Mbeya yachafuka polisi wapambana na wamachinga

Mbeya yachafuka polisi wapambana na wamachinga

Duh ukiona polisi pamoja na wale wa magereza mambo yamewashinda uje ukombozi upo mbioni. achana kabisa na wanyakyusa wakiamua kitu huwa hawarudi nyuma. kuleta jeshi hakuta tuliza ghasia.
 
natamani kulia ila moyo unaniuma c kwasababu mimi mtu wa mbeya hapana bali nimuonapo mzee kama huyu aliyepigwa risasi kichwani na mwengine na hata mtoto akikimbia kama kafungwa injini ya pikipiki kweli naumia sana leo ni kwetu mbeya na je kesho cjui kwa kina mangi na wasukuma na haata pia shemeji zangu wasambaa na wazigula.
 
Huo ni mwanzo tuu ni manyunyu mvua yenyewe bado,wacheni kuchokoza watu wakizinduka sijui mtafanya je? Watu watakapo jifunza kutengeneza mabomu ya kurusha hapo nchi haitakalika!

Usihofu kaka hiyo taaluma ya kutengeneza mabomu ninayo kwa kutumia malighafi rahi ambazo zinapatika kwa urahisi
 
habari nilizozipata hv punde kutoka kwa mfanyakazi mwenzangu huko mbeya ni kuwa fujo ni nyingi kiasi cha kwamba imebidi jeshi liitwe kuongeza nguvu kwani jamaa walijiandaa toka jana wakijua lazima FFU wangekuja kwa hio mziki wa Mbeya ni mzito sana.

Walikwenda ffu wapi magereza wakajaribu coz walikuwa karibu wapi kandoro kaomba msaada toka jeshini fujo zimeanza saa1 asubuhi mpaka sasa ndo zinazidi kusambaa maeneo mengine nackia huko jamani hali ni mbaya sana wazee wa kupiga nondo wako ngagari
Nimewaambia hii serikali inachokoza watu ikidhani ni wajinga, ni huo ni mwanzo kazi yenyewe bado maana watajipanga kikazi zaidi itakuwa hatari tupu!
 
"Masaburi" kabisa wewe. Hivi hao watu wawili ndio wangekuwa wazazi wako ungesema hivi? Nyambaf!

umemjibu vzr huyo kilaza bundajo. tunisia kitendo cha mtu mmoja, mohamed bouazizi kujichoma moto ndio kimesababisha mpaka kina mubarak na ghadafi hatunao sasa. haijalishi mtu ni mmoja au alfu katika kupigania haki.
 
Noambeni rasmi mtu anayefahamiana na JK amuombe anipe majukumu ya kuwa mshauri wake wa kisiasa! Ninaamini nina hekima kuliko waliopo kwa kweli.

Unless......


Mkuu kamwe huwezi kuishauri Serikali taahira. Utapata frustration ya hali ya juu kisha uishie kubwaga manyanga. Wananchi wanapoona hawana haki ndani ya nchi yao basi huweza kufanya lolote lile bila ya kuogopa matokeo yake. Mpaka siku watakapomkamata polisi/FFU mmoja au hata zaidi na kumuua/kuwaua ndio labda Serikali itaelewa kwamba Wananchi wamechoka kunyanyaswa.
 
inasikitisha, huyo Kandoro mwenyewe kajificha wapi?
 
khaaa! haya madubwasha ndio yanawasha hivi! nilidhani nimemwagiwa pilipili machoni! hebu ngoja kwanza nikatafute gari maanake sijui nililiacha wapi, bado hali ni tete, mabomu ya machozi bado yanarindima kukabiliana na wananchi
 
Inaonekana siku zote ni wale vibaraka wa rais kama wakuu wa mikoa/wilaya ndio wanaoivuruga nchi. Mbona hatujaona ugomvi wa wawakilishi wa wananchi yaani wabunge, wawe wa chama tawala ama upinzani wakishindana na wapiga kura wao?

Fikiri kule Arusha aliyetaka kuleta ile balaa ni kibaraka wa rais (Rc) aliyemfuata hakimu mahakamani na kumpa maelekezo ya kuzuia dhamana iliyokuwa wazi.

Umefika wakati sasa wa kupigania katiba mpya na kuyapunguza mamlaka ya rais. Huko nyuma tulitegemea busara za rais na wala sii katiba, lakini sasa umefika wakati wa kuitengeneza katiba maana tayari tuna rais asie na busara na amedhamiria kujinufaisha na yale mapungufu ya katiba.

Unapowahamisha watu mahali wanapopata riziki yao ya siku ni lazima uwe na mahali pa kuwaweka vinginevyo ni kukaribisha vurugu. Damu zote za wahanga wa haya mauaji haiwezekani zisiwe juu ya JK na serikali yake.
.
 
Aisee! Cjui itakuwaje nchi nzima ikilipuka kwa maandamano? Nadhani mabadiliko tuyafanye sasa.
 
We kweli uko out of touch! Mwarabu wa wapi weye? Yani wewe ulichoona hapo ni usafi wa mji?

Halafu una roho mbaya kweli kweli,inaonyesha umetekenywa mahali yake..Wewe unasema wananchi wapigwe risasi mods hawana shida na wewe.

Sasa subiri mimi niseme na wananchi wawapige nyie na polisi risasi uone kama hawajaifutilia posti mbali.Ndo double standrads hizi.

Ama kweli kuishi kwingi...

Na mimi pia ameniangusha sana huyu dada. Nilitaka nimwambie directly lakini nikaona hamna haja tena.

Duh.... Mimi siyo mbaguzi, lakini kwa hili, nashawishika kuamini yale yanayosemwa kuhusu ukatili wa waarabu dhidhi ya watu weusi. Hivi mtu anawezaje kuangalia hizo picha na kuona kuwa hao watoto, wazee, wamama, wanachofanyiwa na hao wanajeshi ni kitu cha kusheherekea? Hawa ni wananchi wenzetu!
 
ivi hakuna njia mbadala ya kudhibiti wananchi zaidi ya kutumia risasi?kila siku matukio ya namna hii yanaongezeka!na je hawa wamachinga wanafukuzwa waende wap?au serikali inataka watu waendelee kupiga nondo!
 
serikali iliyoingia madarakani kwa kuiba kura haiwezi kamwe kutetea maslahi ya wananchi. sasa wasubirie machafuko makubwa, huwezi kupigina na watu wanaotembea wamekufa maana huwezi kufa mara mbili.
 
habari nilizozipata hv punde kutoka kwa mfanyakazi mwenzangu huko mbeya ni kuwa fujo ni nyingi kiasi cha kwamba imebidi jeshi liitwe kuongeza nguvu kwani jamaa walijiandaa toka jana wakijua lazima ffu wangekuja kwa hio mziki wa mbeya ni mzito sana walikwenda ffu wapi magereza wakajaribu coz walikuwa karibu wapi kandoro kaomba msaada toka jeshini fujo zimeanza saa1 asubuhi mpaka sasa ndo zinazidi kusambaa maeneo mengine nackia huko jamani hali ni mbaya sana wazee wa kupiga nondo wako ngagari

Hawa wanajeshi wasiingilie bwana walinde mipaka wala hatuna noma nao,tuacheni sie na ffu tupambane make tumechoka
 
Back
Top Bottom