CCM maji shingoni Igunga

CCM maji shingoni Igunga

Hivi kapteni Komba hajaja huko la lile lori lake na band yake ya kwaya na taarabu?
Enzi za wananchi kutoa kura kwa kuimbiwa nyimbo za kuvutia zimekwisha aje Komba au hata Shetani mwingine wana Igunga hawadanganyiki. Bye Bye CCM.

MODS wanazi wa CDM wameifuta comment yangu, hivi ninyi hamnaga aibu, mnata kila mtu akae asifie tu CDM, acheni unazi wewe kama mod kazi yako ni ku moderate sio kutetea CDM au ndi mlivyoelekezwa na ma bosi wenu? Hivi unadhani hii komenti moja hapa inaweza kubadili matokeo Igunga? Hebu acheni bongo zenu zifanye kazi si kutumia yale sijui nini wanayaita DIDAS. Acha comments hata kama wewe haikufurahishi kama unajiona unaroho nyepesi na mapenzi na chama chako yamezidi si ingia tu kama member wa kawaida tupiganishe hoja na si huo uoga wenu. pengine ninyi ndio mnaokichafua chama cha CDM kuonekana kama watu wasio kuwa na uvumilivu kumbe ni mijitu michache tu, mbona hao wenye CDM tunakaa nao na kubishana, tunaita magwanda, magamba na kokrochi halafu tunaendelea kugengeana misuba? khaaa SHAME ON wewe mod uliye futa comment na kwa kuwa nilikuwa na ku monitor nitakufuata huko huko kukuonesha mimi ni nani EBOOOOOOO.
Nduka usikasirike plz,, mayb mods ameogopa avatar yako ilivyo ya ajabu

Ndugu wana JF,

Ni usiku wa saa nne kwa hapa Tz ninapoandika ujumbe huu. Nimeongea na jamaa yangu ambaye ni askari polisi ambaye kwa sasa yupo Igunga. Tathmini aliyoitoa n kwamba CCM hali yao ni mbaya sana Igunga na hivyo kwa sasa wanajiandaa kwa hali na mali washirikiane na jeshi la polisi kuvuruga harakati za ukombozi wa pili wa watanzania na wananchi wa Igunga. Tayari kuna makamanda kama saba wa polisi ambao wamepelekwa huko akiwemo aliyerithi Mikoba ya Kamanda Tossi, huyo anaitwa Anacleth. Wengine ni akina Siro na Liberatus Baro. Wote hapa sasa wanashawishiwa na serikali iwatumia polisi kuhakikisha kuwa CCM inashinda kwa hila. Magari mengi ya maji ya kuwashwa yameshapelekwa huko kwa ajili ya kutoa tvitisho kwa wananchi. Wanaigunga wameamka mno safari hii. Jamaa yangu pia amethibitisha kuwa CCM inabeba watu kutoka vijiji ambavyo viko nje ya Igunga ili mradi ionekane tu kuwa inajaza watu kwenye mikutano.

Kwa wana Chadema mlio Igunga, kazeni buti na mikakati mathubuti iwekwe kulinda kura

what is your source of information?

nyie TBC muelewe kua mnafanya kazi kwa kodi zetu ss watz tunaomba mripoti habari ya vyama vyote cyo mgeuze tbc ni mali ya ccm

Mkuu kiukweli kabisa hizi ndio choko choko za uchochezi,

Niajabu kuna watu tunashindwa hata kuhoja angalau kwa undani huyu mtu anaongea nini? kila mtu narukia na kusapoti kwasababu tu habari hii ipo in favor na chama unachokipenda.

Inawezekana ikawa kweli CCM wakawa maji ya shingo lakini habari hii haina kichwa wala miguu, na mleta mada alijua akiropoka ilimradi anaisapoti Chadema basi atapata sapoti toka kwa watu kibao.

Big up kwa Who Cares? angalau amejibu ki kreta sinka

pole magamba

Kama tunajifurahisha ni sawa ila kama ni ukweli CCM wamekuwa wakipata watu wengi sana. Juzi Mwigulu alikuwa Nkinga bila hata mgombea alikuwa na mkutano mkubwa mno kuliko alifanya Dr Slaa siku tatu zilizopita. Ulikuwa mkutano mkubwa mno mpaka nikashangaa wamefuata nini. Halafu huyo jamaa ana namna ya kuongea kwa namna mpaka watu wanaamini, anaharibu sana kama pale ali water down hotuba yote ya slaa yaani kama kuna mtu amebaki na yale ya slaa ni aliyemwelewa tu wengine walibadilika sana mpaka wengine waka diriki kusema Mwigulu agombee urais. Nimemsikiliza anawavutia kwa kutoa mifano kwa kisukukuma, kinyaturu, kinyiramba, kinyamwezi halafu watu wetu bwana wanamshangilia kweli. Pia kafanya mkutano mwingine mkubwa simbo, nanga na nyandekwa na amebadilisha watu kweli. Ana mvuto fulani wa maneno na staili ya kuhutubia watu hawachoki. Akizunguka kote jimbo litakuwa gumu kutabiri tofauti n mtoa thread alivyosema. Ngoja niwatafutie picha

Mkuu kiukweli kabisa hizi ndio choko choko za uchochezi,
Niajabu kuna watu tunashindwa hata kuhoja angalau kwa undani huyu mtu anaongea nini? kila mtu narukia na kusapoti kwasababu tu habari hii ipo in favor na chama unachokipenda.
Inawezekana ikawa kweli CCM wakawa maji ya shingo lakini habari hii haina kichwa wala miguu, na mleta mada alijua akiropoka
ilimradi anaisapoti Chadema basi atapata sapoti toka kwa watu kibao.
Big up kwa
Who Cares? angalau amejibu ki kreta sinka

Kaka heshima. Hapo kwenye red ndipo hasa "wataalam" wa fani mbalimbali - sayansi jamii, sayansi siasa, sosholojia, n.k. n.k. wanatakiwa kukuna vichwa kujiuliza huwa inakuwaje? Fikiria chama ambacho hakina resources zozote kubwa wala hakina dola na vyombo vyake wala, wala, wala, ... lakini kinapata sapoti ya ajabu hivyo! Huwa inakuwaje? Hebu tujifikirishe kidogo.

Tungeweza kuruka kama flamingo tungekuwa anga hizo kuhakikisha haki ya Mtanzania inasimama sawasawa na Uumbaji ukivyofanyika kwa Tanzania..
Waende wakubwa wooote wa mafisadi..sisi twaenda na Hoja..Rostam walimshutumu na akatoka na sasa wanamwomba awapigie kampeni..Na Rost.. akakubali tena kusimama kwenye jukwaa la waliomtema..huu ni uhuni...NAMKUMBUKA KINGUNGE

Kwa kweli ni muda wa kuwaacha wananchi kuchagua mtu na chama wakipendacho na si vinginevyo kama kweli tunataka Demokrasia ya kweli kwa waTz na maendeleo endelevu!
Wagombea acheni kununua uhuru wa wananchi kwa kuwahonga.

Chadema kwa mikakati ni balaa..ndiyo maana CCM wamepigwa na butwaa. Wenzako kama wamefanya mikutano 21 na wewe mmoja wa kuchakachua unategemea nini??. CDM ni mwisho wa matatizo...a very strategic party ever. Ikiwzekana msitumie helkopta
...Mkuu achana na Magamba wanaweza kuwafanyia mazingaombwe ukashangaa wanashinda mkabaki mnaulizana mbona walifanya mkutano mmoja tu wa kampeni....!!

Magawnda yanajifariji na kujilizawa!

Vipi hao vijana waliomwagwa na zile Fuso za CDM kutoka Moshi na Arusha ni wapiga kura wa jimbo hilo? Huko ni kujidanganya na sijui ni nani analipa gharama za chakula na malazi kwa vijana hawa zaidi ya 400 walioletwa na CDM ili kuongeza wingi wa watu katika mikutano yao

propaganda zingine za kipuuzi! Unataka kuniambia watu 400 toka msh na arusha wamepelekwa igumga, kwa shida ipi cdm walionayo kihivyo? Uzush mwingne upime na mantiki yake cuz....

Ushindi wa uchaguzi haupo kwenye kuanzisha threads za kishabiki.

Pamoja na kuhutubia wanafunzi wa shule ya msingi bado mwaona mtashinda.

...USHINDI NA UKOMBOZI WA HILI TAIFA UNAANZIA IGUNGA...Na hao wanafunzi uliowaona ndo tunawaandaa wawe wazalendo wa nchi hii,na 2015 watakao kuwa wametimiza umri wa kupiga kura tunawasisitiza wasifanye kosa la kuchagua mafisadi(CCM) kwenye uchaguzi mkuu wa 2015...je una-hoja nyingine ya maana?...najua hauna kwahiyo tulien myolewe..."IGUNGA CHAGUA CHADEMA ONDOA MAFISADI"...

Jimbo laini sana hili,na wanaIgunga wapo tayari kwa mabadiliko,kimsingi kwenye uchaguzi wa mwaka jana Chadema tulipata madiwani 2,wa kuchaguliwa na 1 wa viti maalum.Kila unayekutana nae anaonyesha ishara ya chadema hata watoto,ambayo ni ishara kuwa hata wazazi ndicho wafanyacho.,,ntaendelea kuwajuza
Mkuu usibweteke na ishara ya vidole viwili toka kwa hao machalii, mmejipanga vipi kulinda kura?

Kwa kweli ni muda wa kuwaacha wananchi kuchagua mtu na chama wakipendacho na si vinginevyo kama kweli tunataka Demokrasia ya kweli kwa waTz na maendeleo endelevu!

Wagombea acheni kununua uhuru wa wananchi kwa kuwahonga.
Nasikia eti Mweigulu Nchemba kafumaniwa anaharibu ndoa ya watu!

hiyo lazima ile kwao maana walishazoea wakijua wanaigunga ni wajinga kama wa miaka1980

Hkuna kulala MCHAKATO MAJIMBONI UMEANZA, Kitendo cha kumkataza NAPE, MZEE SITA, MWAKYEMBE, OLE SENSEKA, CHILIGATI kuganyaga IGUNGA ni mtaji mkubwa kwa CHADEMA. Vile vile ROSTUM inaipigia debe CHADEMA, kawni alishasema CCM inaendesha siasa uchwara. Doooooo JAMAAA wametapeliwa. Ville vile MKAPA ameingia IGUNGA kukabidhi rasmi jimbo hilo kwa CHADEMA. Hongera PEOPLES PAWaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

Kaka heshima. Hapo kwenye red ndipo hasa "wataalam" wa fani mbalimbali - sayansi jamii, sayansi siasa, sosholojia, n.k. n.k. wanatakiwa kukuna vichwa kujiuliza huwa inakuwaje? Fikiria chama ambacho hakina resources zozote kubwa wala hakina dola na vyombo vyake wala, wala, wala, ... lakini kinapata sapoti ya ajabu hivyo! Huwa inakuwaje? Hebu tujifikirishe kidogo.

[Ukweli unauma, ROSTAM hakuwa mjinga kujiuzulu ubunge. Na sasa ameingia kwenye kampeni kumaliza kazi.ROSTAM amewaingiza CCM kwenye kona zake hureeeeeeeeeeeeeeee.Asante kaka MKAPA kwa kuipa CHADEMA ushindi wa bureeeeeeeeeeeeeee.]

Back
Top Bottom