CCTV cameras events playblacks special thread

Aisee kuna footage moja ni very weird,jamaa anavamiwa na mtu aliyekuwa anamvizia kwa nyuma,jamaa anaangushwa chini then linaonekana dubwasha linainuka kumvamia yule mvamiz huku yule mwamba bado yuko chini baadae anainuka lile dubwana linakuwa kama linamvaa then linapotea...yule mvamiz analiona lile dude akakimbia na jamaa nae akajisepa...ilinitafakarisha sana
 
Ya Zanzibar ile nafanya juhudi kuipata
 
Kuna hii ilinaswa kutoka kwenye CCTV camera
El6CXixXIAUQ3bK.jpg

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
How AKA met his end
 
Brother Mshana, mbona mimi nashindwa kuPlay hizi clips nikiwa hapa hapa JF mpaka niziClick ziwe downloaded baadae nakuja kuziona kwenye Gallery.
Tatizo nn
Simu yako check ni android ngapi ni lazima iwe above 7
 
Back
Top Bottom