Recent content by ndiomzee

  1. ndiomzee

    Watanzania msiipigie kura CHADEMA 2015

    Una akili za matope, sioni unaongelea nini hapo. Uzembe hautakiwi. Chama cha Magamba mwisho wake umefika.
  2. ndiomzee

    Waziri mkuu mstaafu ni mgonjwa!

    Pole zake, sasa urahisi je??
  3. ndiomzee

    Magamba Mwanza na miaka 35 - aibuuuu!

    Jamani kwani MMESAHAU kuwa KIBAYA chajitembeza na kujitangaza lakini KIZURI chajiuza hata bila matangazo.
  4. ndiomzee

    Magamba Mwanza na miaka 35 - aibuuuu!

    Aibu hii hawana klwa kuificha. Mkubwa wa serikali anasema serikali haina hela na huku chama thawala kinatumia fedha just kuadhimisha eti miaka 35 kwa mbwembwe, jamani!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!11
  5. ndiomzee

    Yaliyojiri uwanja wa NMC - Arusha

    Jamani, tunaomba basi mtoe updates.
  6. ndiomzee

    Mwakyembe anasikitisha! Walaaniwe wanaohusika!

    Na alaaniwe mtu huyo.
  7. ndiomzee

    Wananchi wakiamua polisi, jeshi, mitutu ni bure kabisa

    Kikwete na serekali yake wana akili za matope. Hawawezi hata kufikiria ya maana. Nchi imekuwa genge la wahuni.
  8. ndiomzee

    Mbeya yachafuka polisi wapambana na wamachinga

    Hii Ndio hali ya mbeya jamani.
  9. ndiomzee

    UDSM kimenuka sasa hivi, Kikwete na Kawambwa Wataficha wapi nyuso zao?

    Kikwete anachekelea watanzania wakipigwa mabomu mbeya, chuo.
  10. ndiomzee

    Mbeya kwarindima kwa Mabomu, risasi!

    Sidhani kama kweli kikwete anaguswa na hali ya watanzania ambao yeye anawaita wamemuweka madarakani. Au kwa vile kashika rungu?
  11. ndiomzee

    UDSM kimenuka sasa hivi, Kikwete na Kawambwa Wataficha wapi nyuso zao?

    Hii Ndio tanzania ya kibabe, ipo siku wataikumbuka hiyo mibomu wanayoirusha.
  12. ndiomzee

    NSSF interview

    Tunaikomboaje nchi hii katika hili?
  13. ndiomzee

    Slaa, Lissu na wafuasi wao wafikishwa mahakamani Arusha

    Hii inaonyesha jinsi gani hata hao mapolisi walivyo wapumbavu.
  14. ndiomzee

    300 Billion from Stanbic Bank goes unaccounted

    Viongozi wa Tanzania wamekua wababaishaji sana. Usikute zimeingizwa kimya kimya kulilipa lililokuwa RIDOWANS
  15. ndiomzee

    Slaa, Lissu na wafuasi wao wafikishwa mahakamani Arusha

    Huyo alietoa amri ya kuwapiga watu kwa risasi alaumiwe.
Back
Top Bottom