Natafuta Mawasiliano ya Ma DJ wanaotafsiri Movie

Mjina Mrefu

JF-Expert Member
Dec 6, 2016
3,030
3,324
Wakuu,

Kuna gape nimeliona mahali la kutengeneza pesa kidogo.

Eneo lina uhitaji sana wa movie zilizotafsiriwa kuanzia single na series.

Well, nina mpango wa kufungua ofisi yenye ina deal na hivyo vitu plus stationary.

Shida yangu ni napataje mawasiliano ya hawa ma DJ wanaotafsiri Movie ili niwe nanunua kwao moja kwa moja.

Lakini pia nataka wanitengenezee kitangazo ili kuchangamsha kijiwe zaidi.

Siyo lazima iwe hao ma DJ tu, hata kama unajua chimbo zinapouzwa hizo movie zilizotafsiriwa kwa bei nzuri please nichek DM

Ni mimi

Mjina Mrefu

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
 
Piga izo no apo utapewa maelekezo zaidi
 

Attachments

  • Screenshot_20230907-205121.jpg
    Screenshot_20230907-205121.jpg
    79.4 KB · Views: 7
Daaah utakuwa umelikomboa taifa na wake zetu na zile tafsiri za wasiojua kiingereza aiseee..yaani movie ni nzuri ila anayeitafsiri kama mtoto wa class one.

yaani wanatuaibisha wakenya wanatucheka sana madj wetu wengi elimu ya lugha ni bila bila, huwa nikimkuta mtu anaangalia movie zilizo tafsiliwa na madj wa bongo namu- undermine sana.

siyo kwamba sipendi movie zilizo tafsiriwa ila atleast na dj Afro,smith au dj junior, hebu tukutane saa nne usiku kameme tv...🤛🤛
 
07

Ommy dj pia yuko vizuri
bado, mara moja moja nawashauri wawe wanapitia movie zilizo tafsiriwa na wakenya waone wanakosea wapi ...

Wafahamu kuwa wanaoangalia movie za kutafsiriwa siyo wasiyofahamu lugha ya kiingereza pekee bali ata wanaoifahamu sema wanapenda vionjo vipya au wamepungukiwa movie mpya wanaamua kupitisha macho huko ...

cha ajabu unakuta movie mpya ila mtafasiri wa zamani 🤔🤔🤔
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom