Jamani huku Bungeni kwema | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani huku Bungeni kwema

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ginner, Jul 12, 2011.

 1. G

  Ginner JF-Expert Member

  #1
  Jul 12, 2011
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 1,138
  Likes Received: 262
  Trophy Points: 180
  Jamani jamani kwa hali hii bunge linavoenda enda ipo siku tutashawishika kuingia mtaani kama kinachotokea ukanda wa kiarabu duniani....bado na shaka na uwezo wa huyu naibu spika na spika makinda katika kuliongoza bunge hili. Sitta kaongea upuuzi dhidi ya wapinzani..bila aibu mwenyekiti kambeba kweupe...mara sauti za ajabu ajabu bungeni bila mpangilio...mara toka nje..mara nini kama mipasho bungeni..haya me naskilizia tu mwisho utakuwa ivo
   
 2. Kamkuki

  Kamkuki JF-Expert Member

  #2
  Jul 13, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 1,067
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 145
  Pasua kichwaaa!! kwanza hawaeleweki kama ni ndege au mnyama!
   
 3. hengo

  hengo JF-Expert Member

  #3
  Jul 13, 2011
  Joined: Jun 6, 2011
  Messages: 403
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mimi nasubiri siku wapasuane kwa viti kama jirani zetu wakenya,ndipo wataheshimiana.
   
 4. yutong

  yutong JF-Expert Member

  #4
  Jul 13, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 1,604
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0

  Na hao ndo watachangia CCM kuanguka zaidi maana inakuwa haina viongozi compitent! Walijisahau mno nakujiona wao kama miungu sasa watz wameamka wanataka haki zao
   
 5. yutong

  yutong JF-Expert Member

  #5
  Jul 13, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 1,604
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Kwa mtindo huu CCM is declared mahututi
   
 6. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #6
  Jul 13, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,428
  Likes Received: 12,695
  Trophy Points: 280
  Asee nimemskia s sitta leo asbh TBC NEWS ,anaongea upuuzi kuhusu wapinzani eti wana kauli nyepesinyepesi!af akagusia na mambo ya posho!! YAANI nilikuwa na chembechembe za mbaaali kumheshim yule mzee lakn leo kaniondolea vyooote hivyo, nimemdharau mojakwamoja kwa maneno yale ya kitoto alokuwa anaongea bungeni,nashkuru wkt huo mchakato wa bunge unaendelea nlikuwa mzigoni! Vingnevyo ningevunja tv yangu kwa hasira loool
   
 7. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #7
  Jul 13, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,762
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Sijui Sitta ni kile kiti cha msukule pinda ndo kimemfanya hivyo!
  Nilidhani atafaa kuwa raisi but naona bure kabisaaa!
  ndo maana MAGAMBA yataendelea tuu!
   
 8. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #8
  Jul 13, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  speed and standard kushney, mihimili ya ccm iliyobaki ni magufuli na mwandosya wengine ni vilaza wanajua kujibu ndiyoo na siyoo
   
 9. Nditu

  Nditu Member

  #9
  Jul 13, 2011
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 84
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tunaposema hakuna mzuri ndani ya CCM watu wanatushangaa na wengine kuwa na mashaka na kauli zetu. Kauli za Sitta leo zimethibitisha hilo kwamba bila ya shaka zozote hakuna aliyeko ndani ya CCM anayeweza kuwa mpambanaji dhidi ya ufisadi kwani naye ni zao la ufisadi uliomo ndani ya chama hicho. Formula hii alitupa Hayati Baba wa Taifa muda mfupi kabla ya kifo chake alipokuwa akisisitiza kwamba hakuna kiongozi atokanaye na rushwa ambaye akipewa uongozi anaweza kupambana nao.
  Vyovyote ilivyo Sitta anaufahamu vema utamu wa ufisadi na naamini alionja ladha yake wakati akiwa mkurugenzi wa uwekezaji nchini ambapo mashirika mengi tu yalikwenda na maji kwa bei poa. Kelele zake alipokuwa Spika zilikuwa wivu tu wa kwa nini fulani naye apate na si uchungu wa dhati wa mustakhbali wa taifa letu. Leo amedhihirisha unafiki na undumilakuwili wake hadharani na naamini hata wale waliokuwa na shaka kidogo juu ya uzalendo wake kwa umma unaoteseka wa watanzania wamemwelewa na atahukumiwa kwa kauli zake za kejeli dhidi ya umma.
  Narudia tena: Hakuna kiongozi toka ndani ya CCM atakayeweza kwa dhati kuzungumzia mustakhbali wa taifa hili kwani maambukizi ya virusi vya ufisadi ndani ya CCM yameingia hadi kwenye kiini, kwa maana hiyo hakuna wa kuaminika kuanzia Rais hadi tarishi.
  Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Afrika.
   
Loading...