Biz2geza
Senior Member
- Oct 12, 2011
- 117
- 20
Hapa sasa iko shida yaan katika ule mkopo wa 400bn ni 100bn tu ambazo zimekuwa remmited kwa wizara ya ujenzi! Swali la Msingi hizo nyingine 300bn zimekwenda wapi?The question remains unanswered. issue yaweza kuwa zimepelekwa kwenye shughuli ambazo siyo kusudio la mkopo. Tumekuwa tunawapigia kelele wajasiriamali kuhusu kuwa na discipline kwenye pesa ya Mikopo Kumbe hata Govt nayo?Mungu hatusaidie kwenye hili.
Source: The African.
Source: The African.