Jmk hakumwalika swahiba wake el ktk harusi ya yusuph?????

kakolo

JF-Expert Member
Jul 7, 2011
387
309
Samahani mazoea huwa ni mabaya au wakati mwingine huwa ni sheria. Nimezoea kuwaona wote katika shughuli mbalimbali, lakini katika hili kubwa bwana Yusuph anaoa EL hayupo. Kulikoni?
 
Samahani mazoea huwa ni mabaya au wakati mwingine huwa ni sheria. Nimezoea kuwaona wote katika shughuli mbalimbali, lakini katika hili kubwa bwana Yusuph anaoa EL hayupo. Kulikoni?
Yusufu yupi huyo? Mbona habari yako inaelea juu juu tu? Fafanua.
 
Samahani mazoea huwa ni mabaya au wakati mwingine huwa ni sheria. Nimezoea kuwaona wote katika shughuli mbalimbali, lakini katika hili kubwa bwana Yusuph anaoa EL hayupo. Kulikoni?

Tofautisha Siasa ,chit chat habari mchanganyiko, etc. Sio kwa kuwa JMK ni rais basi kila habari yake ni siasa. Otherwise u re not a great thinkers.

Hii habari yako ilitakiwa kuwa kwenye forum ya urafiki na mahusiano, au chitchat
 
aalike watu kwani YUSUF mwanawe? panua ubongo katika kufikiri... YUSUFU ndo ana-jukumu la kualika ndugu jamaa na marafiki zake, labda ulazimishe urafiki wa YUSUFU na huyo amtakaye yeye
 
01.jpg

wanasema ni mdogo wa kikwete mbona kaka ni mzee kuliko kikwete? au mkuu ana 02 room hapo magogoni?
huyu ni mke wa kwanza kweli?
hii habari naona kama ina mapungufu bana huyu jamaa ni mzee sana kusema huyo ni mke wa kwanza
 
nimesoma vibaya au ni kweli hii kitu ilifungiwa ikulu?
kwa ghalama za nani?

011.jpg

KITI CHA IKULU KILE NIMEKIONA DUH

015.jpg

Rais jakaya Kikwete na Makamu wake Dkt Mohammed Gharib Bilal, wakiongozana katika Uwanja vya Ikulu Ndogo Bagamoyo wakati walipofika kuhudhuria sherehe ya ndoa ya mdogo wake na rais Kikwete, Yusuf Kikwete, iliyofungwa leo mchana katika uwanja huo na kuhudhuriwa na mbalimbali pamoja na wake za viongozi.

MPAKA HAPA JK ana maswali ya kujibu kuna harufu ya ufisadi kwenye hii kitu maana naona vifaa vya serikali hapa mahali kiti nimekiona tena
kwani kila anakokwenda kikwete tuna ghalamia?
ni yeye analazimisha kwenda huko au kuna taratibu?
katiba mpya jamani
 
01.jpg

wanasema ni mdogo wa kikwete mbona kaka ni mzee kuliko kikwete? au mkuu ana 02 room hapo magogoni?
huyu ni mke wa kwanza kweli?
hii habari naona kama ina mapungufu bana huyu jamaa ni mzee sana kusema huyo ni mke wa kwanza

Hii ni siasa kwa sababu harusi ilifungiwa ikulu ndogo - Inawezekana wafanyakazi wa serikali walifanya kazi ktk hiyo harusi.
Kwa maoni yagu.
Many Thanks kwa hii picha.
 
huyu si ndiyo yule yusuf mlevi huyu, dah kumbe ni ndugu kweli na rais, mimi nilikuwa hata siamini nilivyokuwa nasikia na nikimuangalia na yeyehali aliyokuwa nayo.
 
Huyu alikuwa rais wa bagamoyo miaka ya 90 wkt JL akiwa waziri nishati muulize Kibona anajuaa...alihamishwa kwa phone call jamaa anasotaa hadi sasa pale uyole mbeya....kama mnabisha ulizeni tanesco......
 
Skils4Ever mbona hausomeki...Kibona yupi?Nani anasota?Tuwaulize nini Tanesco?Ila jamaa ni Mzee duuh...
 
Tofautisha Siasa ,chit chat habari mchanganyiko, etc. Sio kwa kuwa JMK ni rais basi kila habari yake ni siasa. Otherwise u re not a great thinkers.

Hii habari yako ilitakiwa kuwa kwenye forum ya urafiki na mahusiano, au chitchat

Kwani hapo kutakuwa na ufisadi maana huenda serikali imechangia hiyo shughuli kama walinzi na facilities za serikali kama vyombo vya usafiri, wandishi wa habari wa serikali kufanya coverage na who knows may be TBC as well mwenye more news atujulishe.
 
This man ndiye mmoja wa watu wa karibu sana wa JK .Yes ni ndugu anaitwa Yusuph Mrisho Kikwete ni mkurugenzi wa kampuni inaitwa Cargo Movement Company Limited wako wana ndugu wote .Kampuni hii pia wamekuwa wakipeleka watu kwa Ngeleja ili kufua umeme Tanzania .Yaani huyu akisea Ngeleja kimya eti wao ndiyo wanampigia debe kwa JK .Yes JK anamsikiliza sana huyu jamaa sana sana .Ni mkubwa kwa JK nasikia .Ukishangaa anaoa leo nadhani hakuna haja maana ni kawaida hawa kuoa kila kukicha .JK je na mambo haya ? Ukitaka kumuona nenda best bite pale Morocco utawakuta hapo ndiyo kijiwe chao .
 
Mke uji,
01.jpg
wanasema ni mdogo wa kikwete mbona kaka ni mzee kuliko kikwete? au mkuu ana 02 room hapo magogoni?huyu ni mke wa kwanza kweli?hii habari naona kama ina mapungufu bana huyu jamaa ni mzee sana kusema huyo ni mke wa kwanza
 
HUU NI UFISADI WA MCHANA MLINZI TUMPE NA VITI APELEKE
kwa jinsi ninavyojua hata hicho kitu uwezi kukisafirisha tu lazima kuna ulinzi wa kutosha muda wote, kabla na baada ya kurudishwa ikulu

13.JPG

Rais jakaya Kikwete na Makamu wake Dkt Mohammed Gharib Bilal, wakiongozana katika Uwanja vya Ikulu Ndogo Bagamoyo wakati walipofika kuhudhuria sherehe ya ndoa ya mdogo wake na rais Kikwete, Yusuf Kikwete, iliyofungwa leo mchana katika uwanja huo na kuhudhuriwa na mbalimbali pamoja na wake za viongozi.
jk2.JPG

VIFAA VYA IKULU KAMA VITI VIMETUMIKA, NI SAHIHI SISI KULIPA KODI
YEYE KUMFANYIA HARUSI MDOGO WAKE KWA GHALAMA ZETU?
MDOGO WAKE NI NANI KISERIKALI? BORA ANGEKUWA MWANAYE
 
Back
Top Bottom