Recent content by nelvine

  1. nelvine

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kujiunga Telegram?

    Mi pia leo nime download Telegram lakini naambiwa lipia 3300 kwa wiki moja. Dah na hapo hadi uwashe vpn, je inawezekana bila kulipia?
  2. nelvine

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa hili kuhusu malipo ya automatic

    Habari wanajamvi, naomba kuuliza, Siku hizi nmeona Malipo ya kimtandao ya Automatic. Yaani inakuja tu Command ya Lipia Tsh kadhaa kupitia Selcom. Ina ku-command kuingiza tu Namba Ya siri Je, ii kitu ipoje na hili kuipata natakiwa nifanyaje?
  3. nelvine

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Sportybet nmeshinda mkeka wangu wa milion 6, wameuondoa kabisa kwenye mikeka, na sikuscreenshot, je nifanyaje?
  4. nelvine

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kuna jamaa uwa anapost sana mikeka X, sasa nataka kujua hii ni kampuni gani anaitumia?
  5. nelvine

    JamiiForums Tanzania Kuna utapeli mpya umeingia nchini wanaigeria kuweni makini

    Nipe connection nao nipige ata 20k
  6. nelvine

    JamiiForums Tanzania Asafirisha wahamiaji 20 kwa V8 yenye bendera ya CCM

    Duh mpunga wa maana kumbe
  7. nelvine

    JamiiForums Tanzania Wauzaji magodoro usafiri bure popote ndani ya Dar

    Je godoro kwa bei ya jumla napata?
  8. nelvine

    JamiiForums Tanzania Natafuta masoko ya Nafaka mikoani

    Hii lazima uwe na dalali wa kukukusanyia mzigo, huwez pata mzigo mkubwa direct toka kwa mkulima.
  9. nelvine

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Bado mzigo upo?
  10. nelvine

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Dagaa: Mjadala wa Uendeshaji, Masoko, Faida, Hasara na Changamoto zake

    Bei ya sasa ni sh ngapi kwa dagaa wa nyasi?
  11. nelvine

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

    Nataka chimbo za zile tshirt na bukta feki, zinakua na picha picha za watu maarufu
  12. nelvine

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

    Natafuta chimbo la zile tshirt na bukta fake, zinakua zina picha za wasanii na watu maarufu, uwa wanapendelea sana wasukumu au wakinga
  13. nelvine

    JamiiForums Tanzania Mimi ni binti wa miaka 22, natafuta kazi nipo mkoa wa Iringa

    Je ikipatikana Mafinga kuuza duka la vipodozi upo tayari?
  14. nelvine

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mawasiliano ya Ma DJ wanaotafsiri Movie

    Nmeidownload ipo poa sana hongera
Back
Top Bottom