Recent content by Ndoto za Kimweri

  1. Ndoto za Kimweri

    JamiiForums Tanzania Diamond atangaza ujio wa Wasafi FM na Wasafi TV

    Kwenye king'amuzi cha Azam WASAFITV inapiga fleva za kufa mtu muda huu.
  2. Ndoto za Kimweri

    JamiiForums Tanzania Huyu comedian CHAUROHO namkubali sana ,

    Jamaa wako safi sana kwa kuchekesha. Ila ratiba yao siifahamu vizuri huwa nakutia tu.
  3. Ndoto za Kimweri

    JamiiForums Tanzania Wenyeji wa Nyangao mkoani Lindi naomba msaada...

    Umeukata sana mkuu ni mahali pazuri na watu wake ni wakarimu mno.
  4. Ndoto za Kimweri

    JamiiForums Tanzania Msaada: Namna ya kuondoa notification za Facebook kwenye email

    Ndugu wanajamvi naomba msaada namna ya kuondoa notifications za Facebook kwenye E-mail na kuzifuta sms ambazo zimeingia kwenye E-mail. Zinakera mno.
  5. Ndoto za Kimweri

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: TAMISEMI inaniudhi sana; kwanini inapora Madaraka ya Halmashauri?

    There's something to learn here
  6. Ndoto za Kimweri

    JamiiForums Tanzania Kikosi bora cha timu ya Mpira wa Miguu cha England kuwahi kutokea

    Ungeandika majina mkuu picha hazionekani vizuri.
  7. Ndoto za Kimweri

    JamiiForums Tanzania Hizi saa nitazipata wapi? How much?

    Ni mzuri kweli kweli ila adimu. Labda jaribu kuulizia nchi za Ulaya unaweza kuzipata au kama una rafiki yako Mjerumani muagize akuletee.
  8. Ndoto za Kimweri

    JamiiForums Tanzania Mishahara mipya Novemba 2017 kuna ongezeko?

    Tuvute subira kidogo tu.
  9. Ndoto za Kimweri

    JamiiForums Tanzania Jipatie laptop kwa laki mbili tu

    Yangu 0624858992
  10. Ndoto za Kimweri

    JamiiForums Tanzania Jipatie laptop kwa laki mbili tu

    Mbona line yako inaonyesha busy ukipigiwa mkuu. Nimejaribu kukupigia mara 2.
  11. Ndoto za Kimweri

    JamiiForums Tanzania Jipatie laptop kwa laki mbili tu

    It looks good. Niko Masasi, Mtwara naipataje hiyo?
  12. Ndoto za Kimweri

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Fedha kuzongwa na Wabunge wa CCM atachomoka kweli?

    Mbona kuna picha ya Malebo?
  13. Ndoto za Kimweri

    JamiiForums Tanzania Neema ya korosho msimu huu, bei yafikia tsh 4010

    Bwana Kabombe umetoa ushauri mzuri tutajitahidi kuboresha makazi na vyoo.
  14. Ndoto za Kimweri

    JamiiForums Tanzania Neema ya korosho msimu huu, bei yafikia tsh 4010

    Ha ha ha Princess kumbe kweli huku kwenu unalijua mpaka vumbi la Nanjota. Home is best.
  15. Ndoto za Kimweri

    JamiiForums Tanzania Neema ya korosho msimu huu, bei yafikia tsh 4010

    Hiyo ni bei ya korosho ghafi
Back
Top Bottom