Recent content by Ndibalema

  1. Ndibalema

    JamiiForums Tanzania CCTV cameras events playblacks special thread

    Kuna hii ilinaswa kutoka kwenye CCTV camera Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
  2. Ndibalema

    JamiiForums Tanzania Nitajuaje kama gari nayotaka kununua Ili hukuliwa kwa mkopo kwingine

    Mara nyingi kama gari imechukulia mkopo, kadi original ya gari hubaki sehemu iliyokopewa. Hivyo kabla hujanunua hakikisha unaiona kadi original na sio copy. Ukiona unazungushwa kupewa original card basi jua kuna shida mahali.
  3. Ndibalema

    JamiiForums Tanzania Tunaosubiri namba E tukutane hapa

    900+ Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
  4. Ndibalema

    JamiiForums Tanzania Members waliojiunga JF kuanzia 2006-2008 hadi leo hawa hapa, Je umemtambua nani aliye active hadi leo?

    Upo? Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
  5. Ndibalema

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Ugaidi yazidi kufichua Mazito. Shahidi aulizwa kuhusu utekaji wa Ben Sanane, Magoti na shambulio la Lissu

    Mawakili wa serikali hawana hii fact uliyonayo wewe. Fanya mpango ukawasaidie kama shahidi wao maana ushahidi unaotoa hapa una mashiko sana kuliko ule wanaiutoa mashahidi wao.
  6. Ndibalema

    JamiiForums Tanzania Picha ya siku: Tujikumbushe vituko vya awamu ya tano

    Wachapa kazi Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
  7. Ndibalema

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wenye hizi tabia wanastahili heshima sana na kuthaminiwa

    Wale baada ya show wanasema 'jifutie tu hiyo ntaifua' nasema watetewe na wakili msomi Kibatala Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
  8. Ndibalema

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maombi, sala na dua za mke wangu ni kero kwangu

    Pole mzee mwenzangu
  9. Ndibalema

    JamiiForums Tanzania Suala la kutangaza nafasi za kazi ambazo atakayepewa anajulikana tayari itakwisha lini?

    Una uhakika gani kama huyo rafiki yako uliyekutana nae getini kuwa amekueleza ukweli?
  10. Ndibalema

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Inbox!!
  11. Ndibalema

    JamiiForums Tanzania Watanzania tulioko Switzerland

    Naomba nijue changamoto mnazokutana nazo foreignera especialy wa kutoka Afrika Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Ndibalema

    JamiiForums Tanzania Ibada za mwezi mtukufu wa Ramadhani zazuiliwa katika msikiti wa Jerusalemu (Al-Aqsa) kutokana na mlipuko wa Covid-19

    Huo pichani ni dome of rock upo jirani na Al aksa Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Ndibalema

    JamiiForums Tanzania Sababu za kiroho kwanini Mike Tyson alipigwa na Evander mwaka 1996

    Thread hii inathibitisha kuwa waafrika hatufikiri sawa sawa. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Ndibalema

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa Kujuana, kupeana updates kuhusiana na wale Tuliomba nafasi za kazi TANZANIA RED CROSS SOCIETIE (TRCS)

    Kwakweli watanzania tunatakiwa tubadilike. Tuna ubinafsi uliopitiliza ndio chanzo cha ufisadi. Tunakula bila ya kukumbuka kesho na vizazi vijavyo Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Ndibalema

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa Kujuana, kupeana updates kuhusiana na wale Tuliomba nafasi za kazi TANZANIA RED CROSS SOCIETIE (TRCS)

    Sababu kubwa ni ufisadi. Donor anapokufadhili katika mradi fulani, mwisho wa siku anahitaji kuona ripoti ikiwa inaendana na matumizi ya pesa. Kwa redcross ilikuwa ni tofauti. Mara kwa mara donors wakifanya ukaguzi wanakuta upotevu wa mamilioni ya pesa. Ilifikia kipindi pesa yeyote inayopita...
Back
Top Bottom