Neema ya korosho msimu huu, bei yafikia tsh 4010

Neema ya korosho msimu huu, bei yafikia tsh 4010

nitakuja maana mama angu ana shamba na kakopesha hizo korosho..
ikitoka ela ntakuja by mwezi wa12

ila hilo dharau lao huko kijijini utazani wamelibeba vumbi la nanjota wakaligeuza sakafu, hayo mashauzi! kweli masikini akipata
Ha ha ha Princess kumbe kweli huku kwenu unalijua mpaka vumbi la Nanjota. Home is best.
 
Saivi naona uvivu hata kwenda masasi
maana wana viburi na dharau hatari
nitakuja maana mama angu ana shamba na kakopesha hizo korosho..
ikitoka ela ntakuja by mwezi wa12

ila hilo dharau lao huko kijijini utazani wamelibeba vumbi la nanjota wakaligeuza sakafu, hayo mashauzi! kweli masikini akipata
Huu ndiyo muda wa kwenda Likizo, kule kusini maana kila mtu ana vyake, ukinywa chai hakuna anaekuonea wivu, na shida za kuambiwa hakuna wala ukikata mtaa kuombwa sh 2000 hakuna.
Dharau zake waachie wenyewe, akudhalau ukienda mwezi wa tano shida tupu.
 
Back
Top Bottom