Mla Bata
JF-Expert Member
- Jan 24, 2013
- 8,260
- 19,051
🙁🙁🙁🙁🙁🙁. Mpya bei hiyo kimbia watakuwa CIA wanataka kukufuatilia mkuu
Hahaha noma sana mzee
🙁🙁🙁🙁🙁🙁. Mpya bei hiyo kimbia watakuwa CIA wanataka kukufuatilia mkuu
Hahahaaaaa umeniacha hoi ndugu yangu, huo ni mtumba mkuu from U.S.A ingia google andika mim bytspeed utaona🙁🙁🙁🙁🙁🙁. Mpya bei hiyo kimbia watakuwa CIA wanataka kukufuatilia mkuu
Karibu mkuu, 0623554361Mkuu mi nimefika bei
Karibu mkuu
Min bytspeed hazina hizo mambo, na zooote zina garantee ya miezi 6.sio zile unazoweka kwenye chaji zinachemka kama heater unakuwa huwezi kuiweka miguuni
Mkuu ni serious, karibun nichek kwaUko serious?
Nichek kwa 0623554361 tuyajenge mkuu utapata.It looks good. Niko Masasi, Mtwara naipataje hiyo?
Mkuu mzigo umetoka dubai unawezaje nikaleta laptop 200 zote zikawa mbovu?? Kila laptop hapo ina warranty ya mwaka mmoja.Au ni mbovu?
Mkuu ni fixed price, labda uchukue nyingi ndio tutaangalia namna ya kufanya.Haipungui
Vp unakopeshaMkuu mzigo umetoka dubai unawezaje nikaleta laptop 200 zote zikawa mbovu?? Kila laptop hapo ina warranty ya mwaka mmoja.
Karibu sana 0623554361
Mbona line yako inaonyesha busy ukipigiwa mkuu. Nimejaribu kukupigia mara 2.Nichek kwa 0623554361 tuyajenge mkuu utapata.
Yangu 0624858992Mbona line yako inaonyesha busy ukipigiwa mkuu. Nimejaribu kukupigia mara 2.
Hapana, hatuna huduma ya kukopesha kwa sasa.Vp unakopesha