Ni kwamba hanipendi namfosi au??

Ni kwamba hanipendi namfosi au??

Mi naona ndo vizuri,jitunze tu cute....kufuatiliwa si poa sana
 
Salaam wakuu, niende kwenye mada. wakuu hivi ikiwa mume(wandoa) ana tabia kama hizi maana yake huwa ni nini anajaribu kuwasilisha ujumbe gani. Mimi nina huyu mume wangu ambae hana wivu na mimi, yuko bize the whole week hana siku ya mapumziko kukaa nyumbani. He never go out with me, hata kazini kwake hajawahi kunipeleka. Nina maamuzi ya kufanya chochote, kwenda popote, na yeyote, mda wowote, sometimes ananiagiza mahali hata mda wa usiku.. He just doesn't care at all, na wala haulizi yani sio shida zake kabisa!! Nimeongea nae hadi nimechoka.
Wanawake wenzangu Kuna ambae unapitia haya na bado unavumilia? Umewezaje!? Na kwenu wanaume mwenza akifanya haya ana maana gani? Nahitaji ushauri wenu please.
Kazi kweli kweli, huenda umepandishwa cheo or au kuna mkubwa wako
 
Du mimi ni mtetezi sana against violence hasa kwa ke,ila uzi huu umeniacha nichanganyikiwe,umepata mme amekupa uhuru wote, sasa tatizo lipo wapi?,hakufokei, hakupigi, hajakuwekea masharti yoyote, sasa nini unataka kiumbe wewe, ebu kitulize hapo loooooo
 
Mi naona hanithamini, ananiagiza hata usiku!!! Asie na wivu ana mapenzi kweli?
Anakupenda ndo maana yuko na wewe , kinachokuponza unaangalia mahusiano ya wengine yanaendaje kumbe kila mtu ana formula yake kwenye mapenzi !! Hiyo ndo style yake ya mahusiano ameshakuamini akakuoa sasa mawivu ya nini wakati anajua wewe ni wake !! Kama huamini hebu tikisa kiberiti kidogo 😂😂 tena watu wa design hiyo hawatakagi suluhu !!!
Hakupeleki out jipange mtoe wewe out ! Na mjifunze kila mtu kwenye mahusiano na vipaumbele vyake !
 
Vitabu vya dini vimewapeleka chaka wenzetu kila siku wanakuja na nyuzi za kulalamikia ndoa zao

Sisi tuendelee na kampeni yetu ya KATAA NDOA
Kataa zinaa pia ili uwe towashi lakini ikiwa huwezi kujikana nafsi, tukutane kwenye karma ya kupatwa na mikosi + magonjwa ya zinaa + ukimwi na kufilisika kiuchumi.

Nimekaa pale [emoji117][emoji87][emoji4].

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
naomba picha yako pm.niangalie kwanini anapata ujasiri wa kukutuma usiku na anajiamini kufanya hivyo.
Izogi mtumie picha ya PISI KALI Marehemu aliyetangulia mbele za haki mithili ya Roze wa kwenye muvi ya Titanic, kisha siku akikutana na wewe unamlengesha kwa Ke mwenye sura gome kiasi cha yeye mwenyewe kujiona mchumba ili akome kuhadaika kirahisi na anasa za hii dunia [emoji57]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
sm
Izogi mtumie picha ya PISI KALI Marehemu aliyetangulia mbele za haki mithili ya Roze wa kwenye muvi ya Titanic, kisha siku akikutana na wewe unamlengesha kwa Ke mwenye sura gome kiasi cha yeye mwenyewe kujiona mchumba ili akome kuhadaika kirahisi na anasa za hii dunia
emoji57.png


Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile ap

Izogi mtumie picha ya PISI KALI Marehemu aliyetangulia mbele za haki mithili ya Roze wa kwenye muvi ya Titanic, kisha siku akikutana na wewe unamlengesha kwa Ke mwenye sura gome kiasi cha yeye mwenyewe kujiona mchumba ili akome kuhadaika kirahisi na anasa za hii dunia [emoji57]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
acha nyege wewe😅mbona wivu?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom