Recent content by Ndumilakuwili

  1. N

    Kauli za viongozi wa Tanzania zenye utata!

    Umesahau kauli moja TATA ya juzi juzi kutoka kwa waziri wa FEDHA Mustapha Mkulo wakati wa uwasilishaji wa BAJETI ya 2011/2012 alisema kila mtu atakula kulingana na urefu wa kamba yake......sasa hapa sijui alikuwa anahalalisha WIZI????
  2. N

    Je kumwacha mkeo ni halali??

    Kwa mfano unachungulia chumba cha gesti, unamfuma mkeo anapigwa msumari na jamaa, tena kwa staili ngeni ngeni halafu mtu anakuambia umsamehe, basi utakuwa na mtindio wa ubongo.
  3. N

    Nape nchi hii ni yetu sote..!

    Wana IGUNGA hebu fikirieni vizuri, kama Mungu wenu Rostam Aziz Kwenye kiti hicho cha ubunge kwa tiketi ya CCM ameona matatizo yaliyopo kwenye kiti hicho KUPITIA CCM sasa kwa nini msiachane na CCM mkachagua CHADEMA, Mkiendelea na wabunge wa CCM hapo Igunga mnatwanga maji kwenye kinu!
  4. N

    CCM imejiandaa kupora ushindi wa CHADEMA Igunga

    Kwa hili, hatutasubiri sheria ifuate mkondo wake, tukishagundua kuibiwa panachimbika IGUNGA!!
  5. N

    Tanzania na ajali zinazofanana fanana!

    Ukiangalia ajali kubwa kubwa zilizowahi kutokea nchi hii, ni kutokana na uzembe wa wahusika na pengine serikali kwa sehemu kubwa. Zimekuwa zikitokea ajali zinazofanana fanana pasipo kupatiwa ufumbuzi. Hebu kumbuka miaka ya tisini mwishoni Treni ya reli ya kati ilianguka na kudidimia kwenye maji...
  6. N

    CHADEMA kuangukia pua Igunga.....!

    Talking this shiiiiiiiiiiiiiiiiit, you must be a "GREEN GUARD MEMBER" or any other Empty-headed creature, royal to "MAGAMBA".................... GO TO HELL..............!!!!
  7. N

    Wananchi wamewakataa, Kikwete amewachagua!

    Tuanze kuwatandika pale IGUNGA kwanza, tusiwape nafasi.
  8. N

    Nashindwa kufungua biashara Tanzania! tatizo umeme wa uhakika. Tanzania inatisha!!

    Acha uoga! Acha uoga! Ukiamua kuyavulia nguo maji lazima uyaoge..., Lete mitambo yako hapa hapa kwa babu zako na bibi zako, ufanye mambo. Tatizo la umeme sio la milele, Kwa sasa anza na STANBY GENERATORS, Lazima utatoka tu..!!. Ukitaka kutoka FASTA wekeza Tanzania.
  9. N

    Kufuatia kibano cha DC (Igunga): Wabunge wa CHADEMA wakamatwa

    Kwa hili CCM hawana la kujitetea, wamelikoroga lazima walinywe wenyewe, Huyo mkuu wa wilaya alistahili hiyo aibu. Na nashangaa kwa nini hawakuumpa kisago, kwakweli vijana wa CHADEMA wameonesha ustaarabu sana!
  10. N

    Kufuatia kibano cha DC (Igunga): Wabunge wa CHADEMA wakamatwa

    Kwa hili CCM hawana la kujitetea, wamelikoroga lazima walinywe wenyewe, Huyo mkuu wa wilaya alistahili hiyo aibu. Na nashangaa kwa nini hawakuumpa kisago, kwakweli vijana wa CHADEMA wameonesha ustaarabu sana kwa hilo!
  11. N

    Gazeti la mwananchi vipi?

    Aaah kumbe amekuta sms za mapenzi, jamaa hana kosa, ni hasira tu!!!
  12. N

    MwanaHalisi, Tz.Daima, Dira,Raia Mwema, Mwananchi yafungwa mdomo kuhusu Manji

    Ameiweka Serikali mfukoni!!. Ujasiri wake unatokana na ukubwa wa pochi lake.
  13. N

    MwanaHalisi, Tz.Daima, Dira,Raia Mwema, Mwananchi yafungwa mdomo kuhusu Manji

    Msemakweli ni mtu muhimu sana katika nji hii!!, Apewe ushirikiano.
  14. N

    Wakuu nina maswali..

    Inaonekana mkubwa ni mtaalam sana wa kuzigusa kuta za uke,ndio maana mwana mama anafikia kileleni mara nne, usimuache huyo, kuna wengine hata mara moja hatujawasikia kufika kileleni.Huyo kama ni mwizi basi ni mwizi mzuri......!!
Back
Top Bottom