Usaili TRA

Usaili TRA

Tofauti kubwa YA Mishahara Kati YA mashariki ya SERIKALI na taasisi ni la kushughulikiwa haraka.
 
......Dahhhh!! hiyo nyomi hatarii, kusikia TRA basi kila mtu anaona ulaji upo hapo.
Usikute ajira zenyewe tayari zimejaa.
 
Dah wadau mtihani wa assistant custom officer tra ulikua mgumu balaa... Yaani hawa jamaa wamevunja rekodi....
Dah.ninilitegemea mtihani migumu hivyo ni bora hata utungaji Wa UDSM na Mzumbe.kama wanatukomoa vile.
 
Naiona hatari ya uwepo wa kundi kubwa la vijana wasiyo na kazi au shughuli maalum (idle) na wasiyokuwa organised. Ikitokea mtu, watu au kundi la watu wa kuwa-organise kwa namna ya kuharibu ni hatari.
 
huo mtihani wenyewe kaka ulikuwa haufai. Sijui wanapima professionalism ya mtu vipi.

wanazalilisha elimu kwakweli. Mimi nimefanya ila ya moto nimeiona
 
Naiona hatari ya uwepo wa kundi kubwa la vijana wasiyo na kazi au shughuli maalum (idle) na wasiyokuwa organised. Ikitokea mtu, watu au kundi la watu wa kuwa-organise kwa namna ya kuharibu ni hatari.

Sure, akitokea mtu au kundi lenye ushawishi wa pesa vijana watajiunga tuu maana hawana kazi maalumu....hapo ndo kutakuwa na mvurugo wa amani..

Kenya vijana wanajiunga na alishababu koz wengi hajira hawana...so mtu anaona ni bora akalipwe na magaidi ili aweze pata mkate wake wa kila siku...

So mwakani tufanye maamuzi magumu ya kumchagua mtu na sio chama....
 
Interview ya leo 90% wana kazi zao. So siyo tatizo la ukosefu wa ajira bali ni tatzio la kutoridhika na ajira walizonazo

90% wana kazi zao, sema tu wanatafuta maslahi zaidi serilkalini tu.
 
Kweli kbs Mkuu, inawezekana kazi unayofanya kipato chake hakiendani na elimu/ uzoefu wako, au wakati mwingine unapata kipato kizuri ila hutumii elimu/ ujuzi wako......yote ni matatizo ya ajira
 
TRA ilikuwa zamani kwa sasa unapata mipunga michache,zamani umate umate ulikuwa kutosha kwa siku unaondoka na laki 3 hadi 5.
 
ivi wasomi wote hao hawana ajira daa!

Hapo somo la ujasiliamali lazima lifunzwe katika ngazi zote za elimu ili kunusulu vitu kama hivyo
 
Back
Top Bottom