Hivi ni mtangazaji gani anayekuvutia

Hivi ni mtangazaji gani anayekuvutia

  1. Godwin Gondwe
  2. Milad Ayo
  3. Fatma Almas Nyangasa
  4. Mbozi Katala
  5. Ahmed Salim
  6. Julius Nyaisanga
  7. Salim Kikeke
  8. Suluma Khasim
  9. Enock Bwigane
  10. Happines Ngasala
Wananivutia sana hawa
 
First ninae mkubali millard ayo and salimu kikeke wa bbc swahili, ambaye ana niboa ni adamu mchovu wa clouds ana ongea ujinga sometime anajua radio inasikilizwa na vijana 2 maana ana ongea vitu vya maskani tu hana point ata moja ambayo itanifanya nimkubali.
 
GASTON MSIGWA.naangalia taarifa ya habari TBC kwa sababu yaje
 
NAWAKUBALI HAWA: emmanuel hamas-tbc MARA,george maratu-itv MARA, mkombe zanda -rfa/star tv MBEYA,samadu hasan-rfa/star tv mwanza,millard ayo
 
Naowakubali:
1.Aboubakary sadiq
2.Rose Chitara
3.H.A.B.I.B (zamani 101.4 FM)
4.John Dilinga Matlou( 14 16)
5.Monita Rajpal

Siwafagilii.
1.Diva
2.
 
TANZANIA KUNA WATANGAZAJI WENGI WA REDIO UKIWASIKILIZAm HUWA WANAKUVUTIA NA WAPO WENGINE UKIWASIKILIZA WANAKUBOA KWANGU MIE

WANAONIVUTIA WATANGAZAJI HAWA....

1.arthony joseph....huyu ni wapo redio fm

2.rita william chualo.....wapo redio fm

3.sam mahela ........wa i.t.v

4.fatma julius nyaisanga......wa i.t.v....

5.dokta. issack maro.......kipindi cha njia panda ....clous fm

wanaoniboa....
1.adam mchomvu

2.gerald hando.....

je wewe ni nani nayekuvutia ni nani anayekuboa....
watangazaji wa Bbc swahi nawakubali sana, mchovu holaaa simkubali hataaaa
 
Milard Ayo namkubali sana. Wanaoniboa ni wote niliowahi kuwasikia wakipiga chafya ndani ya studio.!
 
Anaitwa samadu hassan.safi sana nami namkubali kinoma
 
TANZANIA KUNA WATANGAZAJI WENGI WA REDIO UKIWASIKILIZA HUWA WANAKUVUTIA NA WAPO WENGINE UKIWASIKILIZA WANAKUBOA KWANGU MIE

WANAONIVUTIA WATANGAZAJI HAWA....

1.arthony joseph....huyu ni wapo redio fm

2.rita william chualo.....wapo redio fm

3.sam mahela ........wa i.t.v

4.fatma julius nyaisanga......wa i.t.v....

5.dokta. issack maro.......kipindi cha njia panda ....clous fm

wanaoniboa....
1.adam mchomvu

2.gerald hando.....

je wewe ni nani nayekuvutia ni nani anayekuboa....
Gerald Ando ni mchangamshaji wakati wakipind cha pb na akiwa hayupo kipindi hakipendezi. wengine navutiwa na pj bila kumsahau mtu wangu wa nguvu Millard Ayo wakati wa AMPLIFAYA.
 
Regina Mwalekwa
Gabriel Zakaria
Samadu Hasan
 
Yupo dada mmoja anatangaza na zembwela anaitwa airini. Sauti yake na manjonjo yake hunifanya nibadili kituo.
 
Back
Top Bottom