special agent
JF-Expert Member
- Jun 2, 2012
- 325
- 74
kwahiyo pesa ipo wapi na taratibu zikoje?
Watapeana watoto wa vgogo tu c wa cojijini tutaishia kwenye makorido tu.
watanzania mim nimepiga NEEC ambao ndiyo waratibu no +225 22 2125596 siku moja baada ya makubaliano nikambiwa ZOEZI LIMEISHA FUNGWA NIENDELEE KUSOMA MAGAZETI MPAKA WATAKAPO TANGAZA TENA MM MWENYEWE MAGAZETI MPAKA NIVIZIE HAPA KA BIL MOJA KAMEISHA LIWA NA WATOTO WA VIGOGO KAMA HUAMINI WAPIGIE NA UFANYE KAUCHUNGUZI TANZANIA ZAIDI UIJUAVYO KIMYA KIMYA.Kama wameshatiana saini makubaliano ya mpango huo inamaana fedha nazo zipo na sio ajabu wale wakusubiri hadi matangazo official wakaskia fedha zimekwisha. Graduate apate 50ml wakat mfanyakaz mwenye mkataba 5yrs anaruhusiwa kukopa labda hadi 30ml tuu. Usanii lazima ufanyike hapo
watanzania mim nimepiga NEEC ambao ndiyo waratibu no +225 22 2125596 siku moja baada ya makubaliano nikambiwa ZOEZI LIMEISHA FUNGWA NIENDELEE KUSOMA MAGAZETI MPAKA WATAKAPO TANGAZA TENA MM MWENYEWE MAGAZETI MPAKA NIVIZIE HAPA KA BIL MOJA KAMEISHA LIWA NA WATOTO WA VIGOGO KAMA HUAMINI WAPIGIE NA UFANYE KAUCHUNGUZI TANZANIA ZAIDI UIJUAVYO KIMYA KIMYA.
Duuh! Sasa hv vitu c bora wacwe wanatangaza wawe wanamaliza juu kwa juu tuu. Cc hatutawalalamikia coz tunajua ndo system zao. Very awkward.
Vikikopa vikundi vitano mil 200 kila kimoja zimekwisha. Wakikopa mil 50 ni vijana 20 tu watapata.