Recent content by Nditu

  1. Nditu

    CCM maji shingoni Igunga

    Enzi za wananchi kutoa kura kwa kuimbiwa nyimbo za kuvutia zimekwisha aje Komba au hata Shetani mwingine wana Igunga hawadanganyiki. Bye Bye CCM.
  2. Nditu

    PICHA: Angalia jinsi CCM inavyoweka maisha ya watoto hatarini

    Ingekuwa CHADEMA inaning'iniza watoto kwenye lori namna hii ungesikia wameshakamatwa na na kufunguliwa mashtaka lile tawi la makada wa CCM linalojiita nini vile?.... ah Polisi!
  3. Nditu

    The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

    Sigma, are you sure of what you are claiming? How old and where was you at the time the war broke. I was there when Amin invaded Kagera and witnessed his troops being cheered by the people of that area who defied calls by the few TPDF soldiers who urged them to flee to the other side of the...
  4. Nditu

    Baraza la Iddi: Mahakama ya Kadhi ni suala la Waislamu wenyewe - Kikwete

    Pamoja na mimi kuwa CHADEMA nampongeza aliyemwandikia hotuba ya leo JK. Mimi pia nimebaini leo ameonekana "more serious" na aliweka maslahi ya nchi mbele katika kila alichokizungumzia. Nampa Big up kwa hilo. Laiti angekuwa hivi siku zote yeye na CCM yao wasingepoteza mvuto kwa kasi ya ajabu kama...
  5. Nditu

    Hawa ndio walipa kodi wakubwa nchini; NMB yabwaga Benki zote

    Ukiifuatilia hii nchi unaweza kujinyonga kwa maudhi. Kumbe kuna makampuni kibao yanayofanya kazi ya kutuibia tu hapa nchini na si vinginevyo! Hata hao wanaokusanya kodi ni vichwa vya wendawazimu kwani hawazishtukii kampuni kama Vodacom ambayo kwa vigezo vyovyote ndiyo wanaoongoza kwa uwingi wa...
  6. Nditu

    Kesi ya Ridhiwan against Dr. Slaa na Mtikila

    Umma wa watanzania uliodhulumiwa na serikali ya baba yake unamsubiri kwa hamu amalize huo muda anaovuta ili ukamvue bukta na kumwacha mtupu huko mahakamani. Nadhani huo ndiyo utakuwa mwisho wa kejeli na uhayawani tuliotendewa na wahuni na vibaka hawa.
  7. Nditu

    Miaka 50: Tumethubutu, Tumeweza na Tunasonga Mbele...

    Ndiyo, ni kauli mbiu nzuri kabisa kwa wezi, mafisadi na mafisadi papa waliosheheni ndani ya CCM. Ni kweli kabisa mmepunguza umasikini kwenu na familia zenu, mmeongeza saizi za mikanda mnayovaa nyinyi na watoto wenu, mmegawana hadi nyumba za serikali mkazikarabati kwa fedha za kodi tunazolipa na...
  8. Nditu

    Shoka la TRA latua CHADEMA

    Ama kweli sikio lakufa halisikii dawa. Ule usemi wa Nyerere kwamba serikali za kifisadi zinawaogopa sana matajiri na badala yake zinafukuzana na walipa kodi wadogo wadogo umedhihirika. Hapa kuna maswali mengi zaidi ya majibu. Je, kati ya vyama vya kisiasa zaidi ya 18 ni CHADEMA pekee ndiyo...
  9. Nditu

    AL JAZEERA NAIROBI? why not DAR ES SALAAM?

    TISS yetu imejikita kuwadhibiti wapinzani na kuwalinda vibakauchumi waliosheheni ndani ya CCM tu. Inafanya kazi kama kitengo cha CCM na hawana jipya. Wanashughulika na kuilinda serikali hii ya CCM iendelee kutawala kwa kuwalaghai watu na kuwasaidia CCM kutumia njia zozote kufanikisha uhaini...
  10. Nditu

    Kingunge Ngombale Mwiru

    Binafsi namwona Kingunge kama mnafiki wa wanafiki. Mzee huyu alifaulu vyema kumzuga Nyerere kama vile alikuwa mtetezi shupavu wa ujamaa kumbe alikuwa kinyume chake! Mzee huyu hana msimamo na ni kielelezo cha wanafiki wanaowazunguuka viongozi wetu wakijifanya wanasimamia yale yanayosimamiwa na...
  11. Nditu

    CHADEMA mtatatua vipi tatizo la umeme?

    Ovyo! Maswali mengine Bwana utafikiri yanaulizwa na mgonjwa anaye recover toka kwenye kale kadawa ka usingizi kanakoitwa Ketamine! Kwa kawaida mgonjwa aliyefanyiwa mapasuaji kwa kupewa usingizi wa dawa hii anaporudia fahamu huweweseka nakusemasema maneno ya namna hii. Hebu tuambieni wana magamba...
  12. Nditu

    Magazeti ya Kenya na dhihaka kwa Rais wetu

    S Mimi sioni dhihaka hapo. Hawa ni waandishi wenye mawazo ya kujitegemea na hawaogopi mtu wala kulamba viatu vya wanasiasa kama wafanyavyo waandishi wetu wa TBC, Daily News na takataka nyingine kama Tazama, Uhuru n.k. Hawana sababu ya kujikomba hawa kwa maana wanasimama katikati ya mstari wa...
  13. Nditu

    Jmk hakumwalika swahiba wake el ktk harusi ya yusuph?????

    Yusufu yupi huyo? Mbona habari yako inaelea juu juu tu? Fafanua.
  14. Nditu

    Jamani huku Bungeni kwema

    Tunaposema hakuna mzuri ndani ya CCM watu wanatushangaa na wengine kuwa na mashaka na kauli zetu. Kauli za Sitta leo zimethibitisha hilo kwamba bila ya shaka zozote hakuna aliyeko ndani ya CCM anayeweza kuwa mpambanaji dhidi ya ufisadi kwani naye ni zao la ufisadi uliomo ndani ya chama hicho...
Back
Top Bottom