Kufikia ghetto kwa Boyfriend wa DADA YAKO

Naona watu wengi mnaponda, ila sina uhakika kama mmezaliwa mjini au mmeshushwa tu na Mungu mjini na maisha mmeyakuta bora.

Kiuswazi uswazi hili ni jambo la kawaida sana, sasa kuna wengine huwa wanatembelewa hadi na wakwe na kwa ustaarabu mmoja wa wapenzi huwa anatafuta sehemu kwa mshikaji kujibanza hadi ugeni utapoondoka.

Mpwa soma uzi vizuri. Hapa anazungumziwa boyfriend, sio mume. Yani ukakae kwa njemba inayokukanyagia dadako isivyo rasmi! Unaweza kuta njemba yenyewe mme wa mtu inakutafunia dadako kabaang tuuu, baaas.
 
Acha dada amegwe tu... ila si sawa
 
Aisee mi nikishaona hivyo hata kuoa SIOI kabisaa maana ni matatizo mbeleni kuwa na Mke dhiki ni noma. Akija nabandua dada ake mikito ya ukweli yaani nje ndani nyiingi mpaka ajizibe maskio na mto.
 
unaezakuta siyo kaka yake bali ni mume mwenza, warangi wanae hizo tabia za kukaribisha ndugu. Anakuambia ni kaka yake kumbe si kweli, nae amekuja kumega kijanja.
 
Jamaa yangu ana demu wake (sio mchumba wala mke) anakaa nae kwenye nyumba ya chumba kimoja na sebule.
Mchana huu wa leo kapokea ujumbe kutoka kwa kaka wa girlfriend wake akimuomba aje Dsm kwa mapumziko ya Xmas na mwaka mpya. Chumba chenyewe kimetengwa kwa pazia kati ya chumba na sebule.
Hii imekaaje wazee, je ni sehemu ya maadili yetu Kiafrika?
Mamndenyi, watu8, Mtambuzi, Madame B, na mwaJ mnahusika

Lakini Bujibuji unajua watu walioko huko vijijini hawajuagi hapa mjini watu wanaishije, hilo ndio tatizo kubwa.
 
Jamaa yangu ana demu wake (sio mchumba wala mke) anakaa nae kwenye nyumba ya chumba kimoja na sebule.
Mchana huu wa leo kapokea ujumbe kutoka kwa kaka wa girlfriend wake akimuomba aje Dsm kwa mapumziko ya Xmas na mwaka mpya. Chumba chenyewe kimetengwa kwa pazia kati ya chumba na sebule.
Hii imekaaje wazee, je ni sehemu ya maadili yetu Kiafrika?
Mamndenyi, watu8, Mtambuzi, Madame B, na mwaJ mnahusika
Kosa ni la jamaa yako, kwanini anakaa na dada wa mtu bila kumuoa?
 
hapa jamaa mwenyewe kajipendekeza kwa mashemeji, baa sana ofa ili wamuone na hata huko dar wanajua yuko full house istoshe nature ya likizo inonyesha muombaji ni minor,b sasa kayakoroga kujidai matawi yamemshinda, unakaa na binti wa watu jiandae mama mkwe atakuja kutibiwa usikimbie majukumu wakati umesogeza mtoto wa waru

Mule mule ,kama ulikuwepo vileee.
Dogo ni minor n makosa anayo huyo huyo jamaa kujibebesha maujiko kwa mashem.
 
sio mbaya mtu kufikia kwa shemeji yake sio mbaya.., ndo maisha ya siku hizi yalivo. ila kwa ukubwa wa nyumba aliyonayo haifai.., amtaftie tu sehem ya kulala, otherwise ampangishie gesti kwa siku atakazokuwepo.
 
unaezakuta siyo kaka yake bali ni mume mwenza, warangi wanae hizo tabia za kukaribisha ndugu. Anakuambia ni kaka yake kumbe si kweli, nae amekuja kumega kijanja.
ha ha ha ha ha...., tena unaenda kazini unamuacha home ukidhan ni mtu na dada yake, kumbe jamaa linagegeda kama yake vile.., hii tabia hata wanyarwanda wanayo pia.
 
Kosa ni la jamaa yako, kwanini anakaa na dada wa mtu bila kumuoa?
Dada kajimuvuzisha.
Si unajua hua mnaanza kidogo kidogo, leo unajidai umesahau line yako ya simu, kesho umesahau ile chupi yako ya kitenge, mara umeacha begi, mara unaanza kuleta makabati sasa
 
Dada kajimuvuzisha.
Si unajua hua mnaanza kidogo kidogo, leo unajidai umesahau line yako ya simu, kesho umesahau ile chupi yako ya kitenge, mara umeacha begi, mara unaanza kuleta makabati sasa

Ili kuzuia asihamie, akisahau kitu unampelekea sio kumwacha afuate mwenyewe.
 
We fyatu Bujibuji unadhani ndoa yangu ilitokana na kujihamishia ghetto wenyewe kwa kujifanya nimesahau vitu? Hebu muulize vizuri Mwita Maranya.
Mwita Maranya najua alikufuata kwenu na upinde, mshale, mkuki, sime, panga, gobore na AK47, wazazi wako wenyewe wakakoma, wakasema nenda salama binti yetu, mumeo akiwa anakupiga wee tabasamu, sema asante kwa kunipenda, ukipiga kelele atakumaliza huyu.

100_0564.JPG
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom