CCM imejiandaa kupora ushindi wa CHADEMA Igunga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM imejiandaa kupora ushindi wa CHADEMA Igunga

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kalunguine, Sep 18, 2011.

1. Kalunguine

Kalunguine JF-Expert Member

#1
Sep 18, 2011
Joined: Jul 27, 2010
Messages: 2,544
Likes Received: 7
Trophy Points: 135
Habari za uhakika nilizopata kwa jamaa aliyekariibu na mtandao wa CCM anasema CCM imejiandaa kupora ushindi wa Chadema huko Igunga. Njia watakazotumia kupora ushindi ni pamoja na kuingiza kura feki au kulazimisha kutangaza ushindi wa CCM.

Matayarisho ya uporaji uporaji huo wa ushindi wa Chadema unaenda sambamba na kupeleka makamamnda wa polisi huko Igunga pamoja na maafisa usalama wa taifa ambao anawaita ni makada wa CCM wala si usalama wa Taifa. Sijui ni kwa namna gani Chadema watazuia uporaji huo. Anasema kama Chadema hawatagangamaa kama watu wa Mwanza na Arusha kwa hakika ni lazima CCM itapora ushindi huo.

Ninahisi harufu mbaya huko igunga na Mungu awalinde Chadema na watu wa Igunga dhidi ya dhuluma zilizopangwa na CCM, kupora ushindi wa chadema.

2. Feedback

Feedback JF-Expert Member

#2
Sep 18, 2011
Joined: Mar 14, 2011
Messages: 7,944
Likes Received: 358
Trophy Points: 180
Usiwe na wasiwasi Chadema imeshashinda Igunga inasubiri siku ya kutangazwa.

3. T

Topical JF-Expert Member

#3
Sep 18, 2011
Joined: Dec 3, 2010
Messages: 5,176
Likes Received: 11
Trophy Points: 0
Maji shingoni pwaaaaaaaaa!

Endeleeni mnafaa sana kuwa kwenye complain corner..bado wananchi wanajua wahuni hawawezi leta maendeleo...

4. T

Topical JF-Expert Member

#4
Sep 18, 2011
Joined: Dec 3, 2010
Messages: 5,176
Likes Received: 11
Trophy Points: 0
Mtaambulia aibu na fedheha na baadhi ya wahuni waliompiga mkuu wa wilaya watakuwa na kesi ya kujibu kwa mujibu sheria halali za nchi.

5. Daffi

Daffi JF-Expert Member

#5
Sep 18, 2011
Joined: Jun 25, 2011
Messages: 3,803
Likes Received: 178
Trophy Points: 160

Cjakupata vizuri!wahuni unaowaongelea ni wepi!ccm au cdm

6. Feedback

Feedback JF-Expert Member

#6
Sep 18, 2011
Joined: Mar 14, 2011
Messages: 7,944
Likes Received: 358
Trophy Points: 180
Kama kina Nchemba wametia aibu sana chama letu.

7. N

Ndumilakuwili Member

#7
Sep 18, 2011
Joined: Aug 6, 2011
Messages: 14
Likes Received: 0
Trophy Points: 0

Kwa hili, hatutasubiri sheria ifuate mkondo wake, tukishagundua kuibiwa panachimbika IGUNGA!!

8. The Son of Man

The Son of Man JF-Expert Member

#8
Sep 18, 2011
Joined: Feb 9, 2010
Messages: 12,126
Likes Received: 1,705
Trophy Points: 280
Lazima tukubali kuwa mara nyingi vurugu zinaanzishwa na CCM na serikali yake!

9. T

Topical JF-Expert Member

#9
Sep 18, 2011
Joined: Dec 3, 2010
Messages: 5,176
Likes Received: 11
Trophy Points: 0
chademu mnafaa sn kwenye complain corner..mmefuzu.

10. U

Uwezo Tunao JF-Expert Member

#10
Sep 18, 2011
Joined: Nov 14, 2010
Messages: 6,947
Likes Received: 12
Trophy Points: 0
CHADEMA WAKIPORWA USHINDI IGUNGA, YA TUNISIA HUENDA YAKATANDA KOTE NCHINI

Baada ya Jakaya Kikwete kupora kura za CHADEMA hapo Oktoba 2010 na kulitia aibu ya mwaka taifa letu kote duniani, hivi sasa kukitokea wizi wowote wa kura CCM kitakua kimekililizia kiongozi wake huyo mkaa wa moto ndani na nje ya nchi kwa wakati mmoja.

Yale ya Tunisia yalianza na maonevu kwa muuza mchicha Kamanda wa vijana wote duniani, Ustaadh Mohammed Bouzizi, lakini kung'olewa kwa serikali ya Kikwete madarakani huenda ukarahisishwa zaidi kwa kuthubutu kwao kupora ushindi wa CHADEMA hapo Igunga.

Mbali na CCM kumhonga Prof Lipumba nafasi ya kazi ya kuunga unga kule UN ili CUF kiunge mkono CCM kule Igunga, ni wazi kwamba wapiga kura pale hawataki tena kitu harufu ya CCM baada ya kuwabakia mke wao wa ndoa.

11. T

Topical JF-Expert Member

#11
Sep 18, 2011
Joined: Dec 3, 2010
Messages: 5,176
Likes Received: 11
Trophy Points: 0
Una story nzuri sana inafaa sana kwenye vikao vyenu vya kumfariji Slaa aliyeshindwa hadi leo anaweweseka..lol

wapiga kura wana akili hawataki wahuni wanaopiga wakuu wa wilaya tena wanawake

Mtaishia where you belong..complain corner..ok..

12. G

Giddy Mangi JF-Expert Member

#12
Sep 18, 2011
Joined: Feb 14, 2011
Messages: 833
Likes Received: 8
Trophy Points: 0
Wakituchakachua matokea ya Ubunge sisi tutabaki na Rost Ham hatatoka Igunga japo anahisi kwao.

13. L

Lofefm Senior Member

#13
Sep 18, 2011
Joined: May 22, 2011
Messages: 131
Likes Received: 5
Trophy Points: 35

Nahisi kuna kuna baadhi ya watu wanahongwa kutetea upumbavu bila kujali maslahi ya taifa. Nina mashaka na wanachama wa JK mlioko JF. Sijui nini hasa kinacho wafanya kutetea wakandamizaji wa wanyonge.....

14. Yericko Nyerere

Yericko Nyerere Verified User

#14
Sep 18, 2011
Joined: Dec 22, 2010
Messages: 16,206
Likes Received: 3,771
Trophy Points: 280
Ninathibisha rasmi madai haya!
Wale vijana maalu wa kijito nyama waliofanikisha mkuu wa kaya kurudi magogoni, wamepewa tena tenda ya kulinda jimbo la Igunga kwa ghalama yoyote!
Kikao cha mikakati hiyo baada ya kupewa
tenda hiyo na ccm kilifanyika ktk
kiunga DF12 cha pale kijitonyama juzi saa
tatu usiku chini ya Msekwa,DD5,DD14,Mkama,Wasira na January Makamba

Tatizo lililopo ni baadhi ya vijana kuonyesha dalili za kupinga dili hili chafu!

Nilihudhuria kikao hicho kwa shingo upande lakini na wahakikishishia kuwa nitatumia uwezo wangu wote kuharibu mpango huu mchafu dhidi ya demokrasia!

Nitawajuza kila kinachoendelea juu ya Igunga!

15. 2

2015 Senior Member

#15
Sep 18, 2011
Joined: Aug 13, 2011
Messages: 123
Likes Received: 3
Trophy Points: 35
Chadema mm nawaamini kwa mbinu za kujihami na magamba ukizingatia wameshawajua mbinu zao

16. T

Topical JF-Expert Member

#16
Sep 18, 2011
Joined: Dec 3, 2010
Messages: 5,176
Likes Received: 11
Trophy Points: 0
Kwa mfano nani amekandamizwa? mmepewa uhuru kwa mujibu wa sheria..

17. T

Topical JF-Expert Member

#17
Sep 18, 2011
Joined: Dec 3, 2010
Messages: 5,176
Likes Received: 11
Trophy Points: 0
mnajifariji sana chademu poleni wajameni

18. Elli

Elli JF-Expert Member

#18
Sep 18, 2011
Joined: Mar 17, 2008
Messages: 26,816
Likes Received: 10,106
Trophy Points: 280
Kwani lazima CCM watawale milele? kwani lazima watuue ili watawale? Last year kabla ya uchaguzi nilikua bariadi niliyoyaskia kuhusu CCM yalinitisha kama ambavyo tena nimeyaskia RADIO WAPO asubuhi kupitia Dr. Slaa kuwa CCM wana-vikundi vya mauaji! Nina uhakika CCM wataleta maafa Tanzania, OMBI langu kwao, waondoke tu kwa amani at least wanetu waione nchi hii kwa macho yao mawili! MUNGU ibariki Tanzania, sipo kwajili ya kubishana ujinga na wajinga!

19. Yericko Nyerere

Yericko Nyerere Verified User

#19
Sep 18, 2011
Joined: Dec 22, 2010
Messages: 16,206
Likes Received: 3,771
Trophy Points: 280

Faraja yetu itawafaa milee watoto wako,wangu,wayule, mimi na wewe!
Pigania haki ya kizazi kijacho sio tumbo lako!

20. U

Uwezo Tunao JF-Expert Member

#20
Sep 18, 2011
Joined: Nov 14, 2010
Messages: 6,947
Likes Received: 12
Trophy Points: 0
Taifa kwanza; na mtetezi wa maslahi ya umma kamwe hutokaa ushindwe kwa kuwa Mungu yuko upande wetu na dunia inafuatilia kwa karibu sana Uchaguzi wa Igunga na kutathmini zaidi ushiriki wa vyombo vya usalama kuchagulia wananchi viongozi.

Wala sitoshangaa viongozi kadhaa nchini wakipigwa STOP Ughaibuni na akaunti zao kugandishwa kwa kipindi kisichojulikana. Yote yatatokana na hulka yao ya kupindisha demokrasia. Mzee Msekwa upo na Makamba Junior mmpo?????????

Loading...