Kwa nini wanamzomeaPasi imetoka kwa master Partey
Mi naangalia channel ya kiyahudi sisikii kuzomeaKwa nini wanamzomea
Partey ndie Arsenal mwenyeweKwa nini wanamzomea
Ongea taratibu tajiri miluzi akisikia anaruka nayeTottenham hotspurs wamtafute Roberto De Zerbi kabla ya jua kuzama.
Sioni project ya maana kwa huyu antonio conte
Mara hii atamkimbilia luis enrique.Ongea taratibu tajiri miluzi akisikia anaruka naye