Wananchi wakiamua polisi, jeshi, mitutu ni bure kabisa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wananchi wakiamua polisi, jeshi, mitutu ni bure kabisa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mchakachuaji, Nov 12, 2011.

 1. m

  mchakachuaji Member

  #1
  Nov 12, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Baada ya kuiona hali halisi ya jiji la Mbeya ambapo wamachinga wamekwaruzana na polisi kwa muda wa masaa 10 tumejifunza kwamba wananchi wakiamua hakuna awezaye kuwazuia.

  Vurugu za Mbeya zinaonekana hazikuendeshwa na wamachinga peke yao bali hata wananchi wa kawaida walishiriki kuonesha kutokubaliana na hatua ya wamachinga kufukuzwa katika maeneo yao ya biashara bila kupewa eneo mbadala. Hawa watendaji wanakurupuka kwani walishabomoaga soko la BIGBROTHER usiku na kuwafidia wamachinga wakajenga tena palepale siku hiyo hiyo, hii ni akili au matope?
   
 2. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #2
  Nov 12, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,323
  Likes Received: 22,152
  Trophy Points: 280
  Sasa wananchi tumeamua. Fikisha ujumbe pande zote za nchi
   
 3. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #3
  Nov 12, 2011
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,324
  Likes Received: 1,790
  Trophy Points: 280
  We learn the hard way anyway
   
 4. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #4
  Nov 12, 2011
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,352
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  Saa ya ukombozi ni sasa usemapo kuna amani ndipo uharibifu huja
   
 5. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #5
  Nov 12, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,323
  Likes Received: 22,152
  Trophy Points: 280
  njooni Mbeya mjionee wananchi wasivyo itaka CCM
   
 6. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #6
  Nov 12, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,672
  Trophy Points: 280
  Nakubaliana na wewe kweli wananchi wakiamuwa yote yanawezekana..

  Lakini sio Chadema kama kuamua Chadema wameishaamua sana lakini wapi..

  Juzi waliamua Arusha walishia kukimbia hovyo, huwezi kuamua na wabunge 23
   
 7. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #7
  Nov 12, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280

  Riz1 fyi mbunge 1 wa CDM ni sawa na wabunge 20 wa magamba
   
 8. ndiomzee

  ndiomzee Member

  #8
  Nov 12, 2011
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kikwete na serekali yake wana akili za matope. Hawawezi hata kufikiria ya maana. Nchi imekuwa genge la wahuni.
   
 9. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #9
  Nov 12, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Serikali huwakumbuka wananchi wakati wa uchaguzi tuu
   
 10. STEIN

  STEIN JF-Expert Member

  #10
  Nov 12, 2011
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 1,764
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  CDM iko pamoja na wananchi walio kinyume na Serikali ya CCM, kwa mantiki hiyo wanaoipinga CCM wote ni Chadema. Nashukuru kwa kukubali na nadhani mmeona mfano Mwanza, Arusha, kilimanjaro na Mbeya bado Dar.

  Siku zenu zinahesabika mwambieni mkuu wa Kaya asome alama za nyakati asiongoze hii nchi kana kwamba anakufa kesho.
   
 11. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #11
  Nov 12, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,672
  Trophy Points: 280
  Unamuongelea Rose Kamili au Mtoto wa Ndesamburo?
   
 12. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #12
  Nov 12, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,672
  Trophy Points: 280
  Kama watanzania wote ni Chadema kwa nini mlipata wabunge 23?
   
 13. l

  lyimoc Senior Member

  #13
  Nov 12, 2011
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 140
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Cdm ndio wanaoingoza nchi usiwe mbishi ccm na serikali yake legelege wameshindwa hata kuchapa mitihani ya darasa la 4 kuna serikali hapo nchi imefilisika kila mtu anajua tunasubiri muda muafaka tuichukue nchi yetu muda muafaka ukifika hakuna cha ccm c yaani polisi au jeshi atakae zuia
   
Loading...