LUBEDE
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 4,322
- 6,700
wakuu nina safari ya kwenda nyangao nimepata kazi hapo kuna hospitali kubwa ipo pale nina ujuzi flani unahitajika pale,kwa wenyeji naomba nipate jiografia na tabia za watu wa hapo nisije nikafakamia mapaka pori nisahau kurudi kwetu bara,maana nasikia watoto wa huko viuno ndio nyumbani...