Recent content by Ndeshau

  1. N

    JamiiForums Tanzania Kila mtu amekuwa mtaalamu wa computer!

    Athen hilo tatizo la PC yako inaeza kuepo kati ya maeneo mawili: Kwanza, inaezakua operating system(OP) haifanyi kazi vizuri au imekufa kutokana na sababu mbalimbali kama vile virus,hard disk imekufa, uliformat pasipo kujua n.k. Jaribu kurepair au kuinstall window mpya kama ikiwezekana...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Nimsaidie au Nimwache..

    hapo andika maumivu kwne Chupi!
  3. N

    JamiiForums Tanzania wanaume msitumie simu ku approach!

    aliye post hii thread APIGWE tu!
  4. N

    JamiiForums Tanzania Ndege ya ethiopia iliyotua kisongo kwa dharura

    hahahahah!! walah nmecheka xana... kwakwakwa karbu nifumue mshonoo! maana sipat picha
  5. N

    JamiiForums Tanzania kujikita kwenye masomo hatimae kumeniponza, kila mrembo naemtaka kishachukuliwa!

    ukianza kazi kila mwanamke atakuita baby, hata wake za watu watakuja tu
  6. N

    JamiiForums Tanzania Kufikia ghetto kwa Boyfriend wa DADA YAKO

    unaezakuta siyo kaka yake bali ni mume mwenza, warangi wanae hizo tabia za kukaribisha ndugu. Anakuambia ni kaka yake kumbe si kweli, nae amekuja kumega kijanja.
  7. N

    JamiiForums Tanzania Wanawake walioko kwenye 30s

    wanawake walioko kwene 30s weng wanakua ndo wanalea watoto,wengi wanakua bado wanae stress za maisha. walioko kwene 40s nakuendelea hao wanakua wapo wameshatulizana, wanae uzoefu n.k.
  8. N

    JamiiForums Tanzania Siku nilipotemwa, niliambiwa haya....

    aliniambia ''Pita Hivi'' mwisho wa kunukuu. hahah
  9. N

    JamiiForums Tanzania ipo siku nitampiga makofi wife akiwa anasali

    unajua nae anaomba kimachalee! sasa ameamua alie na Mungu wake mpaka kieleweke
  10. N

    JamiiForums Tanzania ipo siku nitampiga makofi wife akiwa anasali

    hahahah hapo lazima UPONE TU!
  11. N

    JamiiForums Tanzania Guys mnaoacha girls wenu kimya kimya

    tatzo inaweza likawa ni wewe labda kuna kitu ulimkosea nae akaamua kutokuambia.inaonekana bado unampenda, pole sana aisee
  12. N

    JamiiForums Tanzania Hivi ni mtangazaji gani anayekuvutia

    Marygorath Richard #EastAfrica radio
  13. N

    JamiiForums Tanzania Mwanamke mmoja apigwa risasi TRA jijini Arusha

    nashkuru askari kwa kumkata ng'ebe alijifanya mjanja wa mjini kuleta Mazarauni kwene kaz za watu. Ni fundisho kwa ALWATANI wote wa hapa mjini. Over
  14. N

    JamiiForums Tanzania Filimbi na Ngoma usiku huu mitaa ya Dodama-Maili mbili darajani.

    imani ipo chini!
Back
Top Bottom