Ibada za mwezi mtukufu wa Ramadhani zazuiliwa katika msikiti wa Jerusalemu (Al-Aqsa) kutokana na mlipuko wa Covid-19

Suley2019

JF-Expert Member
Oct 7, 2019
1,805
4,483
Msikiti wa Al-Aqsa wa Jerusalem utafungwa kwa waumini wa dini ya kiisalmu katika mwezi mzima wa Ramadhani kwa sababu ya janga la coronavirus, viongozi wa Kiislamu walisema jambo hili siku ya Alhamisi.

Aidha, inaelezwa kuwa kwa kawaida Mwezi wa Ramadhani huwa na waumini wengi sasa katika msikiti huo ambapo kwa mujibu wa Imani ya Kiisalmu inaaminika huo ni msikiti mtakatifu ambao Nabii Muhamad alipaa kutokea hapo kwenda Mbinguni.

Zaidi ya hayo, "waislamu wamehimizwa kufanya ibada zao wakiwa majumbani mwao ili kuhifadhi usalama wao" baraza lilisema.

Ramadhani inatarajiwa kuanza mnamo Aprili 23.

1587109319703.png

Msikiti wa Al Aqsa uliopo Jerusalem

ZAIDI SOMA
Jerusalem’s al-Aqsa mosque compound will be closed to Muslim worshippers throughout the holy fasting month of Ramadan due to the coronavirus epidemic, Muslim clerics at Islam’s third-holiest site said on Thursday.

Ramadan typically draws tens of thousands of Muslims daily to the mosque and the adjoining Dome of the Rock for evening prayers known as Taraweeh. Muslim faithful believe the site to be where the Prophet Mohammad ascended to heaven.

The decision to ban Muslim prayer at the 35-acre complex, revered by Jews as the Temple Mount and site of the Jewish temples of antiquity, extends a March 23 ban on Muslim prayer there.

In a statement, the Jordan-appointed council that oversees Islamic sites on the sacred compound called the decision “painful” but said it was “in line with legal fatwas (clerical opinions) and medical advice”.

Muslims should “perform prayers in their homes during the month of Ramadan, to preserve their safety,” the council said.

Ramadan will start around April 23.

In one sign of normalcy, the Muslim call to prayer will still take place five times daily at the site during Ramadan, and religious workers will still be allowed entry, the statement added.

Jerusalem has sites sacred to Judaism, Christianity and Islam, and all three religions have taken coronavirus precautions.

Last week, Jews marking Passover in Jerusalem and across Israel were required to stay at home and celebrate only with immediate family.

Typically large Passover prayers at Jerusalem’s Western Wall, the holiest place Jews are allowed to pray in the city, were attended by only a handful of worshippers.

At the Church of the Holy Sepulchre, what are usually festive, pilgrim-filled Easter ceremonies at the shrine revered as the site of Jesus’ crucifixion and burial have been marked by small groups of clergy, often wearing face masks.

Israel has reported at least 140 deaths and nearly 12,600 cases of coronavirus. There have been two deaths and nearly 300 cases in the Palestinian Gaza Strip and the Israeli-occupied West Bank.

All mosques in Gaza have been closed since March 25, and since March 14 in the West Bank.

CITIZEN

Kingine ni kwamba huo msikitiki umejengwa na Nabii Ibrahim baba wa imani..mana wasije wale jamaa wa kulia lia usiku wakasema kaujenga Mtume Muhammad (SAW)..fafanua vzr unaogopa gopa nini sasa au na wewe ndo wale wale?
 
View attachment 1421445

Sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muhammad alipaa,Sasa ile kaburi lake kule Madina kumbe sio mwili wake ule!

Sent using Jamii Forums mobile app

Hizi dini zote nishawahi ziishi na nazijua vema na nimefika mahalii namwamini tuu Mungu ila staki dini kabisa...
Ila nakushauri nawe uache mihemko maana hapa umejibu bila kujua umekurupuka tuu . Ungesoma vizuri zaidi ya hapa ndo ungejua huko kupaa kukoje na ilikuwaje
 
Kingine ni kwamba huo msikitiki umejengwa na Nabii Ibrahim baba wa imani..mana wasije wale jamaa wa kulia lia usiku wakasema kaujenga Mtume Muhammad (SAW)..fafanua vzr unaogopa gopa nini sasa au na wewe ndo wale wale?
Ibrahimu wa koran alikuwa fundi ujenzi? Alijenga misikiti mingapi?
 
Msikiti wa Al-Aqsa wa Jerusalem utafungwa kwa waumini wa dini ya kiisalmu katika mwezi mzima wa Ramadhani kwa sababu ya janga la coronavirus, viongozi wa Kiislamu walisema jambo hili siku ya Alhamisi.

Aidha, inaelezwa kuwa kwa kawaida Mwezi wa Ramadhani huwa na waumini wengi sasa katika msikiti huo ambapo kwa mujibu wa Imani ya Kiisalmu inaaminika huo ni msikiti mtakatifu ambao Nabii Muhamad alipaa kutokea hapo kwenda Mbinguni.

Zaidi ya hayo, "waislamu wamehimizwa kufanya ibada zao wakiwa majumbani mwao ili kuhifadhi usalama wao" baraza lilisema.

Ramadhani inatarajiwa kuanza mnamo Aprili 23.

View attachment 1421445
Msikiti wa Al Aqsa uliopo Jerusalem

ZAIDI SOMA
Jerusalem’s al-Aqsa mosque compound will be closed to Muslim worshippers throughout the holy fasting month of Ramadan due to the coronavirus epidemic, Muslim clerics at Islam’s third-holiest site said on Thursday.

Ramadan typically draws tens of thousands of Muslims daily to the mosque and the adjoining Dome of the Rock for evening prayers known as Taraweeh. Muslim faithful believe the site to be where the Prophet Mohammad ascended to heaven.

The decision to ban Muslim prayer at the 35-acre complex, revered by Jews as the Temple Mount and site of the Jewish temples of antiquity, extends a March 23 ban on Muslim prayer there.

In a statement, the Jordan-appointed council that oversees Islamic sites on the sacred compound called the decision “painful” but said it was “in line with legal fatwas (clerical opinions) and medical advice”.

Muslims should “perform prayers in their homes during the month of Ramadan, to preserve their safety,” the council said.

Ramadan will start around April 23.

In one sign of normalcy, the Muslim call to prayer will still take place five times daily at the site during Ramadan, and religious workers will still be allowed entry, the statement added.

Jerusalem has sites sacred to Judaism, Christianity and Islam, and all three religions have taken coronavirus precautions.

Last week, Jews marking Passover in Jerusalem and across Israel were required to stay at home and celebrate only with immediate family.

Typically large Passover prayers at Jerusalem’s Western Wall, the holiest place Jews are allowed to pray in the city, were attended by only a handful of worshippers.

At the Church of the Holy Sepulchre, what are usually festive, pilgrim-filled Easter ceremonies at the shrine revered as the site of Jesus’ crucifixion and burial have been marked by small groups of clergy, often wearing face masks.

Israel has reported at least 140 deaths and nearly 12,600 cases of coronavirus. There have been two deaths and nearly 300 cases in the Palestinian Gaza Strip and the Israeli-occupied West Bank.

All mosques in Gaza have been closed since March 25, and since March 14 in the West Bank.

CITIZEN

Hakuna tatizo lolote, hili tayari lipo katika uislam zamani kwamba yanapotokea mabalaa kama haya watu wanatakiwa kubaki majumbani mwao. Kinyume chake kutoka na kusababisha kueneza maradhi ni kosa katika uislam.
‘Hamna kujidhuru wala kuwadhuru wengine’ Hadiith
‘ Wala msijiingize kwenye maangamizo kwa mikono yenu..., qur an 2:195
 
Kingine ni kwamba huo msikitiki umejengwa na Nabii Ibrahim baba wa imani..mana wasije wale jamaa wa kulia lia usiku wakasema kaujenga Mtume Muhammad (SAW)..fafanua vzr unaogopa gopa nini sasa au na wewe ndo wale wale?
Abrahamu hakujenga Al aqsa,,Abraham Ni mecca
 
Back
Top Bottom