Nimekataa kutoa rushwa ili niajiriwe, meneja kanitukana

Leah dickson

Member
Nov 10, 2013
10
2
Ni cku chache zimepita toka nipost ombi langu la kaz hum jf basi leo nilipigiwa cm na mtu aliyedai yy ni meneja wa coca hapa mwanza na alidai yeye haitaji rushwa ya ngono bali anahitaji pesa kama elfu 50 nilimwambia cna mm nina elfu 20 meneja huyo bila waswas alitaka nimtumie hela hiyo kwenye m-pesa mm nilisita kwakuwa simjui nilimuomba tuonane anikabidhi kazin ndo nimpe pesa hiyo lakn alisema usiwe na waswas mm ndo mkuu mwenyewe mm nikamjibu bas ngoja nifikirie nitume au la maana hapa mjini meneja huyo aliropoka kwa hasira mpumbavu wewe huna shida na kazi akakata simu sasa je huyu ni meneja kweli na simu aliotumia kunipigia si za ofcn ni airtel.
 
Kuwa makini mjini mambo ni mengi.
 
Tatizo mnawalea

Wewe hata usingehangaika, taratibu ungetafuta wale jamaa ukamchukulie MOTO UMUUNGUZE, hata angehitaj lak 5 wangekupa.
 
Meneja wa Coca-Cola aombe elfu hamsini???? Yaani hata hapo ulishindwa kuchanganya na za kwako????
 
Elfu hamsini we unaiona ndogo.....coca cola washenzi sana wanapenda rushwa kama nini. Unadhani Area au hata regional manager anashindwa kuomba elfu hamsini??
 
Kumbe baada ya kushindwa kunitapeli wiki moja iliyopita alihamia kwako. Kwa wiki mbili zilizopita niliweka uzi humu wa kutafuta kazi ndipo wiki moja baadaye nilinitumiwa sms na mtu aliyejitambulisha kuwa anafanya kazi Coca cola-Mwanza, akaanza mbinu zake za kutaka nimtumie 30,000= anijazie form ya ajira ili nikienda ofisini nianze kazi rasmi NIKAMSIKILIZA NA KUMPIMA LOGIC YAKE ON AIR kisha Mungu wangu akanisaidia nikamwambia 'mimi siwezi kufanya hivyo' ndipo akapoteaaaa hadi leo!
 
Elfu hamsini we unaiona ndogo.....coca cola washenzi sana wanapenda rushwa kama nini. Unadhani Area au hata regional manager anashindwa kuomba elfu hamsini??

Si afadhali angeomba hata nanihii kuliko hio fifty?
 
Ni cku chache zimepita toka nipost ombi langu la kaz hum jf basi leo nilipigiwa cm na mtu aliyedai yy ni meneja wa coca hapa mwanza na alidai yeye haitaji rushwa ya ngono bali anahitaji pesa kama elfu 50 nilimwambia cna mm nina elfu 20 meneja huyo bila waswas alitaka nimtumie hela hiyo kwenye m-pesa mm nilisita kwakuwa simjui nilimuomba tuonane anikabidhi kazin ndo nimpe pesa hiyo lakn alisema usiwe na waswas mm ndo mkuu mwenyewe mm nikamjibu bas ngoja nifikirie nitume au la maana hapa mjini meneja huyo aliropoka kwa hasira mpumbavu wewe huna shida na kazi akakata simu sasa je huyu ni meneja kweli na simu aliotumia kunipigia si za ofcn ni airtel.

Weka namba yake humu tumdadavue.

tutaaminije? isije ikawa hadith ya sungura na fisi, umenena vyema inamana mwanzo ulikua tayar kuvua chup mpaka aseme aitaji iyo?
Watanzania tunacomments utfkiri ni wagen wa rushwa, na wasaBABISHI WAKUBWA NI WATOAJI SIO WAPOKEAJI KWASABABU TUSHAWEKA AKILINI, IL ULE NI LAZIMA ULIWE......
 
Back
Top Bottom