Nimsaidie au Nimwache..

Nimsaidie au Nimwache..

kunywa glass ya maji baridi kurecharge ubongo uelewe hadithi ya watoto wa shule

mi nanyonyaga maziwa ya binadamu Sista..! doctor alikataa kunywa maji!
 
Last edited by a moderator:
mmmh!! apa napata mambo zaidi ya matano kwa wakati mmoja,mara shule,mara mapenzi,mara sijamgegeda,mara nimemsaidia sana,mara rafik kagundu kuwa wapenzi ,mara akaomba msamaha baada ya kujua sio kheeee!!!! mie mashokoramageni jamani kwa alieelewa anifafanulie pls.
 
hahha alafu wewe utakuwa mnyamwezi...wa igunga au nzega?
 
Ati chat za hapa na pale mpaka tukawa wapenzi kwani hukua na mpenzi mwanzo au umekua oppotunistic yani mtu nyemelezi ukisubiri penye upenyo ufa upenyeze rupia

inawezekana nina act opportunistically, lakn fursa ikijitokeza unaitumia..
 
so juzi ulianza chat nae na mpaka leo tayari mlishaanza mambo ya mapenzi ila bado hujamgegedana yeye anasema yupo dilema!?...ebu wacha uzembe hapo huyo kajiweka style ya ki frend with bnefits...kamata umgegede u dnt have to date her.......na hivi unamsaidia basi wakati mpo pamoja wee anza kumshika atalainika mwenyewe

Asante kwa ushauri Mzabzab
 
!
!
kwanza tatua utata uliopo katika hizo sehemu nilizobold kwanza....hebu tulia kwanza, vuta pumzi vizuri halafu uhadithie vizuri nikuelewe

Ni hivi mkuu, hapo pekundu nilikuwa nachart nae sana nampigia simu, natoka nae out moja moja na story sanaa

hapo penye bluu, katika kumpigia simu huyo X nikawa naongea nae mpaka usiku mnene, jamaa yake akawa anapiga simu kwake na kwangu zote zilikuwa bussy kiasi cha kwamba akahisi na date na galfrnd wake, ndo akaanza kutoa matusi, baadae muda ulienda jamaa akajua sio kweli ikabidi aniombe msamaha, nikamsamehe

hapo penye purple, pamoja na kumsaidia sana katika mambo yake ya shule, na issue ndogo ndogo, care za hapa na pale sasa lakin ananiona kama vile mjinga

Swali
Nikasema sijui nimwache na maisha yake au Nimsaidie??

Asante kwa ushauri, kwa faida yangu mimi na wale ambao hawakunielewa mwanzo
 
Kuna rafiki yangu nimwite X ana mpenz wake nimwite Y, niliwaacha chuoni miaka 2 imepita, nilikuwa nafahamiana nao wote, sasa juzi akinitumia friend request kwa facebook, nikamkubalia, bas chart za hapa na pale mpaka ikafika tukawa wapenz, jamaa yake kaja kugundua na mawasiliano naye akaanza kunitukana kupitia simu mm sikumjibu, baadae akaja kugundua sio kweli akaomba msamaha yakaisha
sasa nikawa namsaidia mambo yake ya shule lakn kila nikamwambia X kuhusu mapenz yetu anasema yuko dilema, sijamgegeda bado, namsaidia mambo yake ya shule lakini nimemsaidia karibia nusu bado kidogo, sasa nafikiri kumwacha afanye yake au nimalizie tu kumsaidia, ushauri wenu wakuu

why umgegede mpenz wa rafiki yako mmnnh mchafu mkubwa wewe
 
mmmh!! apa napata mambo zaidi ya matano kwa wakati mmoja,mara shule,mara mapenzi,mara sijamgegeda,mara nimemsaidia sana,mara rafik kagundu kuwa wapenzi ,mara akaomba msamaha baada ya kujua sio kheeee!!!! mie mashokoramageni jamani kwa alieelewa anifafanulie pls.

kiufupi huyu jamaa ni malaya na anataka kumtomba mpenz wa rafiki yake sijui why huyu jamaa urafiki wake ni mkia wa fisi anataaka j
kumfilisi rafiki yake why tamaa? miss chaga mshauri jamaa aache tabia chafu
 
we mwongo mbona kwenye thread yako ya kwanza umesema mlichat mpaka mkawa wapenzi ila hamkugegedana then mida hii unasema ulidhaniwa kuwa wapebzi huoni unajichanganya we malaya uliyebobea nani kakufundisha? ntakupiga!
 
Nimekupata watu8, ni hivi sijaharibu uhusiano wa mtu, kilichotokea ni kwamba kumsaidia masuala yake ya shule ikaonekana kama na date nae kitu ambacho sio kweli..

Hata mimi pia nina mpenz wangu

Mbona kama wataka kutufanya sisi mapunguani banaa...Haya maelezo hapa chini kayaandika nani kama si wewe?

sasa juzi akinitumia friend request kwa
facebook, nikamkubalia, bas chart za hapa
na pale mpaka ikafika tukawa wapenz

sasa nikawa namsaidia mambo yake ya shule lakn kila nikamwambia X kuhusu mapenz yetu anasema yuko dilema, sijamgegeda bado...
 
Hivi shule bado hazijafunguliwa!? Maana naona stori za kifesibuku zimezidi huku JF!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom