Nimekataa kutoa rushwa ili niajiriwe, meneja kanitukana

Ni cku chache
zimepita toka nipost ombi langu la kaz hum jf basi leo nilipigiwa cm na
mtu aliyedai yy ni meneja wa coca hapa mwanza na alidai yeye haitaji
rushwa ya ngono bali anahitaji pesa kama elfu 50 nilimwambia cna mm nina
elfu 20 meneja huyo bila waswas alitaka nimtumie hela hiyo kwenye
m-pesa mm nilisita kwakuwa simjui nilimuomba tuonane anikabidhi kazin
ndo nimpe pesa hiyo lakn alisema usiwe na waswas mm ndo mkuu mwenyewe mm
nikamjibu bas ngoja nifikirie nitume au la maana hapa mjini meneja huyo
aliropoka kwa hasira mpumbavu wewe huna shida na kazi akakata simu sasa
je huyu ni meneja kweli na simu aliotumia kunipigia si za ofcn ni
airtel.

vumbi tupu meneja gan ana njaa ya buku 20??@?
 
Unapewa namna ya kumkamata, unaweza rekodi hata mazungumzo kbla ya kumtumia, ushahidi tosha, huu upuuzi unakera sana
 
Ni cku chache zimepita toka nipost ombi langu la kaz hum jf basi leo nilipigiwa cm na mtu aliyedai yy ni meneja wa coca hapa mwanza na alidai yeye haitaji rushwa ya ngono bali anahitaji pesa kama elfu 50 nilimwambia cna mm nina elfu 20 meneja huyo bila waswas alitaka nimtumie hela hiyo kwenye m-pesa mm nilisita kwakuwa simjui nilimuomba tuonane anikabidhi kazin ndo nimpe pesa hiyo lakn alisema usiwe na waswas mm ndo mkuu mwenyewe mm nikamjibu bas ngoja nifikirie nitume au la maana hapa mjini meneja huyo aliropoka kwa hasira mpumbavu wewe huna shida na kazi akakata simu sasa je huyu ni meneja kweli na simu aliotumia kunipigia si za ofcn ni airtel.
kama amekwambia umtumie pesa, then una namba yake... kwahiyo ukijaribu kutuma hata mia utaona juna lake, mtaje tu, hawa wala rushwa tusiwaache
 
Back
Top Bottom