Watanzania msiipigie kura CHADEMA 2015

Watanzania msiipigie kura CHADEMA 2015

Ukweli utajitenga, sioni haja ya kuupigia upatu upinzani. Wanamuda mrefu wa kujifunza!!! Ni labda baada ya 50 years ndiyo wanaweza kuwa na sifa za kuongoza nchi.

Sisi tumejifunza nini kwa utawala wa CCM miaka 50 tangu uhuru?
 
"Kiduku" huwezi kufananisha Kenya na Tanzania. Kila nchi ina siasa yake. Kenya inafanya vizuri baada ya upinzani kuingia. Acha upofu wa kufikiri
 
Kwa Afrika ni nadra upinzani kuleta maendeleo. Mfano halisi angalia Kenya ambapo hao raia waliouweka upinzani madarakani uliwasbabishia matatizo makubwa na hatimaye umefikia hatua ya kuwafukuza wafanya kazi wa sekta ya afya. Hii haikubaliki, mfano tizama jinsi chama cha mapinduzi kinavyo fanya mambo kwa kufuata sheria na ni chama kivumilivu. Nasaha zangu, watanzania msibabaishwe na vyama vya upinzani. Tujenge nchi na CCM!!

This is too low to be here.
Kuitetea CCM inahitaji uwe na akili ya maiti.
 
Mungu aniepushe! Umenikasirisha ewe mtoa mada hadi nikasikia nyongo inamwagika tumboni!
Kenya ni Tanzania? Siwezi kukuuliza level yako ya elimu sababu hata angekuwa mtoto wa miaka mitatu asingeweza kuongea hizi pumba ulizoleta hapa. Hata kama ni freedom of expression basi hii yako ni pollution of expression! Shame on you!

Ni ukweli usiopingika kuwa CCM ni chama kongwe na hawakurupuki ktk maamuzi. We angalia mchakao wa kusuluhisha hili suala la madakitari, ni suala ambalo limefanywa kwa umakini na linaendelea kutatuliwa kwa umakini. Sasa hao kenya tangu waweke upinzani;
  1. Mwaikibaki na Raila waligombana
  2. Raila alijilimbikizia mali kwa kuchukua mikataba ya mafuta toka Arabuni,
  3. Mwaka 2007 wakenya wakachinjana kwa sababu ya uchu wa madaraka wa hao wapinzani
  4. Na sasa hawataki kuwasikiliza wanachi wanyonge waliowapatia kura na wameamua kuwafukuza kazi!
Je kumfukuza mtu au kumfuta mtu kazi ni suluhisho? si ni ujinga? Kwani serikali ya CCM wasingeweza kuwafukuza ma Dr? Mbona wameamua kutumia njia ya mahakama wakati huo wanaendelea na mazungumuzo! Msiniite kiduku, naomba mtafakari!!
 
Jamanie, huyu Bw. Ng`wanakidiku ametumwa. Si bure. Maana angekuwa ni akili yake imefikiria kwa umakini, asingeandika Upuuzi kama huu kwenye mtandao wa heshima kama JF. Mtu makini, hawezi kuandika uchuro kama alioupost hapa.
 
Kwa Afrika ni nadra upinzani kuleta maendeleo. Mfano halisi angalia Kenya ambapo hao raia waliouweka upinzani madarakani uliwasbabishia matatizo makubwa na hatimaye umefikia hatua ya kuwafukuza wafanya kazi wa sekta ya afya. Hii haikubaliki, mfano tizama jinsi chama cha mapinduzi kinavyo fanya mambo kwa kufuata sheria na ni chama kivumilivu. Nasaha zangu, watanzania msibabaishwe na vyama vya upinzani. Tujenge nchi na CCM!!

Mkuu Kwa Nini Unasema ni Nadra? Ni Ukweli Usiopingika kwamba UPinzania kamwe hauwezi kuleta Maendeleo kwa Sababu

1. Hakuna Sehemu Yeyote ( Si Afrika pekee) duniani ambapo Upinzani Unakusanya kodi
2. Upinzani Sehemu yeyote ile hauna Dola, Hauna rais, hauna waziri wa Uchumi

Sasa nakushangaa unaposema ni Nadra na wakati ni Dhahiri
 
yaani nimeufungua huu uzi nikitegemea kukutana na hoja madhubuti zilizojaa ushawishi, na scientific ideas za kutufanya sisi watanzania tusiichague CDM 2015... ukweli nimekuwa disapointed na huu mdebwedo niliokutana nao humu, unaozungumzia siasa za kenya na ushabiki wa ki-sismagamba usio na tafiti wala kumbukumbu ndogo tu ya yale yanayojili ndani ya chama hicho alichokiita kikongwe na masaibu yanayorudisha nyuma maendeleo ya Tanzania 4the past 50 years of independence. Ndani ya ccmagamba kuna migogoro mingi mno ya kibinafsi, ki makundi na hata ki madaraka pia, mentioning just a few.. six na uspika/uwaziri mkuu... mzee wa mvi na urais, mzee wa mvi na ma-ant-ufisadi uchwara, baba mwana asha na makundi aliyo yatengeneza ndani ya chama...n.k kwa taarifa yako makundi haya ni zaidi ya yale yanayotokea Kenya na kurudisha nyuma maendeleo ya nchi... nionavyo mimi endapo ccmagamba wakiiongoza tena Tanzania ktk kipindi cha 2015, we are going to experience more worse tha what is hapening huko kenya.. lkn kama umesoma Organization theory ndg Ng'wanakiduku, hakuna organization iliyo timamu na yenye watu makini isiyo kuwa na migogoro (in any smart organization conflicts are innevitable...) so kama CDM kuna migogoro mnayo iona basi ujue kuwa CDM ni smart organization, sasa kama una busara na unataka ujue busara za chama jadili njia zinazotumika kutatua migogoro ndani ya chama how viability are they, cjaona migogoro ya kudumu ndani ya CDM zaidi ya ile inaayoletwa na mamluki wa magamba na kutatuliwa kwa busara kabisa ndani ya chama ukiwemo huo ambao unauita mgogoro baina ya Zitto na Dr. Slaa/Mbowe... hayo ni maneno ya wakosaji waliokosa hoja ya kile wanachokiamini.. kajipange upya kaka kisha uje na wazo la kugeuza mind za watu ni siyo kuwageuza watu...
 
Kwa Afrika ni nadra upinzani kuleta maendeleo. Mfano halisi angalia Kenya ambapo hao raia waliouweka upinzani madarakani uliwasbabishia matatizo makubwa na hatimaye umefikia hatua ya kuwafukuza wafanya kazi wa sekta ya afya. Hii haikubaliki, mfano tizama jinsi chama cha mapinduzi kinavyo fanya mambo kwa kufuata sheria na ni chama kivumilivu. Nasaha zangu, watanzania msibabaishwe na vyama vya upinzani. Tujenge nchi na CCM!!

ni ufinyu wa mawazo na uvivu wa kutumia akili kidogo ulizojaaliwa na Mungu wako katika kufikiria, hauwezi kuipa credit ccmagamba eti kwa kutatua sijui mgogoro wa madakaktari kisheria au whatever ambao kwa akili za kawaida kabisa bila elimu ya diploma kutumika mgogoro huu haujaisha ila umesitishwa tu kama alivyojaribu kufanya mtoto wa mkulima aliyehamia katikati ya jiji, serekali hii kwa mtazamo wangu imekosa usikivu, ina kiburi, dharau na mizaha ya kitoto na visasi, jenga hoja usije na maelezo yaliyokosa mantiki na ushawishi..
 
Una akili za matope, sioni unaongelea nini hapo. Uzembe hautakiwi. Chama cha Magamba mwisho wake umefika.
 
Kwa Africa na kwa waafrika wenye mawazo kama yako, Mugabe, Wade wa Senegal na Museveni mnaoamini kuwa ni chama tawala tu na wanachamana wake ndio wanaweza kufikiri ni kweli wapinzani hawawezi kuleta maendeleo. Lakini kwa waafrika wenye mtizamo mpana wanaoamini kuwa kuna watu wengine nje ya utawala wanaweza kuwa na mawazo na njia bora zaidi za kutatua matatizo ya watu tunaamini upinzani unaweza. Umweona flying over za Kenya zimejengwa na KANU? Watanzania tunazidi kuwa masikini kwa kuwa na watu wengi wenye mawazo mgando wasiotaka mabadiliko alafu kila siku tunalia maisha magumu wakati tumeyachagua wenyewe!!!!!!!!!!!!!!
 
Hili lililo toa mada sijui limekurupukia wapi,shwenzi we,usituletee ujinga hapa
 
Kwa Afrika ni nadra upinzani kuleta maendeleo. Mfano halisi angalia Kenya ambapo hao raia waliouweka upinzani madarakani uliwasbabishia matatizo makubwa na hatimaye umefikia hatua ya kuwafukuza wafanya kazi wa sekta ya afya. Hii haikubaliki, mfano tizama jinsi chama cha mapinduzi kinavyo fanya mambo kwa kufuata sheria na ni chama kivumilivu. Nasaha zangu, watanzania msibabaishwe na vyama vya upinzani. Tujenge nchi na CCM!!

naweza kusema wewe ni mtu mjinga,mpuuzi na mpenda pombe.yani hata uelewa mdogo tu umeukosa,unatupa mifano ya kenya wakati unaonekana hata chanzo cha vurugu za kenya hauzifaham,chadema walete vurungu wana jeshi la police?vurungu na vita hapa nchini zitaletwa na chama tawala na serikali yake kwa sababu ya nguvu ya dolla.chonde chonde wana arumeru,chagua chadema yenye watu wasafi.ccm wanyonyaji,wezi na haswa mafisadi.
 
Back
Top Bottom