Biashara ya Dagaa: Mjadala wa Uendeshaji, Masoko, Faida, Hasara na Changamoto zake

Nauza dagaa pia, kutoka Bukoba (Igabiro), napeleka mzigo kasulu-kigoma

Natafuta frem Dar nahitaji kufungua stoo ambayo ntakuwa natoa mzigo Bukoba mpaka Dsm nauza jumla na rejareja pia

Uhakika wa magunia ni 25 sawa na tani 1.5

Kama una koneksheni yoyote
PM au Nicheki 0757487684
Kilo bei gani
 
Kwanini dagaa wale wakavu wa mwanza wengine ukiwapika wanakua wachungu wanakua wameharibika au..na Mimi hua napendelea dagaa wakavu wa kukata kichwa
 
Habari wanajamii, narudi tena. Bei ya dagaa imepungua maana giza limeanza na uvuvi kuendelea kama ilivyo kawaida.

Bei zilizopo muda huu. Japo huwa mabadiliko yapo kutokana na uvuvi ukiwa mzuri au mbaya.

Dagaa wa nyasi (wasio na mchanga)
Gunia yenye debe 10 kilo 40 (Tsh180000/=-tsh260000/=.)
Hiyo bei ni dagaa wenye ubora (good quality).

Dagaa wachanga.
Gunia yenye debe 10--kilo 43--(Tsh 130000/= Tsh200000/=).

Bei zinabadilika kutokana na hali ya uvuvi inaweza kupungua zaidi ya hiyo bei au ikaongezeka vizuri kuwasiliana kwa simu 0755213580.

Jinsi ya mzigo utakufikia. Bus (gari ya abiria), Lorry(gari ya mzigo)

Gari ya abiria (bus) mzigo unakufikia haraka ila bei zao ni za juu kidogo. Gunia moja (Tsh20000/=) mpaka mkoani.

Gari ya mzigo (lorry) mzigo inachukua muda kidogo lakini ndani ya siku 2 mzigo unakuwa umekufikia bei yake ni ndogo ukilinganisha na bus.(tsh10000/=-tsh15000/=).

Location: Napatikana Mwanza-Kirumba-Mwaloni-Soko Kuu la dagaa na samaki.

Mawasiliano: 0755213580

Karibu.

Endapo unataka kujuwa zaidi uliza kwenye comments au piga simu.
 
Bei ya sasa ni sh ngapi kwa dagaa wa nyasi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom