BHULULU
JF-Expert Member
- Jun 28, 2012
- 4,994
- 2,044
Hii ni kwa faida ya nani kwani.
Hata mimi hii habari imenichanganya sana,au alitaka tujue "anazo"
Hii ni kwa faida ya nani kwani.
sio na pesa loh
Hata mimi hii habari imenichanganya sana,au alitaka tujue "anazo"
Hii ni kwa faida ya nani kwani.
^^
Woman your rich but love I will buy for you
^^
Ungemtumia pm
wanaume wa siju hizi jwa kupiga mizinga ...... Heri hujampa
U are very right Nikiwe, nashikana bega na ww, ucthubutu kabisaa kumpa pesa hata akija anatembea na magoti!!!! juzi juzi tu hapa mwenzio nimetoka kulizwa, jamaa akaamua kukata kabisa mawacliano......uuuuh!! Sitokaa nimpe pesa yangu mwanaume!
Kama kweli huo ndo msimamo wako Ubarikwe sana na atakayekuoa pia (if not yet married)
Hahaaaa, dume limepiga mkuki wa M, kweli vijana wameamua kujilipuawherever ur are,najua nilikudissapoint baada ya kukutolea nje kukukopesha that money,4sure siwezi kumpa mwanaume pesa especialy sm1 i want 2have future with,am real sorry n am missing u come back soon,hope u wil pass through it
Poor english,si uandike kiswahili tu,hiyo 60% ya kawambwa inatusumbua,english yako inatia kichefuchefu
dont get me wrong,wajua vijana wa kileo ukimzoesha kumpa fedha anabweteka na akishajua unamake zaid yake atakuja kukuachia jukumu la kulea family mama peke yako,so nataka from the beggng afahamu yeye ni baba head of family na provider
Hii ni kwa faida ya nani kwani.