PICHA: Angalia jinsi CCM inavyoweka maisha ya watoto hatarini

Hawana pa kutokeo tena ndio maana wanawatumia hao watoto,lakn pia maeneo mengi sana hata watoto wenyewe wanatambua ubovu wa ccm na sera zao mbovu za kulinda mifisadi

Hawa hawaangalii watoto wala nini? wanachoja;i ni ushindi tu kwa njia yoyote ile??? hata wakifa wao haiwahusu.

Nashangaa sana kwenye thread kama hizi simuoni FF,Rejao,Arafat,Ritz1 na mwita. Mmeanza kupepereka shuhuli imekua tete upande wenu.

me nataka kuona coment za FF tu, kiumbe huyu hutetea magamba km vile kazaliwa nacho! Nataka nione hapa atasemaje,..

Wanataka kujaza eneo lao la mkutano, inaelekea wamewazoa mashuleni maskin wa Mungu. Wasipofanya hivyo katu hawapati mtu..sasa sijui watapigiwa kura na nani? Au watawatengenezea hao watoto kadi za kupiga kura wajaribu kuokoa jahazi la magamba!

Bila hao watoto mkutanoni patapwaya ndio maana wanawakusanya kwa wingi.

HAHAHAHAAAA,UNAKUMBUKA NAPE NA KUHUTUBIA KUNDI LA WATOTO AF AKASEMA CDM WAMEREJESHA KADI.WAKACHUKUA ZA SISIEM? NDO ZAO,WATU WASHASTUKA UNAENDA HUKO UNATANDIKWA NA VUMBI NA JUA TUU AHADI FEKI KIBAO

Hawa watu wa ccm wanashangaza sana ikizingatiwa wazazi wao hao watoto wanakejeliwa hapa hapa JF.

Hawa ndio wapigakura wao wa kwenye uchaguzi huu wa igunga kwa hiyo lazima wawabembeleze kwa kuwapakia humu hata kama ajali itatokea wao hawana habari

Mbona dereva, he looks like NAPE

Sijui ni lini jamani CCM itajifunza kuacha kutumia watoto kwenye siasa, tulitegemea wangejifunza kutokana
kifo cha mtoto yule wiki iliyopita lakini CCM pamoja na kujifanya wana majonzi makubwa ya kifo cha mtoto
yule lakini wanaonekana kuendeleza tabia yao ileile ya kutia maisha ya watoto hawa hatarini for political gain.

5.jpg

picha hii ya Fuso likiatarisha maisha ya watoto(Igunga) kwa kuwajaza humo huku mlango ukiwa wazi labda kwa ajili
ya kuwaruhusu wengine waendelee kudandia, jamani je watoto wangapi wafe mpaka ccm iache mambo haya??

sijui ni lini jamani ccm itajifunza kuacha kutumia watoto kwenye siasa, tulitegemea wangejifunza kutokana
kifo cha mtoto yule wiki iliyopita lakini ccm pamoja na kujifanya wana majonzi makubwa ya kifo cha mtoto
yule lakini wanaonekana kuendeleza tabia yao ileile ya kutia maisha ya watoto hawa hatarini for political gain.

5.jpg

picha hii ya fuso likiatarisha maisha ya watoto(igunga) kwa kuwajaza humo huku mlango ukiwa wazi labda kwa ajili
ya kuwaruhusu wengine waendelee kudandia, jamani je watoto wangapi wafe mpaka ccm iache mambo haya??

ccm ni chama cha mabepari, utu kwao hakuna. Kwani mtoto aliyekufa alikuwa ni wa wapi? Walichukuliwa hatua gani? Wana wa igunga, huu ndo mda mwafaka wa kusema hapana, ccm basi imetosha.

Muda ukifika huwezi zuia,you cant control nature,watawabeba but wakikua tu wanakwenda peoplez power.

Wanataka idadi ya watu kt mkutano iwe kubwa ili hata kama wakichakachua matokeo ya uchaguzi waseme chama chao na mgombea anakubalika.

Ingekuwa CHADEMA inaning'iniza watoto kwenye lori namna hii ungesikia wameshakamatwa na na kufunguliwa mashtaka lile tawi la makada wa CCM linalojiita nini vile?.... ah Polisi!

Ndo wapiga kura wao hao, Mlimwona MKapa akiwa Civil wakati wenzake wanamavazi ya Magamba?

3.jpg

2.jpg

Back
Top Bottom