa ambao ni chadema kwa kuzindua rasmi mikutano yake ya hadhara kwa kuwaalika viongozi mbalimbali wa ccm wa ngazi ya taifa.

“tarehe 26 mwezi huu wa kwanza tutaanza na makamu mwenyekiti wetu mzee phillip mangula, na baadaye tutaleta wengine wengi kwa kuzingatia mapendekezo ya wanachama na wananchi,” alisema.

Alisema wanaendelea pia kujipanga kulifikia kundi la vijana wa matabaka mbalimbali ili kusikiliza vilio vyao na hatimaye kwa pamoja waje na mapendekezo yatakayolenga kuboresha hali zao.

Madenge alichaguliwa kuwa mjumbe wa nec katika uchaguzi mkuu wa chama hicho uliofanyika mwishoni mwa mwaka jana baada ya kuwashinda vitus mushi ambaye ni diwani wa kata ya mtwivilla mjini hapa na mfanyabishara michael mlowe.

source; iringa yetu

huu ni uongo jimbo lilianza kuongozwa na upinzani kwa kupitia chama cha nccr mageuzi na mbunge aliitwa kibasa
 
Back
Top Bottom