FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,777
Wee kweli mkale, umekula hadi sasati na lade, hapo ni singida mjini hujaenda iramba ukalishwa karanga zilizopikwa then zikakushwa hutatamani kuacha kuzila.
Singida ni pazuri sana sema serikali kidogo ilipasahau japo saa hizi kidogo wameanza kutukumbuka, manake mji ni msafi pale mjini pote pana lami, watu wanajenga nyumba zenye akili
Iramba nimeenda sana hizo karanga sijala, lakini nilkula karanga kwa sukari guru.