Aqua
JF-Expert Member
- Jul 23, 2012
- 1,657
- 1,235
Cheap is expensive.Wengi wanapenda vitu vya bei nafuu,fundi wa computer hajui hata umuhimu wa kubackup data kama anaformat,by the way solution ya kuformat ni ya watu ambao si experts,hii ni option ya mwisho kabisa.Mtu computer ina virus kibao,antivirus yake ni ya bure na haiko updated,fundi anamwambia solution ni kuformat wakati anahitaji antivirus nzuri tu.
Endeleeni kuibiwa na kupotezewa data zenu mpaka mtakapoelewa kwanini kuna certificate,diploma ,degree na experience is the best teacher.Kuna watu nilitaka kuwafanyia kazi nikawambia 2M,akaja mwingine 1.6M sijui walimpa yeye au walipata wa chini zaidi,aka extend network yao.Siku wamepata tatizo wananiita nikakuta kazi ilifanyika ina hata termination ya cable inaonyesha ni mwanafunzi au haelewi.Within a short time nikatatua tatizo lao huku nikiwaelimisha na kuwaambia "cheap is always expensive.
Tatizo hii fani ya IT hakuna board inayosimamia kama kwa mfano wahasibu,kuna kazi huwezi fanya kama hujakidhi vitu fulani,sasa huku IT kila mtu ni IT,kila chuo kikianzishwa hakijakamilika kama hawafundishi IT(kufundisha IT si shida issue ni how competent walimu wao walivyo).
So tuendelee hivyohivyo,nyie mmeona ya mtaani tu lakini hata kuna makampuni ya IT bado wafanyakazi baadhi siyo competent.Hii ni opportunity kwako unayejiamini uko safi,just stand out of the crowd.