Recent content by ndusu

  1. N

    Duka zuri la vifaa vya michezo vya July Dar

    Habarini wana jukwaa, Mimi ni mwanamichezo hasa soka. Kutokana na upenzi wangu katika michezo & baada ya kufanya utafiti, nimefikiria kufungua Duka dogo la vifaa vya michezo kanda ya ziwa. Baadhi ya vifaa ni viatu, jezi, socks, shin guards, mipira na vitu...
  2. N

    Nafasi za kazi za kufundisha chuo

    Hcho chuo ca wababaishaji tu
  3. N

    Mikopo kwa graduates

    CRITICS 1. Cheti cha graduate ndio collateral , vp akishindwa kurejesha mkopo watafanyia nini vyeti?, wakat huohuo kupata ajira kwa kijana inaweza kuwa namna ya kulipa deni, atapataje na vyeti vimechululiwa? 2.KIASI CHA SH.BIL 1 KIMETENGWA. Hivi hii project ni ya Bil.1 kweli? Halaf unaambiwa...
  4. N

    Celebrity Lawyer Albert Msando: Utajiri wa ghafla wamchanganya, afanya kufuru

    IF U WANNA HATE ME, HATE ME What can I do?, funny I was just like u, I had 2 hussle hard until I made it.....now u are sayin.......... These are my cars & house u can live in that too People warned me , when you are on top there is envy
  5. N

    Nimekataa kutoa rushwa ili niajiriwe, meneja kanitukana

    Unapewa namna ya kumkamata, unaweza rekodi hata mazungumzo kbla ya kumtumia, ushahidi tosha, huu upuuzi unakera sana
  6. N

    Nimekataa kutoa rushwa ili niajiriwe, meneja kanitukana

    Za moto zinaendaje kwenye m-pesa?
  7. N

    Usaili TRA

    Kweli kbs Mkuu, inawezekana kazi unayofanya kipato chake hakiendani na elimu/ uzoefu wako, au wakati mwingine unapata kipato kizuri ila hutumii elimu/ ujuzi wako......yote ni matatizo ya ajira
  8. N

    Usaili TRA

  9. N

    Nimekataa kutoa rushwa ili niajiriwe, meneja kanitukana

    Tatizo mnawalea Wewe hata usingehangaika, taratibu ungetafuta wale jamaa ukamchukulie MOTO UMUUNGUZE, hata angehitaj lak 5 wangekupa.
  10. N

    Mh. Rais, Usimuondoe Waziri wa Nishati na Madini kuhudumu katika Wizara husika

    MMESHAANZA KAZI YENU, VIJANA WA KUMSAFISHA Kuna mwanajamvi alidai kuna vijana wamepewa Laptop na fedha za bure ili kumsafisha Muhongo kwa kutumia mitandao ya kijamii, naona umeanza kutekeleza majukumu yako
  11. N

    Hii ndio Desemba bwana

    Poa poa Ila kwangu inasomeka vzr mkuu
  12. N

    Hii ndio Desemba bwana

    1.Mwaka ndio unaishia, utakuwa unatathimini uliyoyafanya tangu mwaka uanze, pengine unafurahia au kujutia, Mshukuru Mungu kwa yote, jipange kwa mwaka ujao. 2.Umejipanga kwa ajili ya Krismas?, umejichanga pesa ya kuwanunulia wanao/familia nguo za krismas, chakula kizur, maua, Chrismas tree...
  13. N

    TRA wameita watu kwenye usaili

    Hata mm nimeitwa kwenye posts 2 Assistant Customs Office & Tax Assistant ( japo sitakwenda) Kwa unayekwenda yatambue haya: 1. Interview hii ni very competitive, watu wamesubir ajira za TRA kwa miaka mingi, wengne wapo kazin ktk makampun makubwa km PWC, KPMG, DELLOITE....CRDB, nk KWa hiyo...
  14. N

    Kutana na binti wa Rugemalila anaitwa Eva

    Umeokota picha huko unakuja kuweka hapa Toa maelezo sasa
  15. N

    KALI 20: Nyimbo za mapenzi

    TAKE IT FROM ME AND MAKE IT YOUR PLAY LIST 1. careless whisper- George Michael 2. I wanna know what love is- Foreigner 3. When I dream at night - Marc Anthony 4. It must been love- Roxette 5. Some one like you- Adele 6. Viva Forever - Spice Girls 7. Another day in paradise- Phil Collins...
Back
Top Bottom