Msaada: Namna ya kuondoa notification za Facebook kwenye email

Msaada: Namna ya kuondoa notification za Facebook kwenye email

Joined
Nov 4, 2017
Posts
33
Reaction score
20
Ndugu wanajamvi naomba msaada namna ya kuondoa notifications za Facebook kwenye E-mail na kuzifuta sms ambazo zimeingia kwenye E-mail. Zinakera mno.
 
Fungua notification moja then scroll chini kabisa kuna sehem imeandikwa unscrib. Click hapo na fuata maelekeO, ndani ya sekunda 50 utakuwa umejitoa
 
Pole sana ingia Facebook nenda katika setting kisha nenda katika privacy settings utakuta sehemu ya notification weka off utakuwa umemaliza tatizo.
 
Back
Top Bottom